Search results

  1. M

    Update za bank account

    kwa mujibu wa benki kuu mwisho wa ku-update info ni tarehe 15 march ila haimaanishi kwamba ukienda tarehe 16 document zako hazitapokelewa, muhimu ni kuhakikisha kua ume-update bank info zako kama inavyotakiwa na hii ni kwa faida yetu wateja
  2. M

    CRDB query help please

    Mkuu nakushauri uende kuchukua hizo form kwenye matawi ya CRDB au cheki kwenye website yao, mimi nilidownload www.crdbbank.com hizo form zinapatikana kwenye resource center, nadhani wateja wote wanatakiwa kurekebisha information zao kufuatana na agizo la benki kuu linalotolewa kwenye magezeti
  3. M

    Kuna nini mtandao wa CRDB Bank?

    CRDB Bank hua wanapatikana kwa www.crdbbank.co.tz jaribu sasa hivi utawapata
  4. M

    CRDB BANK si Bank ya kuiamini kabisa!

    Nawashangaa sana watanzania wenzangu mnavyoiponda CRDB Bank wakati hii ni benki yetu watanzania, mnataka Tanzania iendelee wakati mnashabikia benki za kigeni badala ya kushabikia benki zetu za ndani. Huu sio uzalendo kabisa na ni ujinga mkubwa sana, watanzania amkeni acheni ushabiki usiokua na...
  5. M

    CRDB Bank huduma ya mobile sio kabisa

    Kwenye hizi huduma za electronics ambapo kuna muingiliano wa mitandao zaidi ya kampuni moja delays ni kitu cha kawaida. Hii ni kwa sababu mitandao inayotumika ni tofauti. Kuhamisha hela kutoka kwenye mtandao wa benki kama CRDB au NMB kwenda kwenye mtandao wa simu kama Tigo pesa, M-pesa au...
  6. M

    Big up crdb kwa simbanking

    Ukishindwa kumkubali m2 kwa uwezo mkubwa alionao, bora kukaa kimya. CRDB wanaweza aisee!!!!. Najua kuna ndugu zako na marafiki zako wako Benki hiyo na wameshajiunga Simbanking. Waulize tu!. Utasema wazee wa pesa fasta wangesubiri wajipange.
Back
Top Bottom