Search results

  1. zink

    Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

    Habari za wakati huu wakuu, natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi kuna binti mmoja hivi nilifahamiana naye kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku, yeye ni mtu wa dini sana yani kwenda kanisani kwake Jumatano, Ijumaa na Jumapili zote hakosi na kiumri...
  2. zink

    Hawa AIRTEL ni matapeli kabisa hasa kwenye kifurushi chao cha MB 850 cha shilingi 1500

    Habari wakuu wa jf, Huwezi amini nimejiunga kifurushi cha MB 850 kwa elfu 1500 hata nusu saa haijapita naambiwa umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako. Kama hali ndio hii basi tumekwisha na sikuwahi kuzani kama airtel nao ni matapeli tu ila fine waache wachukue hivo vi MB vyao PUMBAFU SANA...
  3. zink

    Kwa wanaosoma Diploma za Afya njooni tujadiliane hapa siri ya kwenda degree vyuo vya serikali tu

    Natumai muwazima wa afya wana JF. Asikudanganye mtu yoyote siri kubwa ya kwenda degree ya afya ukitokea diploma ni kupata G.P.A KUBWA (KUANZIA 4.5 MPAKA 5.O) Ukipata hiyo G.P.A Hakuna chuo chochote kwa hapa Tanzania utachokosa mkuu haijalishi Umeipatia wapi hiyo GPA yako kubwa maana hawaangalii...
  4. zink

    Whatsapp ya blustack haioneshi majina ya namba

    Habari wakuu wa jf, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nimekua nikitumia whatsapp ya blustack kwenye laptop yangu, sasa shida imeanza juzi hapo nilipofungua whatsapp hii ya blustack na kushindwa kuona majina ya namba nilizosave na sijajua shida ni nini ebu wakuu nisaidieni hapo...
  5. zink

    Nisajili laini gani nyingine tofauti na TTCL na Vodacom?

    Habari wakuu, Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL. Nawasilisha.
  6. zink

    Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

    Leo nimetafakari sana juu ya hili jambo, kwa maana wanachama wa humu wa JF wakitumia majina pamoja na picha zao halisi kutaleta faida zifuatazo: 1. Kutaongeza kuheshimiana, endapo kila member humu atatumia jina pamoja na picha yake halisi kutapelekea kuheshimiana kwa kuwa member wengi humu...
  7. zink

    Ni kitu gani kilikupelekea mpaka ukajiunga na mtandao wa jamiiforum

    Nakumbuka mwaka 2016 kipindi icho nikiwa kidato cha 3 nilipata demu flani hivi na kusema ukweli nilitokea kumpenda sana huyu mwanamke, kiasi kwamba nikawa namchunguza maana nilihisi uwenda akawa anatoka na wadau wengine, hali hii ilinipelekea nikawa nagoogle sana kuhusu dalili za mwanamke...
  8. zink

    Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

    Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ. HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
  9. zink

    Hawa Voda ni matapeli au?

    Habari wakuu wa JF Katika harakati za kujiunga nikawa napitia menu yao ya vifurushi, na kulingana na vocha nilionunua ya elfu moja a.k.a buku, nikawa nimependa kifurushi ambacho kwa elfu moja kulingana na menu yao ya vifurushi napewa MB 550, dakika 60 na sms 30. Baada ya kujiunga kifurushi...
  10. zink

    Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo hili la moyo

    Habari wakuu natumaini wote wazima wa afya. Kuna siku ilitokea kwa ndugu yangu mmoja hivi umri 29 years mapigo yake ya moyo yalikua yanadunda haraka sana, hali hiyo ilipelekea kwenda hospitali ya taifa ya muhimbili kwa ajiri ya vipimo na alivyofika muhimbili kitengo cha cardiac Jakaya...
  11. zink

    Bei na ubora wa alienware gaming laptop

    Habari wakuu nimevutiwa sana na hizi alienware gaming laptop, nauliza kuhusu bei zake pamoja na ubora wake ukishindanisha na kampuni kama hp omen, acer, msi, na je hizi msi gaming laptop zina ubora gan maana zinanivutia kimuonekano.
  12. zink

    Habari wakuu mimi ni new member

    Habari wakuu mimi ni new member humu jf, naombeni mnipokee tutakua nanyi pamoja 🙏🙏🙏🙏🙏
  13. zink

    Nisome ipi kati ya Diploma ya Famasia na Bsc ICT

    Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa UDOM - Diploma in pharmacy OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology ST JOSEPH - Bachelor of science with education in bios and chem. je nikasome kozi gani hapo kwa kuzingatia kigezo cha kujiajiri
Back
Top Bottom