Search results

  1. C

    Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

    yule jaji aliyetumwa arusha na special assignment ameisoma hii au anakula matunda ya kazi yake?
  2. C

    Hukumu ya lema ilipikwa.

    Hii ni mifano ya jinsi mahakama zetu zinavyofanya kazi bongo, Ndiyo maana jaji wetu mkuu alinyimwa ulaji wa ICC nafasi ya Louis Moreno Ocampo kwani wanayaona haya kuwa hakuna utawala wa sheria bali utawala wa rushwa. Pia ndo maana Dr. Asha Rose Migiro kanyimwa new contract, yaani cc...
  3. C

    Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

    Usidanganyije man, EL hausiki hapo hizo ni siasa za chuki dhidi yake EL so wanataka ku-play ionekane as if mhusika ktk kumwangusha kamanda GODbless Lema ni lowasa if its happen kuwa Ameangushwa, ukweli uko pale pale ni serikali ya ccm inahusika na mpango huo na huyo jaji keshapewa direction as...
  4. C

    Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

    Sitoshangaa kama hilo litatokea kwani hata Jaji Mkuu ameshasema serikali inaingilia uhuru wa mahakama, na cdm kushinda uchaguzi arumeru mashariki (nafikiri) itabidi jaji ashurutishwe asome hukumu ipi ya kufuata sheria? au ya kufuata matakwa ya waliom-asign hiyo kesi. Mtu unatolewa Sumbawanga...
  5. C

    TBC = Taarabu, ITV = Habari za Uchaguzi. Ipi TV ya Taifa?

    TBC ni jina tu lakini ni ya magamba, hawawezi kuonyesha mambo ya arumeru mashariki, na hapo bado subiri muone vituko magamba watakapogalagazwa within 12 hours from now, ndo tutapigiwa za yule bi shoct 'muogo wa jang'ombe sitaulamba mwiko............ Hiyo ndo TBC yetu bana mkitaka kujuaga zaidi...
  6. C

    Dr Migiro karibu nyumbani. Mrithi wake UN atangazwa

    '' issue yah mama migiro sio kurudi hme mara kwa mara msimseme mama migiro vibaya, lakini nakubaliana nawe kuwa alikuwa ni chaguo la Ban Ki Moon, however she never the first choise of the Global Superpower, USA. Post nyingi za UN zinaenda kwa wapendwa wa USA".
  7. C

    Taasisi Ipi inaogozwa na Mama Obama kule US na Ipi Iliongozwa na Mama M. Nyerere?

    Wana JF ni kajiswali tu kadogo najiulizaga labda ipo au haipo.Tukianzia hapa kwetu Tanzania hivi ni taasisi gani iliyoongozwa na mama Maria Nyerere alipokuwa ikulu kwa miaka 27? Na je kwa US first lady au mama Obama je ,anaongoza taasisi gani? Au maybe hawana roho ya ujasiriamali kama...
  8. C

    Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

    " WEWE NDIWE PETRO, NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU,WALA MILANGO YA KUZIMU HAITALISHINDA". Milango ya kuzimu hapa kwa maoni yangu ni shetani na tawala yake na yote anayotumia kujaribu kuharibu kanisa Moja, Takatifu na la mitume. Baba Kadinali Pengo neno hili likutie moyo...
Back
Top Bottom