Search results

  1. K

    Kwanini Serikali imekuwa kimya sana kwa wazee wa Simba na Yanga

    Watu mmekuwa mbumbu sana elimu ni muhimu sana.Simple question Abromovich yuko chelsea kwa maslai ya nani?
  2. K

    Simba usajili wenu uhimili michuano ya klabu bingwa Afrika

    Ebo, kumbe yanga anaweza kuwa bingwa wa club bingwa Africa!Kweli wonders shall never end!
  3. K

    Unaangalia Fainali ya Uefa Ukiwa Wapi?

    Write your reply...kokoliko by Annex.Arusha moja!
  4. K

    Hii hapa Siri ya ulinzi mkali wa Rais Magufuli

    Write your reply...Wanaomlinda Trump uwezi kuwaona lakini anapokuwepo kunakuwa na ulinzi everywhere.Kiufupi ni kwamba ulinzi wa kisasa uko kitekinolojia zaidi na sio kama tunavyofanya sisi ,ulinzi wa mheshimiwa ni wakimaonesho zaidi, watu welioshika bunduki wamezunguka everywhere na wenyekupenda...
  5. K

    Polisi: Aliyekwazika na Posti ya kutishia Uhai wa Lissu aende Mahakamani

    Jana nilienda Polisi kutoa lost report kwani nilikuwa nimepoteza kitambulisho cha mpiga kura, nilienda kutoa taarifa kwa ajili ya usalama wangu na pia ili nijiandikishe tena kupata kitambulisho kipya cha mpiga kura, nilikuwa surprised pale ambapo polisi moja aliniuliza kwani wewe kitambulisho...
  6. K

    Bocco,Okwi,Zana na Chama wametutia adabu Simba

    Ulichosema ni sahii kabisa, unajua aina ya wachezaji unaowatumia kwa kila mechi inategemea sana aina ya team unayocheza nayo, na target ya team katika mchezo husika. Kwa mfano unapocheza ugenini definitely utahitaji kujilinda zaidi, kwahiyo utachezesha viungo wengi wakabaji badala ya viungo...
  7. K

    Kuelekea robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi Hapa

    Teams zote ambazo zimeshika nafasi ya pili kwenye makundi, robo fainali lazima zianzie nyumbani na kumalizia mechi ya marudiano ugenini.
  8. K

    Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Kwani Mr.Prezidar ni mgeni wa barabara?
  9. K

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    usijilaumu kuto kumpigia kura yako, hiyo kura uliyomnyima ndio imemshitua na kumfanya yeye kuwa mbogo.Na hivyo ndivyo democrasia inavyotakiwa kuwa na ndio matunda yenyewe ya democrasia.
  10. K

    Mabalozi kuwa na taaluma zote: Nini mkakati wa Serikali?

    Nyie wandugu mnachanganya mambo Mh raisi hajafuta kabisa safari za nje, ila anachofanya ni ku-cut down safari za nje ambazo hazina tija kwa taifa kwa mfano ile safari ya USA ya mheshimiwa flani na aunt Ezekiel.It was the wastage of public money!
  11. K

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Dah yule jamaa ni kichwa cha ukweli, kama kuna watu Tanzani/Africa tunatakiwa kujivunia yeye ni moja kati yao!Tanzania tungekuwa na watu wa aina yake kumi tungevuka kutoka hapa tulipo kwenda mbele zaidi.
  12. K

    Hii ya Maalim Seif nimeielewa, ila hii ya Lubuva mh!

    Hapo Zec na Nec wamechemsha mbaya kabisa, logically Zec kufuta matokeo ya Zanzibar means wamefuta na ya Muungano pia.Ila kwasababu nnchii sheria zinaamuliwa kutokana na matakwa ya watawala/ra basi kila kitu kitasakafiwa kama wanavyotaka.
Back
Top Bottom