Search results

  1. cold water

    Kwanini sishiki mimba?

    Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu. Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu...
  2. cold water

    Nina swali ndugu zanguni

    Process ya re cut inachukua mda gani kwa upande wa serikalini? Mimi niliambiwa nafanyiwa re cut lakini nashangaa hadi Leo mshahara wangu unasoma ule ule wa certificate!!! haujaongezwa.kama hujaelewa ilo neno re cut ni Ku shift course labda ulikuwa na certificate ya Taxation uka shift course...
  3. cold water

    Nani mwenye makosa kesi hii ikiwekwa mezani?

    Nipo kwenye kampuni fulani, kila siku nakusanya cash ifikapo jioni nafunga hesabu zangu namkabidhi boss.shida ni kwamba boss ajawahi kuhesabu pesa ninazompa kila siku, ukifika mda wa makabidhiano utasikia tu nakuamini weka kwenye droo, Mimi akinambia hivyo naziweka lakini moyoni silizikagi na...
  4. cold water

    Mapenzi ni pesa

    Jamani, niwaambie ukweli ndugu zanguni sisi wanawake tumetofautiana, hilo mkae mkilijua tuko na tabia hizi: Mwanamke anaweza kukupenda kwaajili ya uzuri wako tu (muonekano) mwanamke wa aina hii atakubali ata ajinyime akupe wewe, mwanamke anaweza kukupenda kwaajili ya pesa tu, hawa wanawake wana...
  5. cold water

    Utunzaji wa vyakula kwenye friji

    Habari!!!! Naomba kujua mnatunza vipi vyakula kwenye friji ili visiharibike? Mfano; samaki,nyama,nyanya,karoti,matunda,na mboga mboga? Je? Mnawasha friji kila siku bila kulipumzisha,au mnawasha kwa mda tu na kuzima?
  6. cold water

    Hii ni kwa wahasibu na wafanyabiashara

    Nitaongelea zaidi uhasibu, kwa sababu ndo fani Ninayoizungumzia zaidi, katika kazi ya uhasibu ina changamoto mbalimbali, kama kulipa loss etc. Mfano siku umefanya mauzo ya sh milioni moja, lakini baada ya kufunga hesabu zako ukapata laki tisa lazima ulipe laki moja ili hesabu ifunge, ndo hivyo...
  7. cold water

    Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

    Naomba kunichagulia sofa nzuri nataka kununua,na kama una lako zuri zaidi,naomba utume picha kama nitalipenda nitapeleka order kwa fundi. Kingine naomba kuuliza kama miguu ya sofa hizi inadumu? Nina wasiwasi na kuharibika miguu yake, yaani iyo miguu ya sofa. Nasoma comments zenu..... Asante.
  8. cold water

    Naomba kujua hiki ni nini?

    Naomba kujua hiki ni nini nimekuta kwenye begi la mpenzi wangu.
  9. cold water

    Maex muwe mna move on

    Niliachana na baba mtoto wangu, akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Kusex tu alafu tukimaliza ananipa p2. Safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini...
  10. cold water

    Hivi vitanda vina ubora?

    Hakuna asiyependa kwenda na wakati,ivi vitanda ndo habari ya mjini saizi lakini je Vina ubora? kama sofa ukiinunua tu baada ya miaka mitatu minne kitambaa kinaanza kupauka na kufifia rangi yake na kama una sofa ya laiza pia kitambaa kinatoboka na kufubaa yaani mng'ao unapotea.sasa swali langu je...
  11. cold water

    Biashara kuchukua video kwenye maharusi

    Naomba kuuliza ile camera inayotumika kuchukua vidio mbalimbali kwenye events kama maharusi,misiba, etc inauzwa sh ngapi pamoja na stand yake na je inalipa?
  12. cold water

    Natafuta kazi clinical officer

    Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
  13. cold water

    Nimeingia cha kike nimeuziwa kitu ambacho siyo "spray". Je, ni nini hiki?

    Nilienda shop nikakutana na hii kitu nikamuuliza muuza duka ni mdogo tu (wa kiume) nazani kawekwa hapo shop kama mfanyakazi nikanogewa na ili kopo nikamuuliza kwani hii ni spray akaniambia ndio nikanusa juu ya kizibo nikaona inanukia poa bei sh elfu sita. Jana kulikuwa na pati somewhere nikavaa...
  14. cold water

    Namuacha shemeji yenu!

    Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text...
  15. cold water

    Sipendi kuonekana mbaya kwenye maisha

    Lakini ili la leo limenisikistisha zaidi, though muhusika nimemuelekeza huku nacheka, kuna staff mwezangu anafikaga kuiacha familia yake home kwangu mimi naishi karibu na maeneo ya kazi, dah wananipa mazingira magumu sana jamani. Tuliwaigi kufanya dili la elfu 60,000 yeye ndo alifanya dili...
  16. cold water

    Kufikia guest vs kufikia kwa ndugu

    Let s say unaenda sehemu fulani ni ugenini na hiyo sehemu unayoenda inaweza kuwa na ndugu zako au marafiki vipi ni bora ufikie guest au kwa ndugu? Hilo ni swali sasa twendeni kwenye point au ujumbe niliotaka ku-share hapa. Nilisafiri last month kutoka mkoa ninaoishi kwenda mkoa fulani...
  17. cold water

    Malezi ya mtoto baada ya kuachana yana changamoto zake

    Heloe JF, Kuna kitu napitia kizito kidogo, Mimi ni binti wa makamu nilibahatika kupata mtoto, lakini kuna maugomvi ya hapa na pale yalisababisha kuachana na baba mtoto, mtoto alichukuliwa na ndugu zake upande wa kiume. Sasa karibu shule zinafungwa nazani baba ake atamchukua kwaajili ya...
  18. cold water

    Msaada: Jinsi ya kufahamu lotion inayofaa kwa ngozi yangu

    Poleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze. Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya chunusi kibao halafu anakuambia tumia hii itakufaa, ukimuangalia yeye mwenyewe ngozi yake haina mvuto...
  19. cold water

    Mate kuruka kwasababu ya chakula kitamu

    Nimehaibika Leo ikabidi niache kuendelea kumkaribisha mgeni,nilitembelewa na mgeni Leo nikasema nipike ugali wa kutosha ni work mate wangu ,nikapika ugali na dagaa. Dagaa nilizikaanga tu na kuzitia limao nikatenga chakula ile kuanza kula mgeni akawa ananipigisha story nikawa namsikiliza huku...
  20. cold water

    Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba

    Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari. Situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari kushiriki tendo la ndoa lakini mimba hakuna aya nilibrid tarehe 1/10/2023 nikamaliza period tarehe...
Back
Top Bottom