Search results

  1. Vicenza

    Ni changamoto gani ulishapitia Kwa mafundi?

    Wiki iliyopita nili tafuta fundi mtaani aniwekee double socket Kwa room ambayo nilikuwa naitaji nyongeza ya socket ya kuweka tv ukutani, Sasa fundi akaja usiku sa mbili kupanda darini ,ilibidi nimsamamie adi alipo maliza ,akanijulisha tayr naweza jaribu kuweka kifaa Cha umeme kama Ina fanya...
  2. Vicenza

    Nakuwa mzito kuomba mchango wa harusi

    Habari za saa watanzania wenzangu, Namshukuru Mungu Kwa kuzidi kuniongoza katika safari ya maisha ,Mimi ni kijana ninaye chukia sana kitu kinaitwa mchango wa harusi ,ni Bora niombe mchango wa matibabu lkn sio harusi,nilibahatika kupata kazi mwezi wa tano mwaka huu ,ila pia Kwa neema za Mungu...
  3. Vicenza

    Nilichokiona jana kwenye daladala ya kwa Morombo-Arusha

    Habari za saa wana Jf, Jana majira ya saa moja usiku nilipanda daladala ya kwenda kwa moromboo,wenyeji wa arusha bac mtakuwa mnaelewa huu mtaa kwa sifa za matukio mengi ya wizi kwenye daladala na hata mtaani,na waathirika wengi wa haya matukio ni kina mama na wadada ndio wanakuwa wa hanga...
  4. Vicenza

    SoC01 Nafasi ya Mwanamke katika jamii na familia

    Habari za saa wana JamiiForums, Kwanza kabisa niingie moja kwa moja kwenye maada husika inayomuhusu mama/mwanamke wa kiafrika anayepitia changamoto mbalimbali,Ni kujaribu kujua jamii ya afrika ni kwa nini hatuwezi kuwaamini kinamama katika kufanya jambo la maendeleo katika familia na hata ngazi...
Back
Top Bottom