Search results

  1. C

    Ushauri: Profesa Nkoma, hii Siasa kwenye Digitali Mwisho wake si Mzuri

    Acha upotoshaji wewe, kama huwezi nunua vingamuzi kaa kimya achia wengine.
  2. C

    Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

    Matamka au matamko? mi sijakusoma vizuri.
  3. C

    swali

    Hii huduma ya kujiunga kwa kuandika JF Kwenda 15346 sms ikija inaghalimu tsh: ngapi?? naombeni JB faster nijiunge.
  4. C

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    gooooooood day.
  5. C

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Mi sipati picha
  6. C

    Angalia kwa makini hii picha halafu toa maoni

    matatizo gani au umeshindwa kuiweka sema tukusaidie.
  7. C

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    nimesubiri lakini naona hakieleweki c unipe sababu mda huu.
  8. C

    Man & Wife

    tuko wangapi?
  9. C

    Soya inasababisha cancer?

    Kumbe huwa ni sumu.
  10. C

    chachas mchina: hivi ni lipi sahihi.

    @HYGEIA asante kwa jibu lako zuuuri amani kwako.
  11. C

    chachas mchina: hivi ni lipi sahihi.

    @HYGEIA asante kwa jibu lako zuuuri amani kwako.
  12. C

    Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

    Kasome upya kaka hapo baaaaaado kabisaaaaa.
  13. C

    Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

    Pole sana mkuu, hiyo ni mipango ya mungu.
  14. C

    Wamama zangu wa Sokoni waunda lugha yao!

    Kuvua gamba: hiyo kali, kuomba kura: imenipendeza maana hata mimi niliipata hiyo mitaani.
  15. C

    chachas mchina: hivi ni lipi sahihi.

    Kuna gazeti moja hivi, wameandika kuwa mwakyembe atoa Wakala, sasa ni wakala au ni walaka?? nisaidieni hapo.
  16. C

    Haya sasa soma tukio hili liloikumba kenya.

    Yaani hata mimi nilikuwa nawaza hivyo hapo sawa @egbert44
  17. C

    Haya sasa soma tukio hili liloikumba kenya.

    Wanaume wa kenya waunda chama na kutangaza mgomo wakutokula nchi nzima, kisa kuchezea kichapo kutoka kwa wake zao, je? hiyo itakuwa suruhu ya matatizo, au ndo wanajipalia mkaa kuongeza kipigo??
Back
Top Bottom