Search results

  1. Kinyau

    Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Why do we assume kila mtu ana ndugu kijijini? Wengine 3rd generation wote wako mjini, halafu normalize kuona watu wanaspend time watakavyo hebu tuwe open minded
  2. Kinyau

    Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Kabisa mkuu. Kwanza mfungua uzi alipaswa awe na kugha nzuri kwa mwalimu husika angepewa maelekezo yote muhimu. Uzuri wa watanzania ukienda ofisi ya mtu na lugha nzuri utasaidiwa tu kabla hata ya hiyo elf 10. Kuna gharama nyingi mtoa mada angejiongeza kabla ya official fees kama ulizoainisha (...
  3. Kinyau

    Shule ya Turkish Maarif School Arusha ni tatizo

    Mkuu pole Ila ni utaratibu wa shule zote binafsi. Hata mtoto angetokea Mwanza angerudishwa tu sembuse Manyara. Ustaarabu ni ungeongea na mkuu wa shule kabla hujampeleka mtoto bila risiti ya Ada. Pole mkuu Mungu akujalie upate ada.
  4. Kinyau

    Alinimbia eti mwanamke halazimishwi, sasa naye yamemkuta

    Mhenga mwenzangu Sometimes I wonder ni mimi nime outgrow common sense cause its never thr JF we had 15 or 10 years back . Unabakia kushangaa tu na kukaa kimya
  5. Kinyau

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Agree agree agree [emoji817] Mleta mada ana gubu tu na wale maboss wanoko yani house girl aonekane house girl kama mtumwa na baba asicomment ,anangangania ooh nyumba ni mama kwa ubabe,nyumba ni furaha nyumba ni masikilizano . Kwakweli umaskini ndio shida gauni tu linaleta masharti hivi je...
  6. Kinyau

    Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Milele Amina mkatoliki mhenga mwenzangu, Umeandika hoja moja muhimu ambayo kama huna mihemuko ya dini utaona ni kiasi gani ukristo wetu unatoka kwenye imani. Binafsi huwa nashangaa na jinsi polepole tunavyokuwa brainshwashed kuwa kutoa kuwa direct relationship na kuingia mbinguni au luwa...
  7. Kinyau

    Tunachimba Visima na kufanya underground water survey kwa ghalama nafuu

    Mkuu nimechimba Morogoro tena very specilized company ni wahindi wana vifaa very modern kwa elf 80 per meter. Nimechimba Iringa kwa laki moja . Najua unajua ila unajifanya hujui. Bei za soko hazizidi laki mkuu, trust me I have done enough survey hadi naandika hapa. Ni caution tu sina kampuni na...
  8. Kinyau

    Tunachimba Visima na kufanya underground water survey kwa ghalama nafuu

    Wastani wa makampuni mengi ni elf 80,000 hadi laki moja kwa mita kwa uchimbaji na nimetumia bei hizi hadi recently kwa ufanisi mzuri tu, lengo sio.kukuharibia uzi ila kukupa uhalisia ambao unaujua nadhani mngeenda sawa na soko .
  9. Kinyau

    Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

    Mkuu soma mantiki zima Lockdown imeisha baada ya kuchanja population yote ya wazee above 65% Huyo unaemsifia uzi huu hauhusiani na hajasaidia lolote kwenge mapambano haya. Nani amwelewe sasa zaidi ya walioumizwa na sera mbaya za magonjwa ya milipuko? Wenzetu wamefanya scientific calculations...
  10. Kinyau

    Unamkumbuka huyu mtoto?

    I miss u my sister from another mother. Huyu dada nimemfuatilia sana binafsi naona ana utu kuliko wanakesha kanisani na msikitini. Anavyowapenda watoto hawa wanaonyanyasika kwa imani za kishirikina loh Mungu atupe mioyo hii kwa nafasi zetu tu. Nimeona centre yake imekuwa kubwa japo walianza...
  11. Kinyau

    Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

    You can say that again and again and again. Every thing should be reason, questioned and explored including religion.
  12. Kinyau

    TCRA huu wizi wa Makampuni ya simu mbona mmeufumbia macho? Angalieni Airtel

    Nina line voda na airtel kikweli voda wanajitahidi kuaa transparent ila Airtel huu uongo wa kusema umetumia 90% ya bando lako ni utoto. Kwanini wasitumie kipimo cha mb kadhaa. Airtel wana mambo mengi wameyaficha nyumba ya gharama halisi na ndipo nilipoamua ntatumia voda kwa data kwa kuwa wana...
  13. Kinyau

    Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

    Poleni leo watembea kwa miguu wamefaidi sana. Mvua inetunyoosha hapa ndio tunajua umuhimu wa miundombinu kwa kweli
  14. Kinyau

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Cant argue with cheap minds. Since u decide to believe in your own confusion so be it.
  15. Kinyau

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nadhani case zenu ni specific. Huyu jamaa Si Tapeli . Binafsi nimeagiza kwake mizigo zaidi ya mara kumi na mara zote ame maintain good communication. Hadi last week nimepokea vitabu vyangu from amazon via yeye safi kabisa. Kama una uzoefu wa ucheleweshani6wa mizigo china hasa hasa kutumia...
  16. Kinyau

    Vilio vya wafanyakazi wa Mount Meru Hotel - Arusha

    Kabisaaa amewatendea vyema sana
  17. Kinyau

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Unaponunua amazon unajua ofisi zilipo? Je kikuu ushaona ofisi zao? Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako. Mbona sisi tumwagiza miaka na miaka tumepata mizigp. Mi nimemtumia 5 times . Au huna cha kuagiza? Na choice ni nyingi si utumie fedex au dhl kama una mashaka. Its a free world
  18. Kinyau

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu usipoiteze energy kumjibu - hapa pamejaa heri na pumba . Keep your focus on track
  19. Kinyau

    Watanzania wanaotumia LinkedIn ni washamba

    Na wewe ukipata connection 5000 inakusaidia nini na watu huwajui huna tija wala skillset wala elimu wala experience inakusaidia nini kwenye maisha yako?
  20. Kinyau

    Watanzania wanaotumia LinkedIn ni washamba

    Usijisumbue hawezi kuelewa . She/ he is too immature
Back
Top Bottom