Search results

  1. S

    Vifurushi vyetu vinapotea shirika la posta

    Kuna mazingira ambayo hayaeleweki katika shirika la Posta hapa Dar es salaam.Kutokana na maendeleo yaliyopo sasa hivi ya kiteknolojia, Kuna bidhaa ambazo tunanunua kwa njia ya mitandao kutoka sehemu mbalimbali duniani. Baada ya kukamolisha taratibu zote za kimalipo,bidhaa inatumwa huko...
  2. S

    Kuna tatizo mahali, dola hakuna sekta binafsi zinakufa

    Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo. Je, kitu gani...
  3. S

    Siyo TANESCO tu hata TTCL ni Kichefuchefu kingine

    TANESCO hawana jina zuri kwa sasa mbele ya wananchi kutokana na kukatika ovyo kwa umeme lakini hawa TTCL ni wa ovyo na wazembe kupindukia. Maeneo ya Oysterbay takriban mita miatatu hivi kutoka ofisini kwao kuna nguzo ya simu ilianguka yapata siku kumi hivi zimepita. Hii nguzo imeangukia kwenye...
  4. S

    Huko dunia ya Ulaya kuna jambo gani kuhusu Afrika?

    Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla. Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi. Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo...
  5. S

    Jangwani hakuna miti ya maana wala misitu lakini mbona mvua zinanyesha?

    Najiuliza hili jambo mara nyingi kwani kuna wakati nilikuwa kule Sharjah,moja katika falme za kiarabu (IMARATI). Siku moja ikanyesha mvua kubwa tena ya kutisha na kwa muda mrefu. Nikajiuliza kule hakuna misitu kama huku kwetu tunayoitegemea kwa mvua,inakuwaje wapte mvua ?
  6. S

    Benki ya Equity Mwenge ni kero kubwa kwa wateja

    Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
  7. S

    Karibuni Wachina na mikataba yenu ya ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Huenda ikawa baada ya miaka 100 ijayo ngozi nyeusi ikapatikana kwa nadra hapa Tanzania kama ilivyo kwa Madagascar na Mauritius. Kupata mtu mweusi wa asili itabidi labda uende ndani kabisa mashambani huko vijijini. Majina ya asili yatachanganyikana na ya kichina kwa hiyo yatapotea kabisa...
  8. S

    Hili la wizi wa mafuta TPA linaumiza vichwa

    Kwanza kabisa nimpongeze DC wa Kigamboni kwa swala zima la kuwabaini wezi wa mafuta kwenye mabomba ya mafuta ya mamlaka ya Bandari tanzania (TPA) kule Kigamboni cha kushangaza kabisa eti TPA nao wanadiriki kupongeza juhudi za mkuu wa Wilaya katika kuwabaini wezi wa mafuta. Hii ni aibu kubwa...
  9. S

    Madini yaliyopo kwenye hifadhi nadhani tuyaache kwa sasa

    Ni kama nimesikia kwamba tufikirie kuanza kuchimba madini yaliyopo katika baadhi ya hifadhi zetu. Hoja haipingwi kwa kupigwa rungu lakini nilikuwa nadhani tufikirie na yatokanayo baada ya kuanza kuvamia hizi mbuga na kuanza kufukua chini. Huenda ikawa mazingira tuliyoyapigania kwa muda mrefu...
  10. S

    Neno'Mwendazake' halifai

    Hemed Kivuyo,acha kabisa kutumia neno 'Mwendazake' katika hali hii ya kuomboleza.Unalitumia peke yako tu,halina ladha wala taadhima katika kipindi hiki.
  11. S

    Traffic wanabambikia watu faini, unaletewa meseji kwenye simu kwamba umepigwa faini na gari halijaenda popote

    Kumekuwa na hali ambayo haileweki ndani ya jeshi la polisi upande wa usalama barabarani ambapo unaletewa meseji kwenye simu kwamba umepigwa faini na unaandikiwa na kosa lako wakati huo wewe upo Dar es salaam na gari halijaenda popote siku nzima wewe upo nyumbani. Ukiingia kwenye mtandao wao wa...
  12. S

    CHADEMA ilikuwa na uwezo wa kupata Wabunge wengi ila kauli tata za Tundu Lissu zimewagharimu

    Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo. Huwezi...
  13. S

    Maeneo ya Oysterbay - Dar yemekumbwa na kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara bila taarifa

    Maeneo ya Oysterbay - Dar yemekumbwa na kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara bila taarifa kwa takriban wiki ya 2 sasa. Si asubuhi, si mchana wala si usiku. Leo tarehe 18 /10/2020 umekatika kuanzia saa 1.30 usiku mpaka mpaka saa hizi saa 7 kasorobo usiku kuamkia tarehe 19/10/2020 ni giza...
  14. S

    Ole Sosopi hana adabu

    Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao. Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi...
  15. S

    Mlemavu wa ngozi adai alikataliwa Seminari kwa sababu hajawahi kutokea Padri wa aina yake

    Leo asubuhi kwenye kipindi cha morning magic katika redio ya Magic FM walikaribiswa viongozi wa taasisi ya Under The Same Sun katika kuelezea madhila yanayowapata wototo na watu wenye ualbino kwa sasa. Kijana mmoja ambaye ni albino katika kujieleza alisimulia jinsi alivyokataliwa Seminari na...
  16. S

    Sekondari ya wavulana Tabora irudishwe katika mfumo wake

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya kupotea kwa uzalendo miongoni mwa watanzania kutokana na tabia na mienendo mbalimbali iliyokuwa na inayoendelea kujitokeza.Mengi yamezungumzwa na kutafsiriwa kama ni ukosefu wa uzalendo hasa yanapojitokeza kwenye nyanja za kisiasa...
  17. S

    Mahafali ya 48 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Tangazo hili la mahafali limesainiwa na makamu mkuu wa chuo .Linaonyesha idadi kubwa ya wahitimu watarajiwa wa kike kuliko ile ya wanaume.Je lina ukweli ? Ukilitazama jedwali la wahitimu katika upande wa asilimia linaonyesha mkanganyiko katika jinsia..Je tangazo hili kweli limetoka chuo kikuu...
  18. S

    Uhafidhina na kuwa na hisa kwenye chama cha siasa kinachoongoza Serikali

    Kuna wanasiasa ambao wao ndio chama na ukiwaondoa wao chama hakipo.Na ndiyo maana tunashuhudia ugumu wa kufanya uchaguzi kwenye baadhi ya vyama au uchaguzi hufanyika kwa watu maalum walioandaliwa kushinda.Na wakati mwingine mtu akionyesha nia kuwa anataka kugombea basi huyo anatafuta uadui na...
  19. S

    Wazee wanaochukua pension ya mwezi NSSF wakutana na mkwamo mwezi Mei

    Katika mazingira ambayo hayakutarajiwa Baadhi ya wastaafu hapa Dar es salaam wamekosa pension zao mwezi May hadi inafika tarehe 31/5/2018.. Wanapoulizia kule wanapochukulia pesa zao wanaambiwa hawajahakiki kwa hiyo waende Ilala.Ukweli ni kwamba walishahakiki mapema mwanzoni mwa mwaka kama...
  20. S

    Upinzani sasa wagawana majukumu ya uchonganishi

    Sasa ni dhahiri shahir kuwa upinzani umejigawa rasmi katika kuichonganisha nchi. CHADEMA wao wanashughulika zaidi na kuichonganisha nchi yetu na mashirika ya kimataifa na hata kuichonganisha na nchi zingine nje ya Tanzania. Wakati huohuo ACT wazalendo wakiongozwa na Zito wao wamejikita...
Back
Top Bottom