Search results

  1. Kop0

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Naenda kwa mada moja kwa moja. Hivi Juzi kati nilihamia kwenye nyumba moja mkoa X. Jirani alinipokea vizuri sana ila kutokana na nature ya kazi wote kurudi night tulishindwa kuwa marafiki. Jirani mara nyingi navyokuwa sipo anawaamuru vijana wangu wafanye vitu ambavyo sijawaagiza mfano fundi...
  2. Kop0

    Nimesalimu amri, nimeamua kununua solar yaishe

    Mgao unaoendelea Mbeya ni balaa kwa kweli, sio mchana wala usiku. Nimenunua sana vitaa vya kichina vyote vinakaa mwezi havieleweki. Nimejitosa tu kununua panel kubwa na betri kubwa nipate umeme. Anayesubiri umeme ukae sawa kwa kusikiliza wanasiasa pole zake. Mvua zinanyesha kubwa karibu nchi...
  3. Kop0

    Hiki Kichwa Cha Nyumbu Hata Sio Mwendawazimum

    Huu mpira nilioona leo umenisikitisha sana. Kweli Mashindano makubwa kama haya na dunia nzima inaangalia mnafanya mzaha kama huu?
  4. Kop0

    Kuna aliyewahi kupata hela kwa kuchimba vitu vya kale au pesa za kale?

    Habari wadau! Hivi hizi habari za vitu vya kale sijui na hela za zamani kuna ushahidi wowote hapa Tanzania mtu kapata hela kwa haya mambo? Msaada wenu na ndugu yangu kazama kwenye haya mambo anauza mali za urithi akitegemea zitarudi maana wanachimba sijui vitu gani msaada wenu.
  5. Kop0

    Nahitaji Boda ya Mkataba

    Habari wakuu! nahitaji boda ya mkataba wa mwaka mmoja iwe ni mpya tu. Nipo Mbeya mjini. Asanteni.
  6. Kop0

    Sehemu Gani Mbeya Ntapata Boda ya Mkopo

    Habari za mda huu! Waungwana sehemu gani Mbeya wanatoa boda za mkopo naulizia duka au office inayotoa boda za mkopo.
  7. Kop0

    Rais Samia, naomba unisaidie ajira mwanao

    Shikamoo Mheshimiwa Raisi Mama Samia! Mimi ni kijana muhitimu wa Elimu ya chuo Kikuu nikiwa na Degree ya Uchumi pamoja na Diploma ya Uchumi. Nimehitimu chuo mwaka 2012 hapa hapa Tanzania ila kwa bahati mbaya sikupata ajira sehemu yeyote hadi leo hii. Nilikuwa na biashara yangu ya duka ambayo...
Back
Top Bottom