Search results

  1. H

    Tuhuma dhidi ya mkuu wa shule ya sekondari iseke muungano sio za kweli

    Kuna taarifa zinazotolewa na viongozi wa sias kuhusu mkuu wa shule ya iseke muungano kuhusu ubadhirifu lakini imekuja kubainika kwamba sio kweli ni kutokana na chuki,fitina na majungu yanayotokana na siasa mufilisi za viongozi wa kata kutoka upinzani dhidi yake.tunakemea kwa nguvu zote tabia...
  2. H

    Tumuunge mkono Mkuu wa shule ya Iseke muungano Wilayani Ikungi

    nimekuelewa mkuu ila nimeandika hivyo sababu ya haraka next time nitakuwa makini!
  3. H

    Tumuunge mkono Mkuu wa shule ya Iseke muungano Wilayani Ikungi

    ni michango kama ada,madawati nakadhalika lakini ujenzi wa majengo ya madarasa,maktaba,maabara na ofisi za waalimu nani atafanya zaidi ya wazazi wakishirikiana na serekali yao.
  4. H

    Tumuunge mkono Mkuu wa shule ya Iseke muungano Wilayani Ikungi

    kikubwa ujumbe umefika hapa hatufanyi interview samahani lakini bro!
  5. H

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Hakika wewe ni baraka kutoka kwa mungu rais wa mioyo yetu sisi maskini kile kilio chetu cha muda mrefu sasa tumepata mtetezi tunakuunga mkono mheshimiwa rais wetu na yoyote atakaye kupinga sisi wananchi wako tuko tayari kukupigania mkombozi wetu mheshiwa dr john magufuli mungu akulinde na akupe...
  6. H

    Tumuunge mkono Mkuu wa shule ya Iseke muungano Wilayani Ikungi

    Kwa muda mrefu mkuu huyu wa shule ya iseke muungano amekuwa katika mgogoro na diwani wa kata kutokana na juhudi mbalimbali anazofanya kuhakikisha shule inapata maendeleo ya kitaaluma amekuwa akijitahidi kuajiri waalimu wa muda kwa masomo ya sayansi ambayo yamekuwa hayana waalimu wa kutosha...
  7. H

    Walimu wa arts jiandaeni kisaikolojia

    Naona wazushi washaanza prediction kama kawaida yao hivi nyie watu hamchoki kujadili ajira za ualimu mtafikiri nyie ndo serikali nataka niwaambie waalimu walioko vyuoni msiwe na wasiwasi sababu serikali ndio inaajiri na haijasema ajira za walimu wa masomo ya sanaa zimekwisha hivyo kama ajira...
  8. H

    Utata kuhusu tarehe ya kuripoti walimu wapya

    haitoshi kuanzia tarehe 1 hadi 9 may acha utani bwana!kuna sehemu ndani ya nchi utasafiri zaidi ya siku mbili wakati mikoa yote imeunganishwa na barabara kuu please mwalimu acha visingizio nenda kazini ajira hii umeisotea kwa muda mrefu usiifanyie mzaha!
  9. H

    Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

    matokeo yake ni kutoajiriwa au kukosa ajira na Mimi natoa ushauri kwa wanafunzi kabla hujasomea fani yoyote jiulize hivi nataka kuwa nani nisomee nini na uwezo wangu ukoje kiakili na kifamilia usisome kwa kuiga na kutafuta status kwa kitu ambacho hqkina msingi.
  10. H

    Walioenda TAMISEMI tupeni ripoti

    hakuna mabadiliko katika walimu wa shule za msingi mabadiliko ni kwa ajili ya walimu wa sekondari hususani wa chuo cha sekomu tu na wale ambao majina yao hayajaonekana kwenye list ila waliopangiwa katika list ya kwanza mabadiliko hakuna watabaki na vituo vilevile vya mwanzo source tamisemi .
  11. H

    Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

    umefuatilia majina ya wanachuo wa sekomu walioko katika orodha ya mwaka huu yaani ni haohao walioko katika orodha ya mwaka jana kama unabisha fuatilia uone by the way acheni kuichafua serekali kwa mambo ya uongo kwa sababu huna ushahidi just guessing tu mwanzo ajira zimefutwa baadaye...
  12. H

    Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

    k!endelea na prediction zako ukweli wanaujua wenyewe tamisemi.
  13. H

    Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

    Chichimizi rafiki yangu acha uoga unapaswa kujua unapoweka majina katika list ili kuyachomoa ni lazima kufanya editing sasa unafikiri watafanyaje editing majina yakiwa hewani so vuteni subira mtajipa stress bure hlf baadaye majina yatolewe tena mr jumanne sagini hawezi kudanganya umma wa...
  14. H

    Marekebisho yanayofanywa yataathiri vituo ambavyo watu wamekwisha pangiwa?

    ni vizuri kusubiri taarifa rasmi msiwe na wasiwasi sababu wanajua wanachokifanya kila jambo serekalini lina utaratibu wa kulitolea taarifa na taarifa iliyopo ni ya kufanya mabadiliko katika orodha kuondoa walioingizwa kimakosa na kuweka wanaohusika na ni kwa wahitimu wa sekomu tu na hakuna...
  15. H

    Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

    ni vizuri kusubiri taarifa rasmi msiwe na wasiwasi sababu wanajua wanachokifanya kila jambo serekalini lina utaratibu wa kulitolea taarifa na taarifa iliyopo ni ya kufanya mabadiliko katika orodha kuondoa walioingizwa kimakosa na kuweka wanaohusika na ni kwa wahitimu wa sekomu tu na hakuna...
  16. H

    Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

    hii post ni ya 2014 haina uhusiano wowote na 2015 hivyo jaribuni hata kuangalia mada imeanzishwa lini na sio kuachangia kishabiki na wakati mwingine nashindwa kuelewa nini maana ya great thinkers maana inakera sana kuona mtu hajengi hoja ya msingi zaidi ya kejeli na dharau juu ya wengine na pia...
  17. H

    TAMISEMI kuachia mzigo usiku

    kubali wewe ni mbishi by nature na kama huna cha kuandika bora ukae kimya tu kuliko kutengeneza maneno yako ya kudhania.acha siku ipite halafu ndo ucomment kama majina hayajaachiwa.
  18. H

    TAMISEMI kuachia mzigo usiku

    TAMISEMI baada ya kupokea arodha ya walimu kutoka katika vyuo na vyuo vikuu kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi baada ya kuhitimu na kufuzu kozi zao. Hata hivyo upangaji huo unatakiwa kuzingatia dhamira ya serikali ya kuleta usawa kwa kupanga walimu kwenye halmashauri mbalimbali...
  19. H

    Nataka kuifahamu shule ya sekondari Wari iliyopo Machame

    Mwenye namba ya simu ya shule ya wari anisaidie please usicomment vibaya nina shida na mkuu wa shule husika!
  20. H

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    wakiajiriwa utafanya nini kwasababu unaonekana kama mjinga Fulani hivi na kwa taarifa yako kama we we ni me bac unawalakini lkn kama ni ke jamaa yako hajakupinda vizuri !
Back
Top Bottom