Search results

  1. Ngongoseke

    Maneno ya hekima kwa wenye hekima

    Funguo nimezipenda Jihadhari na machozi namna tatu: 1-Chozi la aliyedhulumiwa 2-Chozi la yatima 3-Chozi la baba na mama yako Moja ya machozi haya yakitiririka, umejifungulia jahannam...
  2. Ngongoseke

    Usia muhimu wa wazazi!!!

    Hakika...maneno yanatoa machozi "Mama anaongea na mwanawe na kumpa usia" Mwanangu mpenzi: Kuna siku utanikuta uzee,sitafanya mambo yangu kwa akili; yakitokea hayo nakuomba tafadhali nipe muda na subira ili unifahamu !! Pale mikono yangu...
  3. Ngongoseke

    Hakuna anayeweza kuizima nyota ya Zitto, ila Mungu pekee

    Kuna baadhi ya wafata upepo na vifaranga+ misukule waamini eti huu ndio mwisho wa Zitto mnajidanganye ndio kwanza jamaa anazidi kuwa gumzo na anazidi kupaa tu. Zitto tunako na wewe kokote utapokwenda nenda chama chochote ila usiende ccm tu,wewe ndio nembo ya mabadiliko nchini hata wanaokupiga...
  4. Ngongoseke

    Hivi ni kweli ukiwa na gari nzuri lazima utakuwa na dem mzuri?

    Habari zenu wanajukwaa hili , Nilipotea muda nilikula ban ya kimagumashi, Tuachane na hayo hivi jamani kauchunguzi nilikokafanya kasio rasmi nimeona vijana wengi wa kiume wakiwa na gari za ukweli lazima ndani yake kutakuwa na mtoto wa ukweli pia, Hivi ina maana kupata demu mkali mpaka tuwe na...
  5. Ngongoseke

    Mbwana na ulimwengu wananikosha

    Kwa wale mnaotazama mechi hivi sasa Kati ya TP mazembe na setif mmejione watoto wakibongo wanavyofanya yao huko Congo, Krosi imepigwa na samatta goli kafunga Thomas ulimwengu ni bao la 3 hilo Mpaka sasa mazembe 3 setif 1 mashindano ya CAF
  6. Ngongoseke

    Kampuni mpya inahitaji wafanyakazi

    Kwa waliotayari cv tuma pm
  7. Ngongoseke

    Sitoisahau siku nlipokutana na zee punga

    Habari zenu wa jf Sio vibaya tukihadithiana habari na mikasa tunayokutana nayo katika maisha, Nakumbuka ilikuwa mwaka 2011 mwezi July,nimetoka zangu likizo huko home,basi siku ya pili asubuhi ilibidi niende ofisini kuripoti kama nimesharudi, Basi gari yangu ilikuwa imekwisha bima ikabidi...
  8. Ngongoseke

    Mtambuzi nisaidie hiki kitu

    Heshima kwako kaka yangu ndugu mtambuzi, Naamini kabisa wewe ni mmoja wa watu waliokuwa karibu sana na mtambuzi mwenye sifa zote marehem Munga Tehenan, R.I.P Kuna story aliwahi kuitoa kwenye gazeti lake la jitambue kati ya mwaka 2005 hii story niliipenda sana lakini kuna part sikuzipata,story...
  9. Ngongoseke

    Picha za pati baada ya Mugabe kuapishwa kwa awamu ya saba kwenda ikulu

    Unadhani ngoma gani alikuwa anacheza?
  10. Ngongoseke

    Msaada wa movie za kibongo zenye maadili,

    Habari zenu wanaukumbi, Mimi kama mtanzania mwingine naombeni msaada wenu anaejua movie zenye maadili ya kitanzania nipate japo kujiliwaza na familia yangu, Movie nyingi nimekuwa nikitazama nashindwa kumaliza kutazama maana nakuwa na family yangu,watoto,mke,wakati mwingine wazee,ukweli hazina...
  11. Ngongoseke

    Nawatafuta sana watu hawa anaewafaham please

    Ashrafu Jowayr,au Anchu jina la utani huyu bwana nilisoma nae primary nzega tukaachana tukiwa drs la 4 akaelekea Arusha,mwaka 1994 Mwingine ni, Rozi mallya,au.rozina petro, huyu bint pia nimesoma nae primary alikuwa.swahiba wangu sana,tuliachana miaka mingi alipohama na family yake walihamia...
  12. Ngongoseke

    % kubwa ya vijana chini ya 25 yrs ni waongo

    Habari zenu wadau wa jf Kama heading ilivyo kiuchunguzi changu kisicho rasmi kinaonyesha kama hivyo,vijana wengi walio chini ya umri wa 25 yrs wanatabia za kupenda kusema uongo sana japo sio wote, Hapa ni kwa wakike na kiume, wanapenda sana kujisifia kwa watu, Mfano hebu uwe safarini au sehem...
  13. Ngongoseke

    Msaada natafuta machine ya kuprint film,

    Habari zenu wa jf Natumai muwazima wa afya. Naombeni msaada wenu kwa mtu ambae anaju sehem au mahala naweza kupata machine ya film, Inayoprint nailoni kama za mikate au mifuko ya plastic,iwe inatumia computer ndani ya tz au nje, Natanguliza shukraan zangu, Mawasiliano yangu...
  14. Ngongoseke

    Katiba mpya izuie viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa

    Habari zenu wa jukwaa, kutokana na matatizo yanayoendelea ndani ya nchi yetu, mimi kwa maoni yangu naona bora katiba mpya izuie kabisa viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa au kushiriki mambo ya siasa wabaki washauri tu, nadhani hili litawajengea heshima kubwa katika jamii kuliko haya tunayo...
  15. Ngongoseke

    Tazama bei za petrol kwa wenzetu

    Wadau hizi beiza petrol nimezikuta pale oman 1.super 0.122 baisa= Tshs 485 2.Regular 0.116 baisa= Tshs 465 3.Diesel. 0.146 baisa= Tshs 585 Hivi na sisi tukianza kuchimba mafuta je bei hizi tutazipata?
  16. Ngongoseke

    Msaada wa kitabu cha Alfu lela ulela

    Habari zenu wa jf natumai mko poa kabisa,samahani waungwana kwa mtu ambae anaju wapi ntapata link ya kitabu cha alfu leyla ulela naomba aniwekee,pamoja na kitabu cha Kamarazaman na bad-uur,samahani watoto wa.com najua hamjui hivi vitabu kwa hiyo naomba heshima iwe mbele sio vibaya kama hujui...
  17. Ngongoseke

    Hapa Hasheem Thabiti sijui kama anafika

    Nilipokutana na huyu jamaa mpaka niliogopa kwanza, anaitwa Naazir ni mpakistani ana umri wa miaka 26 jamaa ni mrefu si mchezo,
  18. Ngongoseke

    Kitu hicho

    Mmh si mchezo,laana tu llah
  19. Ngongoseke

    Hivi kwanini wabeba box wa JF wanadharau ?

    Kuna baadhi ya wabeba box hapa JF wamejaa dharau sana nakuwaona kama waliopo home hamnazo ila wao washavuka maji ndio wana akili acheni tabia za kipuuzi hizo kuishi nje ya nchi sio kuwa unajua kila kitu ,
  20. Ngongoseke

    Mitaa flani ya muscat

    Semeni hapo tz lini tutafikia barabara hizi?
Back
Top Bottom