Search results

  1. Nyokamzee

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hahahaaaa safi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Nyokamzee

    Zitto: Kutajwa kwa Mbowe ni siasa tu,Makonda atabeba msalaba wake

    Tunasubiri awe waziri mkuu halafu waziri mkuu kuwa mkuu wa mkoa
  3. Nyokamzee

    BBC waianika Tanzania tena!

    Mlete wa kwako kwasabb amekosa malezi ya baba na mama ndo ataweza. maana mnazaazaa tu na hamuwatunzi mnaishia kutelekeza familia na ndio hao wanaokuja huku hakuna mtoto mwenye malezi bora na maisha bora ambae mzazi wake anawajibika kikamilifu utegemee atakuja huku. wakwangu hawezi kuja huku kuja...
  4. Nyokamzee

    BBC waianika Tanzania tena!

    Niambie ni mgodi gani? mm niende hapo nikashuhudie maana niko hapa block D
  5. Nyokamzee

    BBC waianika Tanzania tena!

    Sijajua jinsi ya kutuma picha hapa lakin ningewatumia maana niko hapa mgodini
  6. Nyokamzee

    BBC waianika Tanzania tena!

    Na pia kwa kipindi 2005 kurudi chi migodi ilikuwa haijaenda mbali lakini leo hii migodi inafikia km 1 na mt 400 kwenda chini mtoto hata weza hy kazi. Kwa kipindi cha nyuma napo watoto walikuwa hawafanyi kazi wao walikuwa ni kutumwa kutoa taarifa tu na vitu vidodog kulingana na umri wao. (Ngoma...
  7. Nyokamzee

    Tangu nimpe namba yangu ya simu sina raha.

    mpe anachotaka ataacha kukusumbua
  8. Nyokamzee

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    faida kubwa ni kueneza ukimwi kila mkoa
  9. Nyokamzee

    Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    sikutegemea kama huyu Zito kabwe na umaarufu aliokuwa nao na heshima aliyojiwekea kwa watanzania leo hii hatihati kuvuliwa uanachama? kweli ngoma ikivuma sana hupasuka.
  10. Nyokamzee

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Jamani eeee waacheni wale raha zao hatukuwepo saa wanakutana
  11. Nyokamzee

    Waraka kwako Abiria wangu (Binti) ninaekupaga Lifti asubuhi!!

    kazi rahisi maneno meeengi ya nini? mwambie nimechoka kukubeba Kila siku kukupeleka kazin kwako. akiuliza kwa nn? mtiririshie Uzi wake. atanunua lakwake magari bei ya nyanya mpaka ml 9 unapata gari nahiyo kashindwa? kama vp nitumie no. zake kama unaogopa kumwambia.
  12. Nyokamzee

    Huyu ndiye mwanaume wa shoka.

    Nisawa tu na mtu aliepata ajali maana jeraha litapona tu.
  13. Nyokamzee

    Huyu ndiye mwanaume wa shoka.

    Aaaaahhhh hakuna lolote nimeona watu wa hivyo wengi lakin hakuna lolote wanaishia kutelekeza family zao na kuishia kwenye ulevi.
Back
Top Bottom