Search results

  1. +255

    Zinedine Zidane kala shavu Qatar

    Una maana 109,589,000,000 kwa siku?
  2. +255

    Series (Special thread)

    Tokyo: It's worst if it goes well. What the fu** are we going to do with so much dough? Denver: I will buy a Maserati.
  3. +255

    MSAADA: Kubadili jina la mmiliki wa kadi ya gari

    Nenda TRA ukiwa na:- 1. TIN yako 2. Mkataba wa mauziano 3. Original registration card 4.Passport size.
  4. +255

    Vitu vya kufanya Ukiazima Gari la Mtu

    Hiyo namba 2 mwenye gari linamuhusu zaidi baada ya kuazimisha gari. Aliyeazima akirudisha inabidi uangalie kwanza, inawezekana alipigwa fine, af akasahau/akauchuna kukwambia baadae unakuja kuingia gharama mwenyewe wa kuzilipa.
  5. +255

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Ukiacha bandari kipi ambacho hakipo Dodoma kati ya hivyo?
  6. +255

    Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

    Maji ya ujenzi? Gharama za usafiri wa hivyo vitu?
  7. +255

    Ulaji huu wa mafuta ni kawaida?

    Ipeleke kwa fundi ikakaguliwe, kuna gari ina 1500cc ilikuwa inatumia 9km/l. Ilikutwa na tatizo la Oxygen sensor mass air and flow sensor na nozzle moja ilikuwa inamwaga mafuta zilipobadilisha ikaanza kutumia 15-16km/l. Inawezekana na gari yako ikawa na tatizo kati ya hayo.
  8. +255

    Naibu Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile akemea udhalilishaji watoto zoezi la RC Makonda

    Kuna sehemu Makonda kasema anaenda kuwapa matumizi au wanawake wote hao kaongea nao yeye? Alichosema wanaenda pale kupata msaada wa kisheria, ndio maana kuna wanasheria pamoja na wataalamu toka ustawi wa jamii ambao ndio wanawasikiliza hao wakina mama. Tatizo kubwa tuna chuki ya kila kitu...
  9. +255

    Naibu Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile akemea udhalilishaji watoto zoezi la RC Makonda

    RC ndio kawaambia au aliwalazimisha watu wa vyombo vya habari waoneshe picha za watoto? Tusiwe watu wa kumpinga kila kitu anachofanya kisa hatumpendi.
  10. +255

    Naibu Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile akemea udhalilishaji watoto zoezi la RC Makonda

    Kuna mama nimemsikiliza jana, kafata process zote hizo lakini hamna msaada wowote wa maana alioupata toka kwenye hizo taasisi.
  11. +255

    Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Ina maana kamanda na yeye atakuwa amelizwa?
  12. +255

    Kwanini simu za Samsung zinavunjika vioo kirahisi sana?

    Tafuta za glass ina zina bei kidogo around 40k. Kuna nyingine zinakuwa kama hizi protector za kawaida ila nyingi naona huwa zinauzwa set inakuwa na protector ya kioo cha mbele na nyuma. Tatizo lake baada ya muda mfupi sana u clear wake huwa unapotea na kufanya display ya simu kutokuonekana...
  13. +255

    Kwanini simu za Samsung zinavunjika vioo kirahisi sana?

    Protector haiuzuii kuvunjika kwa kioo, ila inauzui kioo kisipate scratch tu.
  14. +255

    Kwanini simu za Samsung zinavunjika vioo kirahisi sana?

    Inategemea na aina ya protector unayoweka, kuna zile za kubandika ndio zinasumbua.
  15. +255

    Naomba kujua vigezo walivyotumia AZAM MEDIA kugawa tuzo kwa watu hawa

    Umeeambiwa tuzo ndio mara ya mwisho kufanyika? Au ilikuwa ni lazima apewe mwaka huu? Wanaweza wakampa hata mwakani au mwaka kesho kutwa.
  16. +255

    Laizer unazingua sana

Back
Top Bottom