Search results

  1. Zee Korofi

    Aisee udhaifu wangu ni kitambi kwa mwanamke. Kile kinacho hang kidogo

    Jamani nataka sana tu kuacha kununua malaya ila tumbo jamani tumbo. Miko addicted sana na kitambi. Muda huu nimepita Mwananyamala jamani hawa Hayas wana matumbo mazuri mno. Makubwa kiasi meupe na yana hang. Daah aisee hatukubali hayas watoke... tutapambana na yeyote atakayetaka kuwatoa au...
  2. Zee Korofi

    Putin ni mpuuzi kabisa. Ukraine watu wanakufa,US allies tafadhali toeni warranty akamatwe haraka.

    Kwa nini msifanye kama ya Sadam Hussein? Watu wanateketea Ukraine huyo mpuuzi mnamuacha wa nini? Putin nakuchukia wewe ni kichaa. Leo watu biashara ngumu kwa ajili ya fascist mmoja wa kirusi. Marekani ndiye super power kamata hilo zee Putin. Nalaani kinachofanywa na Putin kwa taifa huru...
  3. Zee Korofi

    Nina hisia kali za kumuuma shingoni mke wangu tukiwa kwenye tendo

    [emoji24]kama mwanaume mwenye kifua naandika kwa kilio namajuto...nimeshindwa kulibeba hili peke yangu. Wakati wa tendo I become weird,huwa natamani ning'ate kwenye shingo ya mke wangu na ku suck her blood. I become weird as I see her blood vessels swollen in beauty. Please I need help...
  4. Zee Korofi

    Ni birthday ya mama kachanga kesho, nampa surprise kwa kumwagia mafuta ya kula lita 5

    Nimependa mno surprise hii, sabuni zipo za kutosha nitamuogesha tu. Ila lita 5 za mafuta ya kula atazioga itakuwa ni alfajiri. Haina effect kiafya? Wajuvi
  5. Zee Korofi

    Kufia kifuani pa malaya na kifuani pa mke lipi bora?

    Jamani ndugu zangu hasa sisi wanaume, tuna mengi mno tunapitia Hivi utajisikiaje unakufa juu ya kinena cha hawara? Ni aibu kiasi gani utaiachia familia yako? Tuache ama tupunguze kununua malaya ndugu zangu. Kama kifo kinakuita basi si ufie kinenani kwa mkeo tu? Ndiyo bora uzime tu kifuani kwa...
  6. Zee Korofi

    Malaya wengi wana sura zilizochoka sana. Iwe mabinti au watu wazima

    Na ukorofi wangu plus ujinga wangu wooote nawahurumiaga sana dada poa. Yaani kwa uzoefu wangu huu, wengi hasa wa siku hizi iwe mabinti au wa makamo, ni vijana kuanzia shingoni kuja chini tu. Kuanzia shingoni kupanda juu aisee wamechakaa kinoma, kwa wale watumiaji wa mkorogo ndiyo usiseme...
  7. Zee Korofi

    Nisaidieni wana JF natatua vipi aibu hii? Naaibika hivyo

    Nimepata ugeni wa mama mkwe wangu apa ninapoishi. Tumekua na ugomvi mdogo mdogo na mpenzi wangu siku mbili hizi. Sometimes hunifinya na kusema ngozi ya sura yangu ni kama ya goti. Hunichukiza sana na ukizingatia yupo kwenye uzazi namuacha. Kiukweli anaongea ili niumie kwa sababu sipo na ngozi...
  8. Zee Korofi

    Wabakaji wengi ukifuatilia hawana akili timamu

    Leo nitatamka maneno ya kutisha kidogo. Wabakaji wengi hawana akili,ni mataahira kwa ushahidi ufuatao; India mwanamke alimkata uume mbakaji aliyejaribu kumbaka: kwa akili ya kawaida tu hivi unadhamiria kubaka kabisa, why usiuchunge uume wako?ni kweli wabakaji wana akili ndogo na kadri damu...
  9. Zee Korofi

    Kanisa la sasa ni masikini kuliko la zamani

    Hivi kwanini kanisa hili la sasa ni masikini kwa kuangalia maishaya waumini wake wengi, tofauti na la zamani? Leo hii walalahoi wengi ndiyo wenye dini, utawakuta huko Wakristo kwa wingi wao na Waislamu kwa wingi wao. Ipi shida? Je, ni kweli ufalme wa mbinguni unatekwa na wenye nguvu, na akina...
  10. Zee Korofi

    Sikutani na omba omba. Siombwi hela hivi ndiyo kusema sina nyota ya ubilionea?

    Jambo hili linaniumiza sana, hasa wenzangu wanaposimulia faraja zao baada ya kuombwa hela na wahitaji. Mimi natamani ningekuwa naombwa kama wengine ila haitokei. Navaa vizuri na napendeza ila kwa nini nisiombwe hela? Hapa Dar nimeona na kusikia wengi wakiombwa hela aidha nauli, vyakula n.k...
  11. Zee Korofi

    Amenimwagia chai baada ya kusema nikifa upigwe wimbo wa hustling wa Rick Ross na ule wa I love you wa Celine

    Nina kawaida ya kunywa chai mara 2. Saa kumbi na mbili alfajiri na saa 4 asubuhi. Muda huu nina maumivu bado ya kuungua na chai. Ndugu zangu, kama mjuavyo binti ni mjamzito na nimeshindwa kumfanya chochote. Nikamwambia napenda tu zipigwe hizo nyimbo mwanzo mpaka mwisho wa mazishi. Alikuwa...
  12. Zee Korofi

    Sijachezea kabisa mbususu at my 10's

    Sometimes nawaza, au huenda niliepushwa ili niwe somebody kama nilivyo now? Sawa nina vihela vya kunitosha mimi na kusaidia wengine wengi, but why sina papara na mbususu? Nilisema nikipata maisha tu basi chupi zitanikoma, ila sasa hivi nachagua mimi nani wa kumfunua, so huenda nimeshawakinai...
  13. Zee Korofi

    Nimeandaliwa chai nimepiga teke

    Najilaumu mno, huyu mpenzi wangu amenichemshia maziwa na mikate, nilikuwa na hasira tu hasa baada ya kuliangalia tumbo lake na usumbufu anaonipa. Bado nina hasira mno mpaka muda huu. Chupa ya chai imevunjika na visosi vyote vimevunjika. Napitia kipindi kigumu kiasi, napata hasira nikiliona...
  14. Zee Korofi

    Mwanangu ameniletea pakti ya condoms kama zawadi ya safari

    Nimechanganyikiwa sana, kesho kutwa nataraji kuondoka kuelekea mkoa fulani kwa ajili ya masuala fulani fulani. Huyu mwanangu ana miaka 7 sasa ila ni mjanja kiasi. Amepataje akili ya kunipa kasha la condoms? Najiuliza je, ametumwana na mamaye ambaye tunaishi mbali mbali? Amenipa huku akiwa na...
  15. Zee Korofi

    Watu wanakufa jamani, ardhi inakula nyama za watu mno siku hizi

    Leo nipo tofauti, guys watu wanakufa, unakutana na mtu leo keshokutwa unasikia kashakufa ghafla. Watu wanakufa kimya kimya mno na haraka sana siku hizi. Naweza sema ni tofauti na zamani. Siyo wanawake siyo wanaume, wote wanakufa kimya kimya, kifo kipo serious mno. Tuombe mno Mungu hali ni...
  16. Zee Korofi

    Nimemchunia mara baada ya kugundua anaitwa Fadhila!

    Natanguliza samahani mno ikiwa kuna watu nitawakwaza. Huyu ni msichana mzuri na nadhifu na tuna mazoea kidogo, nilichukua namba nikamwambia namuhitaji, hakuwa na hiyana. Muda wote huu nilijua anaitwa Faith (nahisi nilisikia vibaya). Tukakubaliana tukutane juzi Pub fulani, sasa kabla ya kukutana...
  17. Zee Korofi

    Nipo kwenye mgogoro na mpenzi wangu kuhusiana na jina la kijacho

    Huyu ni mchepuko niliyenaye muda mrefu, ana ujauzito wa miezi 8.3 sasa. Jana tulipokutana aliniambia nichague jina la kijacho, na bila hiyana nikachagua mwanangu awe wa kike au wa kiume ataitwa Ninja. Nalipenda mnooo jina hili, akashtuka sana ila nikamwambia ndiyo imeshapita hiyo. Yeye akasema...
  18. Zee Korofi

    Wanaume wengi hawana confidence na wanaburuzwa na wake zao kwa sababu hawana nguvu za kiume za kutosha

    Kwa utafiti wangu nilioufanya in indirect way, umebaini dunia ya leo wanawake wengi hawafikishwi kileleni na waume/ wapenzi wao, ni more than 98.7% approx! Na zilizobakia ndiyo zile za wale wanaofikishwa kwa hapa Tanzania. Wanaume madhaifu haya yameshatambuliwa na wake zao na hivyo wanawake...
  19. Zee Korofi

    Mchumba wangu kanikata stimu, alipata ugonjwa wa kuhara, sitaki hata kumuona, namchukia na sitaki aniguse

    Sijui nipoje (in Whozu voice),ila ndivyo nilivyo, huyu mpenzi wangu ninaishi naye vizuri na kwa upendo kwa muda mrefu. Sasa week jana alipata homa ya kuhara, siyo mbaya kila mtu anaumwa, ila ile kuhara na zile ptaraaa raraaa puuu puuu ptruuuu (niwe mkweli tu nisiache kitu ili kama kusaidika...
  20. Zee Korofi

    Ni week sipo sawa baada ya mpenzi wangu kuyaona makalio yangu

    Nimeumia sana, kama mwanaume mwenye heshima zangu na kijana smart, kuonekana makalio yangu na mpenzi wangu. Ni week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku tena kwa shida sana, napo ni baada ya kulazimishwa sana. Yeye hajajua sababu hii ila anaona nimebadilika ghafla, sometimes napiga mito kwa...
Back
Top Bottom