Search results

  1. kwisha

    Kombe la club bingwa msimu huu ni la yanga

    Mashabiki wa yanga pigeni kelele na vigeregere Kombe la msimu huu ni lenu Msimu huu kuna maajabu ambayo Mashabiki wa mpira barani africa watashangaa Kifupi tu timu ambazo wengi walizoea kuona zikicheza final ya club bingwa hakuna hata moja itafika final ya club bingwa
  2. kwisha

    Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

    Mimi sidhani kama mamelodi itawatoa yanga ni suala la Muda tu Shikeni maneno yangu haya mamelodi akiwatoa yanga mniite mbwa nimekaa hapa. Na sio kwamba naongea kishabiki maana kuna wengine wanakuwa na tabia ya kusema Mashabiki wa yanga hawana akili Sawa sijui nini. Ila ukweli Mamelodi...
  3. kwisha

    Usijaribu kumsamehe mwanamke ambaye ulimfumania na mwanaume mwingine

    Kuna watu Fulani kwasababu ya kutumia akili za matakoni wanasemaga kuwa eti kumkataa mkewe kisa tu kakusaliti ni ushamba hata sisi wanaume tunachepuka kuliko wanawake My bro’s nataka niwaambie siku zote mwanaume katika kuchepuka kwake anatumia akili Mwanamke anatumia hisia Mwanaume ata...
  4. kwisha

    Mwaka 2022 nilipost post hii kuhusiana na yanga watu wakanicheka hasa hasa Mashabiki wa simba

    Hakuna timu ambayo ina uwezo wa kuleta kombe la Africa Tanzania zaidi ya Yanga https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/Hakuna-timu-ambayo-ina-uwezo-wa-kuleta-kombe-la-Africa-Tanzania-zaidi-ya-Yanga.2036654/ Mwaka 2022 nilipost post nyingi Kuhusu yanga Nilisema yanga nilidude likubwa...
  5. kwisha

    Belouizdad ni timu mbovu sana, Yanga wasiwe na presha

    Nilibahatika kuona mechi zote mbili za RC belouizdad na Al ahly ni Mechi za michongo Mechi za mikakati Sio kwamba belouizdad wana timu nzuri kivile Even ile mechi yao na yanga ni mistake ya yanga tu ambayo walitumia kwenda kushambuliwa wachezaji wengi na kuacha wachezaji wengi wa chache nyuma...
  6. kwisha

    Sio kila chozi la mwanamke lina maana kuwa anateseka na ndoa au maisha yake

    Kuna watu wanakuwa na tabia ya kuhukumu wanaume kisa tu wameona wanawake wao wanalia akili zao zinawatuma moja kwa moja kuwa wanateseka saana kwenye ndoa zao saana Ila ndugu zangu wanawake ni waongo saana. Don’t take your time kumpa haki mwanamke kisa tu analia [emoji23][emoji2][emoji1][emoji3]...
  7. kwisha

    Natafuta mfanyakazi

    Nahitaji mtu mwenye akili na msomi ambaye nataka awe mshauri mkubwa wangu kwa mambo mbali mbali ya maisha yangu Kama uko tayari ni text dm Tuongee mambo mengine Niko serious bro’s
  8. kwisha

    Baada ya kuoa ndo nikagundua kwanini Mungu alikataza tendo la ndoa kabla ya kuoana

    Kuna vijana wanatumia madawa hao na wengine wana vitu vikubwa kinoma Akilala na mwanamke mpaka mwanamke Ana rizika na kufurahia tendo Kwa bahati mbaya ukija kuoa mwanamke Kama uyo alafu uwezo wako uwe chini zaidi ya Yule ex wake kwenye tendo la ndoa hakika utateseka...
  9. kwisha

    Naombeni kujibiwa maswali haya na kupewa ufafanuzi zaidi kwa yeyote anayejua

    Najiulizaga Mimi juu ya maombi haya ambayo watu wanaombaga kanisani na misikitini. Je, ni kweli hivi ndivyo wanavyo muombaga Mungu au watu ambao walikuja kutupa dini walituficha system ya kumuomba Mungu na anasikia hapo hapo na kutowa msaada Nina brother yangu fulani ambaye ni mchungaji huyo...
  10. kwisha

    Je malaika wetu walinzi wanaendaga wapi kipindi tukiwa tunarogwa na wachawi?

    Tunaambiwa kuwa kila binadamu ana malaika wake ambaye anamlinda lakini ninachoshangaa ni kuwa watu wanarogwa watu wanasumbuliwa na Majini na aina nyingine ya matatizo kwani kipindi Majini na wanadamu wanapokuwa wanamtendea mwanadamu mwingine mabaya kwenye roho wale Malaika wetu walinzi...
  11. kwisha

    Naombeni ushauri wenu wana JM kwa Jambo ili

    Mimi nikijana Nina mke na watoto 3 Baba mwenye nyumba wangu yeye na mke wake walishikwa na polisi Uku mwalimu wa mtoto wangu naye ivo ivo akiwa anaumwa Mke wangu aliniambia kuwa baba Mkwe wangu ( yaani baba yake na mke wangu ) naye tulikuwa naye kwenye club usiku wa Jana Mimi nilivyo cheka...
  12. kwisha

    Hisia za stress kwangu hazipo kabisa

    Kwenye maisha ni kawaida kusikia kila binadamu Anapata stress kutoka na situations ambazo anapitia kwenye maisha yake Lakini kwangu hali hiyo ni tofauti kabisa Mimi sinaga hisia za kuumizwa na kitu chochote Kila kitu nachukuliaga kawaida tu kiwe kigumu kwangu au chepesi akili yangu haiwezi...
  13. kwisha

    Sheria ya ndoa ya mke mmoja kwetu sisi wakristo ilitoka kwa nani?

    Hivi nafikiria kabisa kwa undani Sheria ya kuoa mke mmoja kwetu sisi wakristo imetoka kwa Mungu au kwa wanadamu? Kama ni kwa Mungu je Mungu alishindwa kabisa kujua kuwa mwanaume hawezi kutulia na mwanamke mmoja? Hiyo sio tamaa ni kama nature yetu sisi wanaume. Kwa wale ambao wameoa tayari...
  14. kwisha

    Yanga wana timu nzuri saana

    Yanga wana timu mzuri saana Sio tu Timu Nzuri pia yanga wanacheza vizuri Wanatakiwa kurekebisha makosa madogo tu Ili wawe bora zaidi na makosa hayo ni kujifunza jinsi ya kutumia nafasi ambazo wanatengeneza Na kuboresha defance Yao tu kidogo Wakifanya ivo hakika kwa mpira huu wao wa short pass...
  15. kwisha

    Huwezi kutoboa kwenye maisha bila kufanya dua

    Hata Kama unamuomba Nani Imani yako na kupambana kwako ndo Siri ya mafanikio yako Kila mtu Ana ndoto yake hapa duniani But my friend kutimiza ndoto yako sio jambo jepesi kupambana peke yake hakuwezi kukufanya utimize ndoto yako Katika maisha kuna vikwazo vingi ambavyo vinamsumbuwa mwanadamu...
  16. kwisha

    Jambo hili lina maana gani?

    Kuna mke wa mtu ambaye natoka naye kwasasa tuna takribani siku 4 toka tupendane cha ajabu Mume wake ameweka picha yangu kwenye profil yake ya Facebook hii inamaana gani
  17. kwisha

    Moise Katumbi anafaa kuwa Rais wa Congo tuache ushabiki wa kijinga tumpe nchi Katumbi

    Kumlinganisha felix tshisekedi na moise katumbi ni matumizi mabaya ya akili. Hata vitabu vya Mungu vinasema kuwa Kila mtu uongezewa kitu akiwa nacho Sio kwamba ataongezewa akili na wakati Hana akili Felix tshisekedi kabla ya kuwa rais alikuwa muuza pizza [emoji487] uko beljiji Moise katumbi...
  18. kwisha

    Dalili ya kushindwa kwa Felix Tshisekedi tayari imeonekana

    Tayari Felix Tshisekedi ameanza kuonyesha Dalili ya kushindwa kwenye kampeni hizi. Tayari sheria ya nchi yetu imeamuru kuwa Moise Katumbi ni mkongomani na ana haki ya kugombea urais wa nchi hii. Inawezekanaje Felix Tshisekedi kwenye kampeni zake anatumia maneno ya kibaguzi kumtukana mpinzani...
  19. kwisha

    Nini dawa ya uume kusimama kwa mda mrefu

    Nina tatizo ambao wanajua naomba wanisaidie toka niowe mke wangu kwasasa tuna wiki 3 na nusu toka tuoane Ila kila nikipiga game na mke wangu uume wangu unasimama kwa mda mrefu bila kulala na kwa bahati mbaya si mwagi kabisa na nikibahatika kumwaga na mwaga kidogo Japo mke wangu Ana enjoy...
  20. kwisha

    Tatizo la simba wamewekeza kwenye propaganda

    Miezi kazaa uko nyuma niliwahi kusema simba wao wanawekeza kwenye propaganda na wakati wenzao yanga wame focus na mpira Usajili wa simba wote mnajua ulivyokuwa na vurugo sijui Che Malone Sijui Onana mambo mengi ya kasemwa leo kiko wapi Yaani nyinyi munabishana na watu ambao wameshawahi kuonja...
Back
Top Bottom