Search results

  1. Kinyau

    Natafuta shamba kwa kilimo cha mboga mboga Mkuranga, Bagamoyo au Morogoro

    Kama heading inavyosema, wakuu natafuta shamba kwa kilimo cha mbogambiga na matunda kama tikiti nk. Eneo liwe Mkuranga, Bagamoyo, Morogoro nk. Upatikanaji wa maji ni muhimu na aina ya udongo iwe nzuri (sio kichanga wala mfinyanzi). Aliye serious na analo pease PM. Please dalali kama hauna...
  2. Kinyau

    TRA Airport JKNIA tunaomba muongozo

    Nimerudi na Turkish air alfajiri ya ijumaa tar 7 wakati natoka maafisa wa TRA wakanibia weka begi pembeni kwa ukaguzi. Nilikuwa safari ya hardly 3 days na kibegi changu kina kama 10+ kg . Akaja mdada kwa nyodo akaanza kuongea haya fungua begi nikague basi nikamsalimia kwanza dada habari za kazi...
  3. Kinyau

    Smile Communications Sucks

    Sijui kama kuna watu wameexprience service depletion za smile kama tunavyoona baadhi ya wateja . SMILE telecoms walianza vyema kama the "fastest internet in TZ" - but recently they have turned from monsters into devils. Kwanza wanavyocharge ni very suspicious, customer care hotlines are never...
  4. Kinyau

    Mwenye uzoefu wa kilimo Rufiji

    Wakuu Heshima mbele. Hivi karibuni nimehamishia makazi Rufiji na kujipatia shamba maeneo ya utete. Je kuna mwanaJF hapa ambae ameshakuwa na experience ya ulimaji huko? ambaye tunaweza share experience ,kukodishana vifaa vya kilimo nk? Binafsi ni mkulima wa Mahindi.
  5. Kinyau

    3 week diet

    Habari wadau- Nimeona post nyingi za kupunguza unene/uzito. Nimepewa diet plan na rafiki yangu so thought would share it with you - it is said to work well when accompanied with a daily 30 MIN walk.I tried it 2 years back and of course I didnt loose 9 Kg overnight- I lost 5kg in 5 weeks...
  6. Kinyau

    materials on SQL 2005

    Wanajamii forums kuna mtu ana soft copy ya training materials za SQL 2005 ? kindly assist ASAP. Najua ziko nyingi online but I prefer an organized book.
  7. Kinyau

    natafuta mkali wa access na visual basic

    habari nina ka-assignment kadogo na ninahitaji msaada wa mtu anayejiamini kuwa anaweza kunielekeza sehemu au tukamalizia hii kazi within a week kwa kutumia access (au VB/ MS-sql) ila kwa kuwa ni kazi ndogo tu na requirements chache kama mtu ana master kiundani access please PM me as soon as...
  8. Kinyau

    malware on email

    Hi wakuu, my desktop computer is infected na some sort of malware/virus na inatuma email kwa adrress book nzima iliyoko kwenye yahoo. Mbaya zaidi nikufungua adress book inaniambia my adress book is empty yani imezihold zile contact na kuendelea kutuma spam. Please advice me on what malware...
  9. Kinyau

    watch your words and terms

    The Smiths were unable to conceive children and decided to use a surrogate father to start their family. On the day the surrogate father was to arrive, Mr. Smith kissed his wife and said, "I'm off. The man should be here soon" Half an hour later, just by chance a door-to-door baby...
  10. Kinyau

    kinyau's birthday

    So much to be grateful for, so many blessings I have encountered. Na umri ndio huooo wasonga. Namshukuru Mungu I have just turned...........(guess what) thanks to my loving spouse,sweet children,loyal friends like JF friends and all others. Karibuni keki hukoooo maskani.
  11. Kinyau

    Nimempoteza kaka

    Hodi hodi ninabisha, jukwaani kuingia Kwa simanzi kuwapasha,yale yalonitokea Mtima una mashaka,jinsi ya kuelezea Nimempoteza Kaka, Niliyempenda sana Ilikuwa ni jioni, nikaipokea simu Haraka fika nyumbani,mpeleke kaka sehemu Hali yake mashakani, matibabu ni muhimu Nimempoteza Kaka...
  12. Kinyau

    help me remove this virus-W32.Virut.U

    hi all, My laptop is caught with a virus called W32.Virut.U yesterday it got worse as it denied me of access, when I log in it accepts but then it logs off after some few seconds, now I cant use the laptop as when I try to access it logs off immediately. Anyone with a soution outthere? Kinyau.
  13. Kinyau

    Kukaliwa

    Mara nyingine mtu akiishi maisha ya kujali familia huitwa amekaliwa aidha na familia au mke. Consider the following, KUKALIWA facts A) If KUKALIWA is to allow your wife to be a partner and participant in formulating the family budget, then I support it, becoz women are wiser spenders than men...
  14. Kinyau

    the aprentice africa show

    Anyone watching the apprentice africa show? Its more or less like big brother africa but it recruits academic proffesionals who are given tasks where they have to apply their skills, education to tackle the issues. The show is very educative and its a challenge kwa wasomi wetu wa hapa, can they...
  15. Kinyau

    Is formatting a remedy for stuborn viruses?

    hi there, just have a question, I normally see formatting their computers when viruses have refused to be cleaned with the installed antiviruses. I am currently experiencing a trojan viris with some other kind that has .exe extension, it sometimes closes applications without my consent. I tried...
  16. Kinyau

    anyone doing CISA?

    hi guys just want to ask you outhere if there is anyone pursuing CISA certification and if YES what materials or prep CDs are you using? please help.
  17. Kinyau

    Help me to learn Java

    hi all last time i came here to ask for assistance on database driven web. And I was so grateful for the help I received especially from invisible. I learnt lots of new things and am still learning. Sasa today I am requesting for information concerning Java programming. Iam new to java...
  18. Kinyau

    madaktari wetu wanatupeleka wapi?

    nimesoma kwa masikitiko hii habari kutoka mwananchi. naomba na nyie wanabodi muone uzembe wa wahudumu wetu wa afya. "Aliyeumia mguu apasuliwa kichwa, wa kichwa apasuliwa mguu. Na Jackson Odoyo WAGONJWA wawili waliokuwa wamelazwa katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Muhimbili wamefanyiwa...
  19. Kinyau

    End of October vacancies

    here we go, tigo has more than 50 vacancies in various posts. Finance,administration, IT, sales, tecnhical etc please visit http://www.brightermonday.com/tigo/ east african community has this vacancy Project accountant Category: Accountancy, Finance & Insurance Employment Type...
  20. Kinyau

    Adhabu ya kifo ni halali?

    Leo ni siku ya kukemea adhabu ya kifo duniani. Katika jamii zetu kuna wahalifu wengi na wengine ni sugu na wengine tunatamani wauwawe tukiamini kuwa uovu utakoma. Lakini je adhabu ya kifo inamsaidiaje mtuhumiwa aache uovu, je akiuwawa ndio tutakuwa tumelipa ule uovu?? huwa najiuliza sipati...
Back
Top Bottom