Search results

  1. N

    IPhone13 na dada zetu

    Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious. Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au...
  2. N

    Nchuno wakike

    Baadhi za taasisi za technologia, kampuni za serikali na binafsi Wana uhaba wa mafundi nchuno wa kike( engineer wa kike). nin chanzo la ili tatizo. a)Elimu ya msingi na sekondali. b) Wanafunzi wa kike kuona ugumu kwenye masomo ya science . c) Elimu ya jinsi kuhusu Engineering kwa watoto wa kike...
  3. N

    Mgogoro wa wafugaji nchini imeshamiri sana

    Daah kwa kweli siku hzi wafugaji na wakulima kuna migogoro mbalimbali hutokea Kila siku. Mifugo kula mazao ya wakulima inapelekea migogoro mbalimbali hata vifo pia. Tutafanya nin ili kupunguza mogogoro na vifo hivyo?
Back
Top Bottom