Search results

  1. KXY

    Watanzania ndivyo tulivyo

    Nawasalimu wana jukwaa! Nchi yetu ya Tanzania siyo ndogo kwa eneo wala idadi ya watu, napotumia neno watanzania kama ilivyo mazoea (japo si sahihi) ninaangazia zaidi wale walionizunguka. Kwangu watanzania ni ndugu zangu, majirani, niliosoma nao na ninaoendelea kukutana nao katika shughuli za...
  2. KXY

    Mikono mitatu kapi moja 3 mzuka

    Oktoba 5, 2017 21:00
  3. KXY

    Mkwamo wa kikatiba Zanzibar

    Katiba ya Zanzibar 28.(1) Kufuatana na Katiba hii mtu ataendelea kuwa Rais mpaka: (a) Rais anayefuata ale kiapo cha kuwa Rais; au (b) afariki wakati akiwa Rais; au (c) hapo atapojiuzulu; au (d) iwapo amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; au (e) kwa sababu yoyote nyengine...
  4. KXY

    Tunauhitaji mshumaa huu

    Salaam kwenu! Jioni ilipokuwa ikikaribia wengi hawakuwa na habari na maandalizi ya kitakachofuata baada ya jua kuzama. Wachache sana waliandaa nyenzo ya kuwafanya waweze kuendelea na kazi giza litakapoingia, hawa waliandaa mshumaa. Kati ya wale wengi baadhi yao walikejeli walipoona mshumaa...
  5. KXY

    Mh Rais unalipa kodi?

    Salaam wana jamvi. Miaka michache nyuma kuliibuka mjadala watu wakitaka kujua mishahara ya viongozi. Wapo waliosema hairuhusiwi kisheria kuijadili lakini kwa bahati mbaya au nzuri mbunge Zitto kabwe alitaja mshahara wa waziri mkuu na wa Rais. Siku chache baadae waziri mkuu wa wakati huo mh...
  6. KXY

    Wizara ya Afya, tunasubiri bei elekezi ya dawa

    Salaam wana jamvi! Salamu hizi pia zimfikie mwanachama mwenzetu mh naibu waziri @HKigwangalla Katika gazeti la mwananchi la tarehe 13 Novemba kulikuwa na habari ambayo sehemu yake ni hii hapa Sasa tunasubiri hizo bei elekezi maana huku mtaani kwetu dawa kama hizi hapa Ni sh 5000....tu...
  7. KXY

    Tanzania kuanzisha mazungumzo ya kusuluhisha mgogoro wa Burundi

    Wakati wakimbizi kutoka Burundi wakiendelea kumiminika kambini mkoani Kigoma, Rais Magufuli amemuagiza waziri wa mambo ya nje, ushirikiano wa kimataifa, Afrika Mashariki na Kikanda, Dr Augustine Mahiga, kufufua maongezi ya Amani na mawaziri wenzake wa Afrika Mashariki wanaoshughulikia uhusiano...
  8. KXY

    Yatokanayo: Wizi wa kura chaguzi za Urais mpaka lini?

    Nawasalimu wana jamvi. Uchaguzi umekwisha na sasa tunaye Rais wa awamu ya tano. Nia yangu si kuturudisha nyuma bali kutafuta namna ya huko tuendako nini kifanyike. Naomba niwarudishe mwaka 2010 na kuwakumbusha kilichotokea Na mwaka jana kauli hii ilitolewa.. Hayo ni maneno ya aliyekuwa...
  9. KXY

    Tathmini ya uchaguzi wa Urais katika majiji (Arusha, Dar, Mbeya, Mwanza)

    Wakuu! Hii ni tathmini niliyoifanya kwa mikoa iliyokuwa na hamasa kubwa katika kipindi hiki cha uchaguzi. Karibuni muangalie hizi takwimu na mtoe maoni yenu, maoni yangu yatafuatia baadae. Katika mikoa minne yani Arusha, Dar es Salaam, Mbeya na Mwanza kura zilizopigwa ni 4,141,574 sawa na...
  10. KXY

    Mauzo ya albamu za muziki Tanzania, Mkubwa Fela ataleta nafuu?

    Leo tarehe 21 mwezi wa nne 2015 bwana Said Fella amesikika akihojiwa redioni kwamba wanakuja na utaratibu wa kusimamia mauzo ya muziki hapa nchini kwa kuanzisha kampuni ambayo itasimamia mauzo ya wasanii watakaokubaliana nao. Kwa mujibu ya maelezo yake wao watakuwa wanakubaliana dau na msanii na...
  11. KXY

    Kilimo User Guide

    Habari zenu Wajasiriamali! Leo nimekuja na wazo la kutengeneza muongozo wa mkulima(user guide). Wazo hili limekuja baada ya mimi banafsi kunufaika na maelezo (nondo) yanayotolewa humu kuhusu ujasiriamali kwa ujumla. Lengo kuu ni kutoa summary ya vitu vingi ambavyo vishaelezewa humu na kupunguza...
  12. KXY

    Bahati nasibu au kamari? Amka milionea & mahela

    Habari za Jumapili wanajamvi. Kuna hili suala la mmichezo ya kubahatisha katika mitandao ya simu linanitatiza kidogo. Kwanza nafahamu kwamba ni hiari ya mteja kushiriki hivyo wenye mitandao kwa kiasi fulani wanajitoa kwenye hatia. Tukiachana na hilo tujadili sisi kama wateja tunavyochukulia...
  13. KXY

    TANESCO Nguzo lini?

    Heshima kwenu wadau! Sijaona uzi (thread) inayozungumzia hili tatizo kama ipo mtanisaidia kutoa link au mods waiunganishe. Nimelipia umeme mwezi wa kwanza mwaka huu nikaambiwa nguzo hakuna lakini kwenye karatasi yao wameandika umeme utakuwa umeingizwa ndani ya nyumba ndani ya siku 60. (Jana...
  14. KXY

    Tujikumbushe LOLIONDO

    Wanajamvi, Leo nawaletea makala toka The New York Times iliyochapishwa Novemba 13, 1993. Matukio haya mengi yametokea chini ya safu hii hapa chini Rais: Ali Hassan Mwinyi Waziri wa Utalii, Maliasili na Mazingira: Abubakar Mgumia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa: Abdulrahman Kinana...
  15. KXY

    Mikononi mwa polisi: what else can you live by if you die by the gun?

    Jana kwa mara nyingine tena kumetokea vurugu kati ya raia na polisi ambayo yalisababisha mtu mmoja kujeruhiwa na risasi. Hapa nitatoa maoni yangu kwa kuangalia suala moja ambalo ndilo naliweka jukwaani tulijadili. Natambua kuna maoni tofauti juu ya fujo kama hizi ambapo watu huchagua upande...
  16. KXY

    Mjadala: viongozi au wawakilishi?

    Nawasalimu wakuu! Wana jamvi naomba tusaidiane mawazo na tuelimishane kuhusu huu mjadala, kipi ni kipi, kiongozi ni mwakilishi, mwakilishi ni kiongozi au yote majibu/si majibu? Ili kupata mwanga ni vizuri kujua maana ya haya maneno, samahani nitatumia tafsiri zake za kiingereza ili niweze...
  17. KXY

    USHAURI: Uandishi wa Thread Titles kwenye Forum hii

    Habari wakuu! Kuna hili suala la uandikaji wa title za thread zetu naomba niliongelee kidogo. Mimi naamini kichwa cha habari kina uzito mkubwa sana tu katika habari husika, kichwa cha habari kinaweza kukushawishi uisome habari hiyo au kinaweza fanya usitake kabisa kujua kilichopo ndani kutokana...
  18. KXY

    Watanzania tunamuhitaji Musa kutupeleka nchi ya ahadi

    ​Wengi wetu nataraji tutakuwa waumini wa dini na bila kuzitaja dini hizo naamini asilimia kubwa ya sisi waumini tumeshasikia hadithi za Musa/Moses. Katika hadithi hizi sehemu kubwa inaelezea safari ya kuwatoa utumwani Waisraeli na kuwaongoza katika nchi ya ahadi. Kuna mambo mengi sana ya...
  19. KXY

    Windows 8: Windows To Go

    Wadau wakati tunasubiri Windows 8 kuna hii feature imenigusa sana ya Windows To Go. Windows To Go ni feature ambayo unaweza install Windows 8 kwenye flash/ext disk na kui-run tokea humo kama ilivyo kwa live CD kama za Ubuntu. Hii nimeipenda kwa sababu inawezekana ukawa hupendi kutumia hiyo...
  20. KXY

    Wana Jamvi hodi humu ndani

    Habari zenu wenyeji? Naamini si vyema kuingia kwenye mji wa watu bila hodi na JF ni 'home' of Great Thinkers nami nimeona ni vyema kuingia kwa hodi. Japo si mgeni sana lakini wenyeji wangu uliishia upande ule wa 'guests' na kwa upande huu wa 'members' nahitaji kushikwa mkono, natarajia kujifunza...
Back
Top Bottom