Search results

  1. Cambodian

    Hatimaye memba pendwa wa jf gentamycine aanza kupevuka kiakili.

    Lipia tangazo hili Genta usituchukulie poa
  2. Cambodian

    NBA Original Thread: Basketball & Fun

    Kweli ila bado wanaWATU
  3. Cambodian

    Pamoja na kuzungukwa na mameneja wengi bado Zuchu analalamika kutapeliwa na makampuni? Mameneja wake wanamzunguka?

    Amefanya maamuzi ya kitoto sana hata kama Kuna ukweli juu ya swala hili ilibidi atumie busara kwenye kulisolve sio kwenda kwenye social media Makampuni mengi yataanza kumuogopa kutokana na huo Uswahili aliofanya. Inabidi elimu ianze kutolewa kwa hawa vijana wanaopata umaarufu wa haraka jinsi...
  4. Cambodian

    NBA Original Thread: Basketball & Fun

    Aah Team Kevin Durant n James Harden midevu wapo vizuri Sana tatizo huwaga majeruhi Hao Dub Nation sidhani Kama watafika ata finals😂
  5. Cambodian

    NBA Original Thread: Basketball & Fun

    Msimu huu Nets wana nafasi kubwa ya kubeba Majeruhi tu labda ndo yawafelishe..
  6. Cambodian

    Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

    nina wasiwasi kuwa mpira hukuangalia ulipata story za vijiweni ndo umekuja nayo apa jf..
  7. Cambodian

    Mvutano kati ya china na Taiwan hali yazidi kuwa mbaya

    Waziri wa Ulinzi wa Taiwan ameonya kuwa mvutano wa kijeshi dhidi ya China umefikia hatua mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 40 na ametoa tahadhari uwezekano wa mashumbulizi kati ya nchi hizo mbili. ---- Uhusiano wa kijeshi na China ni mbaya zaidi katika miaka 40, waziri wa ulinzi wa Taiwan...
  8. Cambodian

    Hii picha ya simba fc sijaielewa, ni ya leo kweli?

    Ni ya mwaka gani?.Hao wachezaji wanaonekana kwenye hio picha wamesajiliwa lini Simba?,.Vipi kuhusu izo jezi mazoezi sio za msimu huu?.
  9. Cambodian

    Kwa Rais Samia nchi inakwenda bila makelele

    naona mnajipongeza kwa kutupiga kimya kimya..Kweli nimeamini Mama anaupiga mwingi sana..
  10. Cambodian

    Kenyatta na Nduguze wana mabilioni ya fedha waliyowekeza Uingereza

    Kenyatta na nduguze 6 wanatuhumiwa na kashfa nzito ya matumizi mabaya ya hela.Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kukanusha suala hilo imetolewa..Nawasilisha.
  11. Cambodian

    Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  12. Cambodian

    Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

    naona unajipigia promo makonda upate teuze.. anyway lipia tangazo hili..
  13. Cambodian

    Stand up comedy: Comedian Deogratius ana kipaji hasa atafika mbali sana

    Lipia tangazo hili deo usituchukulie poa!
  14. Cambodian

    Simba na Man Utd kufungwa weekend itakuwa tulivu sana

    Kwenye boxing AJ nae kachakazwa
Back
Top Bottom