Samahani Wakuu, naomba kufahamu mwisho (Mwaka)
wa matumizi/Kuondoka kwenye mzunguko sarafu ya shilingi ishirini yenye picha ya tembo na sura ya Mwinyi!?
KWANI LAKI 7 KWA CKU NI HELA NDOGO HY; NA HAUONI KAMA DURABILITY YA GARI NI MIAKA 2 C HELA YAKE MILIONI MIA 3 ZITAKUWA ZIMEREJEA! !?
NA PIA KAMA ANAUWEZO WA KUPATA HY LAKI 7 KILA CKU HAUONI KUWA ANAWEZA KUWEKEZA KWENYE KILIMO KWA HIZO LAKI 7 ZA KILA CKU !!
NNACHOPENDEA BIASHARA YA GARI HELA...
JAMANI TUSICHANGIE KWA USHABIKI NA MIHEMKO TWENDENI TUKASOME SHERIA KWANZA PENAL CODE (CAP. 1669 YA MWAKA 2002) SECTION 178 SUBSECTION 1&2; NDIO TUJE TUCHANGIE SS.....ALAMSIKI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.