Search results

  1. B

    Wazo la leo: Kijiweni kwetu

    hahahaha
  2. B

    Nani anajua Kuhusu chuo cha IMTU

    umechaguliwa degree?
  3. B

    Transfer ya chuo

    Badluck kwa mwaka huu...transfer ya hivi hairuhusiwi, walisema itakuwa online tu.
  4. B

    You have not Secured Loan (HELSB 2015/16)

    Sio wote tulioandikiwa hivyo....kuna mtu nakaa naye hapa kapata mkopo na hayupo M.D
  5. B

    sua loan allocation first year 2015/2016

    Batch za awali ni kwa continuing students i guess.
  6. B

    sua loan allocation first year 2015/2016

    Umeona wapi kuwa ni batch ya 6
  7. B

    Wakuu,heslb imeachia mikopo,kupitia "olas"

    Heslb imeachia...but sasa hivi haifunguki, sababu server yao imezidiwa. So kuweni na subira, na muwe mnajaribu kufungua fungua.
  8. B

    Tuliochaguliwa IMTU tujuane tafadhali

    Prospectus ya chuo tutapataje?
  9. B

    Magufuli aliahidi kitu gani katika elimu yetu?

    Doing the same thing over and over again....and expecting different results, Tanzanians we are not serious.
  10. B

    Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    Uongo usiofichika...hili neno "Budget exhausted" litawahusu watu wengi sana mwaka huu.
  11. B

    Transfer jamani..

    Transfer za barua mwaka huu haziruhusiwi kabisa. So ni kusubiria transfer window ifunguliwe online ili uombe, na as far as i know, mpaka transfer kufunguliwa..watu watakuwa wamesharipoti katika vyuo vyao husika.
  12. B

    TCU fifth round opened

    Deadline ya hawa fifth round sijui itakuwa ni lini....na vyuo vinakaribia kufunguliwa.
  13. B

    TCU fifth round opened

    yes....kuna fifth round
  14. B

    TCU fifth round opened

    Kwa wale applicants walioapply kwenye fourth round, matokeo yapo tayari katika profile zao, na kwa sasa CAS inafunguka vizuri tu na CAS ipo open kwa fifth round...nawatakia kila la kheri wanaoapply katika Fifth round...!!! Hii ndo Tanzania
  15. B

    TCU waweka round ya nne!

    Sasa hivi wanafanya updates ya selection zote...na kuliandaa dirisha la transfer kwa kuweka kozi husika.
  16. B

    TCU waweka round ya nne!

    Anapanga ya mwakani....ana uhakika atakuwa waziri tena.
  17. B

    IMTU waliochaguliwa hapo utaratibu uko vipi

    Kwani imtu tatizo lake nini???
Back
Top Bottom