Siyo ule wimbo tunaoimba huku tumesimama wima mithili ya askari anayelinda benki ya CRDB.
Siyo ule wimbo ulioimbwa kabla ya Timu ya Taifa kupigwa risasi moja ya kichwa na Timu ya Taifa ya Uganda katika michuano ya CHAN pale kwenye uwanja wa Mkapa. Siyo huo !
Huu ni wimbo sugu unaoimbwa na...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Nchi ya Tanzania ni miongoni mwa Nchi chache Duniani, zilizobarikiwa vivutio vingi vya utalii. Mbuga za wanyama, makumbusho ya kihistoria, uoto wa asili, milima na mabonde na vivutio vingine vya utalii, ni baadhi ya vivutio vya kitalii vilivyopo hapa Tanzania...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje.
Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea kutegemea mikopo, misaada na sera za kiutawala na kiuchumi kutoka Mataifa hayo.
Utumwa huu usiokoma...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Salamu kwenu Watanzania.
Leo nimeamua kuandika makala yenye lengo la kuhamasisha Watanzania, kufuatilia na kupata Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha mpiga kura na Cheti cha kuzaliwa.
Msukumo wa kutumia mda na kuandika makala haya, unachagizwa na ukweli ulio...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Umeme ni nishati muhimu sana katika karne hii ya leo. Shughuli nyingi za majumbani, viwandani, ofisini na sehemu zingine, zinategemea sana nishati hii ili kufanya kazi.
Matumizi yake ni mengi mno na umuhimu wake hauelezeki.
Heko kwa Serikali ilijitahidi na...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu.
Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya na poleni sana mashabiki wa Simba damudamu, kwa shambulizi la risasi moja ya kichwa, mliyofyatuliwa...
Laana huja kwa njia tofauti tofauti na huathiri maendeleo au mafanikio kwa njia tofauti tofauti. Nchi hizo kuandamwa na vita ni laana, vimbunga vikali, Uviko 19 kuanzia huko na kuua sana na kadhalika. Zote hizo ni laana ambazo kwa njia moja au nyingine, huathiri uchumi na maendeleo yao.
Sawa ndugu, nilichomaanisha hapo ni kwamba, ukiona mtu unaandamwa na mikosi, roho ya kukataliwa, roho ya madeni, pesa kupotea na kadhalika, ujue siyo bure kuna kitu. Na miongoni mwa sababu zinazoweza kumfanya mtu apitie hayo ni pamoja na pingu za kiutamaduni yaani kurogwa, kasoro za kibinadamu...
Hayo mambo ni moja ya sababu za mtu kupata mikosi. Ila kama mtu anapata mikosi na hajafanya hayo, huenda zikawa ni sababu zingine nilizozitaja mwanzo kama vile, pingu za kiutamaduni (ushirikina), kasoro za kibinadamu, nyota na kadhalika.
Na Emmanuel Zacharia.
0745937016.
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na mikosi katika maisha yako?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya kukataliwa?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya madeni?
Ulishawahi kujiuliza kwanini ukipata pesa hazikai (ndio mataizo...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Neno "Rushwa" linaweza kuelezwa na kufafanuliwa kwa tafsiri tofauti tofauti, lakini tafsiri rahisi na nyepesi ya neno rushwa, ni kitu au fedha inayotolewa kwa mtu mwenye mamlaka fulani ili kufanikisha jambo fulani la mtu.
Kwa mantiki hiyo, rushwa ni njia ya mkato...
Na Elivius Athanas.
Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.