Search results

  1. Kalunya

    Uzi wa kuwapa vijana wazo la ujasiliamali/biashara baada ya malipo ya kazi ya zoezi la sensa kuisha

    Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee. Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana wachache waliobahatika kupata nafasi hio wataambulia kitu baada ya zoezi kuisha. Si chini ya sh milioni...
  2. Kalunya

    Bado una ndoto za kuzamia Ulaya?

    Wale wanaofkiri kuwa Ulaya maisha ni mazuri wala huwezi kuteseka namna ambavyo tunateseka Afrika Acha niwajuze tuu hapo unapoona pichani ni nchini Ufaransa jijini Paris hebu tazama maisha ambayo wanayoishi 😬😬😬 Kubwa zaidi ni pale mwamba hupigiwa simu na ukoo wote ili atoe msaada kwa sababu tu...
  3. Kalunya

    Mwanamke mpumbavu hupiga kelele

    MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGA KELELE. Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya tushindwe kuwa na amani kwenye mahusiano yetu. Ukiwa kama binti, unaweza usiwe na tabia zingine mbovu...
  4. Kalunya

    Kwani Mwanamke mpumbavu ubomoa ndoa yake mwenyewe?

    MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGA KELELE. Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya tushindwe kuwa na amani kwenye mahusiano yetu. Ukiwa kama binti, unaweza usiwe na tabia zingine mbovu...
  5. Kalunya

    SGR zihurumieni kodi zetu

    Wasalamu sioni haja ya kujenga madaraja vivuko vya magari kwenye mapitio ya magari wakati kuna njia mbadala na nafuu kwanini msiinue reli kwa kuongeza ukubwa wa tuta treni ipite juu magari yapite chini kupunguza gharama kama mfano wa karavati kubwa gari zipite chini. Airport mbomoe nyumba...
  6. Kalunya

    Je, una shida ya kusafisha negative picha zilizopigwa zamani jibu limepatika

    Wazee wa analogi kama ulichelewa kusafisha negative picha ulizopiga kama kumbukumbu enzi za ujana,na leo studio zote hazina mitambo ya kusafisha negative na ni kumbukumbu muhimu hata zile negative za black and white za miaka ya 60 jibu limepatikana. Nina jumla ya negative 500 sikusafisha mapema...
Back
Top Bottom