Vikao vya siku hizi bwana!! Hadi saa saba za usiku???? Inaonekana bajeti ya harusi ilikuwa kubwa sana na hivyo ANALYSISI yake ilitumia muda mrefu sana!!! Kazi kweli, usilo lijua.......!!!!
Good analysis, umeandika mambo mengi kama si yote ya maana na yenye mashiko. No comment, natumaini wahusika watayafanyia kazi kwa faida ya chama na taifa kwa ujumla. Mwalimu Nyerere angelikuwa hai leo, angesema "Bila CHADEMA IMARA, nchi yetu itayumba"
Kwenye ukweli, tujitahidi sana kuusema ukweli, kama ni kisu, kisiitwe sime, na wala jambia. Sime ni kubwa kuliko kisu. Mwandish amechambua vizuri, na kama ni hoja amejitahidi kuzijenga. Japo kuna makosa madogo madogo ambayo yanaonesha dhahiri kuwa ana chuki au bifu binafsi na viongozi wakuu wa...
Zomba unaonesha umesoma tu heading ukaanza kuchangia. Nilijua kuwa thread ni ndefu ndiyo maana nika bold na kukuza maandishi ili yasichoshe kusoma. Ungelisoma yote, usingeliuliza najivunia nini? Jaribu kusoma japo aya ya mwisho utapata jibu la swali lako.
Siyo kwamba sikupenda unachojivunia, but I didn't see the clear relationship ya thread inayojadiliwa na link uliyonipa. Ungeweza kueleza mengi zaidi ambayo unajivunia kuwa Mtz ili ambao hawana access ya kuchangia wanufaike, japo wewe ni Kada wa ccm, lakini unajivunia nini kama MTz mbali na kuwa...
Hongera. Lakini ungeweza kuchangia more positively ili wengi ambao hawawezi kuchangia wanufaike na mchango wako. Anyway, pengine ndiyo level yako ya u great thinker.
Nimesoma hiyo thread yako na wachangiaji. Zomba mbona hakuna uhusiano wa thread yako na hii ya sasa? Usitake kuleata siasa kwenye mambo ya msingi yanayowagusa watz wengi hasa masikini. Usilete Uccm wako hapa. Jaribu kuhusianisha mambo kabla ya kuchangia, after all unaweza kusoma na kupotezea tu.
Watz tuna safari ndefu sana kuelekea kufika kule tunakotaka. Kwanza, hakuna nia ya dhati ya kutaka kutekeleza kwa vitendo kauli zetu. Hili linajirudia mara kwa mara katika utendaji wa viongozi serikalini na hata katika taassisi zake. Tumekuwa watu wa kuongea tu bila ya kuwa na strategies of...
Watz tuna safari ndefu sana kuelekea kufika kule tunakotaka. Kwanza, hakuna nia ya dhati ya kutaka kutekeleza kwa vitendo kauli zetu. Hili linajirudia mara kwa mara katika utendaji wa viongozi serikalini na hata katika taasisi zake. Tumekuwa watu wa kuongea tu bila ya kuwa na strategies of...
Kaka kama umekosa forum ya kurumbana, bora ukae kimya, this is not the right place. Mtafute huyo Saanane mkarumbane huko, siyo kutuletea siasa zenu za maji taka Hapa!!! sisi tutawasidia nini? Kama Uvccm imewashinda sisi inatuhusu nini? Kama udhaifu wa chama chenu unakiangamiza na kukicost chama...
Ritz na wewe umekuwa wa aina hii? Unashindwa kujibu hoja unabaki kusema "tunachojua?" Mnachojua wewe na nani ambaye wewe ni msemaji wake? Chuo kimejengwa kwa msaada wa wachina sisi tunakaa kumsifia JK kwa kutimiza wajibu wake? Mtu hasifiwi kwa kufanya kile alichopaswa kufanya, unless amefanya...
Usiwe mjinga kiasi hicho, CHADEMA wasingethubutu kufungua kesi bila ya kuwa na uhakika kama Nape ana ushahidi au la!! Ukiona kesi imefunguliwa, ujue TISS wa CHADEMA wameshafanya kazi yao na kuhakikisha kuwa Nape ni mweupe, hana ushahidi wala nini! Unafikiri kuwa tunaweza kwenda mahakamani bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.