Search results

  1. Kiturilo

    Hayati Magufuli ni kichaka cha Mbowe?

    Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu. Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,! Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe. Kazi yao ni kuwapumbaza...
  2. Kiturilo

    Janga kubwa kwa nchi yetu ni CHADEMA

    Tundu Lisu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa juhudi kama ulivyokuwa unawatetea Acacia wakati wakiibia madini watanzania hakika utabarikiwa sana...
  3. Kiturilo

    Paul Makonda aibuka kidedea, Chadema hoi

    Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi. Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu. CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki...
  4. Kiturilo

    Rais Samia usipofanya hili utakutana na hasira ya Mungu kupitia wana ccm 2025

    Mh rais Samia,sisi wana ccm tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali basi tunakuomba pia uguswe na umwachie aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai...
  5. Kiturilo

    Leo nipo jimbo la Mtama, sijaona legacy ya Nape wala Membe

    Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya ccm licha ya mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni lazima Nape alazimishwe kuwaomba radhi wanaccm na watanzania kwa ujumla. WanaCCM wengi wamesusa...
  6. Kiturilo

    Lissu anaona aibu kurudi baada ya Tanzania kutoshitakiwa MIGA

    Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya. Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo...
  7. Kiturilo

    Pamoja na chuki zao lakini wameshindwa kuyaacha mawazo ya Hayati Magufuli

    Unapokula kichwa mradi wa umeme kutoka bwawa la Nyerere ambao umefikia 50% itabidi watuambie umeme tutatoa wapi?. Unapokula kichwa serikali kuhamia Dodoma na kusema ni hasara itabidi wajieleze. Unapokula kichwa reli ya kisasa ambayo inakaribia Makutupora itabidi wajieleze kwa watanzania hiyo...
  8. Kiturilo

    Baada ya kuzidiwa na nguvu ya umma, Bernard Membe kufafanua kauli ya Nape

    Wiki moja baada ya mwanasiasa nguli nchini, Bernard Membe kurejea rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu alipofukuzwa mwaka 2020, hatimaye ameeleza kuhusu kauli iliyozua utata iliyotolewa siku ya kukapokewa kwake. Mei 29 mwaka huu Waziri huyo wa zamani wa Mambo ya Nje ya Nchi...
  9. Kiturilo

    Mpaka sasa milioni 15 zachangwa kumuokoa Sabaya, asanteni Watanzania

    Mh Rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali basi tunakuomba pia uguswe na umwachie aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai...
  10. Kiturilo

    Patrobas Katambi: Vijana pambaneni na vita ya uchumi na siyo majungu

    Naibu waziri wa ajira na kazi bwana Patrobas Katambi amewataka vijana kujikita kwenye vita ya uchumi ili wajikwamue kimaisha kuliko kushinda mitandaoni wakipika majungu na kuchafuana. Katambi: Vijana piganeni vita ya uchumi siyo majungu | Mwananchi - Katambi: Vijana piganeni vita ya uchumi siyo...
  11. Kiturilo

    Naitafuta legacy ya Bernard Membe kwa watanzania

    Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo. Ni mgombea urais pekee aliyeweka rekodi ya kufanya kampeni zenye ukubwa wa eneo sawa na mwenyekiti wa kijiji. Licha ya Membe kuwa waziri kwa miaka 15 hakuna legacy yoyote aliyowaachia...
  12. Kiturilo

    Sura mbili za Lissu, kabla na baada ya kulamba asali

    Nimepitia maktaba yangu ya mambo ya siasa nimegundua pasi na shaka siku Tundu Lissu mwaka 2014 akikutana na Tundu Lissu wa mwaka 2022 'watauana' . Tundu (2014) hakuwa kwenye gubu. Alikula kiapo asilani hatochangamana na Lowassa na team yake. Ni Tundu aliyepinga kwa namna yoyote ile Raisi wa...
  13. Kiturilo

    Sabaya ukitoka tumia ushahidi huu kumshitaki Freeman Mbowe

    RPC Kingai ameeleza hatua kwa hatua bila kuacha shaka jinsi Freeman Mbowe alivyopanga kumuuwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya kwa kutumia perfume ya sumu kwa madai kuwa Sabaya alikuwa anatishia nafasi ya Mbowe kuendelea kuwa mbunge wa jimbo la Hai. ==== Kamanda wa Polisi Mkoa...
  14. Kiturilo

    Maswali tata juu ya Tanzania bila Magufuli

    Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais? Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini? Kama leo baada ya hayati Magufuli kukaa madarakani kwa miaka 6 kuna watu...
  15. Kiturilo

    Mpigania uhuru: Mkiona wananisifia sana mjue nimeshawauza

    Huu ni ujumbe kutoka kwa mpigania uhuru wa mwafrika ambaye alikuwa na elimu ndogo na umri mdogo kuliko wanaotusaliti leo akina Lisu
  16. Kiturilo

    Ma - DC GEITA watapeliwa na maafisa feki kutoka Ikulu

    Jeshi la polisi mkoa wa Geita linawashikilia watu watatu kutoka mkoa wa Dares salaam kwa kujifanya maafisa kutoka Ikulu waliotumwa na Rais Samia kwenda mkoani humo kuchangisha pesa kwa wakuu wa idara mbalimbali ili waweze kupandishwa vyeo vya juu zaidi. Maafisa hao feki wa Ikulu mpaka sasa...
  17. Kiturilo

    Ongezeko la watu wanaofuatilia video za Hayati Magufuli limenishitua

    Rais Samia jikite kufungua na kuanzisha miradi, jikite kupambana na mfumuko wa bei, jikite kuhamasisha viwanda . Viwanda ndiyo vitanunua mazao ya wakulima ,viwanda ndiyo vitazalisha ajira nyingi sana. Huwezi kupeleka nchi uchumi wa kati kwa kukutana na Mbowe mara kwa mara. Juzi Profesa...
  18. Kiturilo

    Mbunge Shabiby amchana Waziri Makamba

    Mbunge Shabiby wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya nishati amemchana waziri January Makamba kuwa ni mpya kwenye wizara hiyo hivyo hajui chochote namna wapiga dili wanavyochezea wizara hiyo hasa kwenye bei ya mafuta.
  19. Kiturilo

    Rais Samia usiishie kufuta kesi za kisiasa za wana-CHADEMA tu

    Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya. Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi...
  20. Kiturilo

    Wakili wa Sabaya: Kinachoendelea Moshi ni ubatili

    Wakili wa Sabaya amesema kitendo cha mteja wake kutolewa kwenye gereza la Kisongo Arusha na kupelekwa kwenye gereza la Moshi ni ubatili mtupu kwani taratibu na sheria za nchi haziruhusu hali hiyo. Wakili msomi amesema Sabaya amesafirishwa bila remove order wala mawakili wake kujulishwa, kitendo...
Back
Top Bottom