Search results

  1. M

    Waislam Dar wakutana Kidongo Chekundu, kulaani filamu ya kumkashifu MTUME

    Haya sasa na hapo nako watasema ni chadema?kwn hata wanafunzi wakiandamana wanasema ni chadema na hapo sasa cjui watasemaje?
  2. M

    Hamad Rashid kujitoa CUF leo?

    Atuachie jimbo letu.
  3. M

    Maneno tata na nukuu za wana JF

    Ukitaka kujua akili ya mtu kuwa imechoka makalio yatakuonyesha kwan ataanza kubadilisha mikao.
  4. M

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Sasa jamani hizo risasi za moto zinatoka wapi?kisiwa cha amani kiko wapi?
  5. M

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Mnyika jembe langu sana.
  6. M

    Wanawake wazuri wote wameolewa..

    Hivi unajua ukizidisha sana nyeto wanawake wote wabaya.jamani wakina dada msameheni bure.ameathirika na kupiga nyeto.ni hayo tuu.
  7. M

    Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

    Yale yale ya kwenye kitabu cha NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE.kweli mwandishi ni sawa na NABII nimeamini.
  8. M

    Udom usajili..!!!!

    Na wale wa irhnga wakutane UNIVERSITY CORNER wasajiliwe.
  9. M

    Pesa ninazo nisaidie wazo

    Sasa wewe walikupaje mkopo?hata aliyekupa mkopo akikusikia meneja wa mikopo anafukuzwa kazi.uliomba mkopo wa kufanyia nini?
  10. M

    Dr Slaa kutikisa Igunga leo

    Mungu hawezi kumwacha mdhalimu atawale milele.DR Tuko pamoja sana tena tunakuombea uzima.
  11. M

    Maamuzi ya baraza la mawaziri sasa ni kinga ya Mafisadi?

    Wanatumia kinga ya rausi kuyaficha maovu yake.
  12. M

    Binti wangu wa kazi ni mjamzito; nifanyaje?

    POLE sana.hapo lazima uhusike kuubeba mzigo.hukuweza kumuasa mdogo wako juu ya huyo hg kuwa ni mapepe kwan ulishajua kuwa anatega.hizo ulikuwa unaleta lawama tu kwa dogo.ee ndo matunda ya kuachia uchi bila mpangilio mwache avune matunda.sisi wanaharakati tuko nyuma akitoa tunasweka ndani.
  13. M

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    ni rahsi sana nilishawahi kuwa hyo kitu lakn now niko poa.acha kutumia mafuta au pafumu we tumia mafuta ya mgando na ogea sabuni ambazo hazna harufu yeyote na kunywa maji meng utanipa majibu.
  14. M

    Msaada:je mimba hii inaweza kuwa yangu?

    unataka kukimbia majukumu!na maradhi mbona huuliwzi kama umepata au hujapata.kuna ukimwi,gono,kaswende nk hayo unaweza ukawa umeyapata.
  15. M

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    mmetukumbusha mbali sana enzi hzo redio kubwa ya mkulima inashaka stationi moja tu.EZEKIELI MALONGO mmemsahau jamani na uongo wake.
  16. M

    Mbona CHADEMA hawana wabunge wahindi au wasomali?

    chadema ni ya watanzania sio ya wahdi wala wasomali.unataka kuleta ubaguzi hapa wa rangi.mwalimu alikataza.
  17. M

    milioni tano walizochangiwa cdm Igunga ni usanii

    tusipate tabu sana kumjibu huyu chalii tukampime kwanza alikili yake.na IQ.
  18. M

    Nampenda ila kila nikichat nae kwa sms ananiita "bro"

    ukizidi kuchelewa tunamega watu wasiokua na haya.tena anakuja pande za makontena mapya.aise sema nae utajuta!
  19. M

    Taarifa ya kutokufanyika kwa harus ya charminglady na mtotosix

    ukishangaa ya musa utayaona ya firaun.
  20. M

    Wema Sepetu adai kuwa "hana mpango wa kuolewa na mtanzania"

    mwanamke ataijenga na kuibomoa ndoa yake kwa nikono yake mwenyewe.hana jipya alisha nuka huyo
Back
Top Bottom