Ahsante kwa ushauri lkn sitoufanyia kazi, Me na wife majina yetu yanaanza na herufi "M" hivyo tumeamua watoto wetu majina yao nayo yaanze na herufi M. Tayari tuna wawili Muddathir na Munira, tukijaaliwa mtoto mwingine utaratibu ni ule ule wa kuanza na herufi M
Kozi za kitaalam kama IT, Computer science na engineering ni lazima upate wakufunzi waliobobea ili na wewe uwe bora, haya mambo ya kumwambia mtu ajifunze mwenyewe ilhali mambo ni mengi muda mchache ni kuumizana tu.
Anayepaswa kuwajibishwa haswa no yule aliyekuwa Waziri wa ujenzi kwani hasara zote hizo na zitakazoendelea kuja ikiwemo kuja kubomolewa barabara ya jangwani ni yeye ndio kasababisha!!!
Kivuko alinunua bomu akakigawa jeshini,labda na barabara nayo ataigawa!!
Mkuu hizi mambo hazina formula. Ukienda Europe wadada wanajiua kwa kuwa wanene ilihali hapa bongo dada zetu now wako busy kwenye diet na detox kukata unene.
Selfie tu ndio zimesababisha wadada watamani unene ila wa matako ili wakibinua kiuno aonekane Msambwanda upo - sijui ndio nyumba choo ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.