Search results

  1. M

    Ndoa yangu inateketea

    Pole sana mkuu, hatua ya mwanamke kukutamkia kuachana jua hapo ndoa haipo. Ushauri wangu: chukua watoto wako, pambana unavyoweza kuwapatia nahitaji yao na kuwaonesha upendo wa hali ya juu hii itakusaidia kuwa busy na kumsahau kabisa huyo mwanamke. muda wa maisha duniani ni mchache sana hivyo...
  2. M

    Afisa mtendaji kata Lulembela awafikisha mahakamani baadhi ya watumishi kwa kutolipa mchango aliouanzisha

    Afisa mtendaji kata ya Lulembela wilaya ya Mbogwe mkoani Geita leo tarehe 6 September 2021 amewafikisha mahakamani baadhi ya watumishi (Walimu na wataalamu wa afya) kujibu shauri alilolifungua (KUPINGA MAENDELEO) katika mahakama ya mwanzo Lulembela. Katika shauri hilo walilosomewa watumishi hao...
  3. M

    Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Si unafiki, namna inayotumika kudai michango si ya kidemokrasia, ni ya unyanyasaji na ukandamizaji. Ungeelewa ni kiasi gani cha Kodi watumishi hulipa kila mwezi usingeandika haya ndugu.
  4. M

    Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Hayo siyo majungu ni hali halisi. Mtendaji na balozi wake walipaswa kuelimisha wananchi kuhusu mchango huo na si kutumia nguvu. Hata ukusanyaji kodi kwa ngazi ya taifa ungekuwa wa kutumia nguvu namna hiyo hali isingekuwa nzuri
  5. M

    Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Siyo kishabiki ndugu, watumishi wanakatwa kodi kwenye mishahara yao kila mwezi, huo ni MCHANGO tosha kwa nchi na jamii yao, mtendaji alipaswa kuwa mstari wa mbele kupigania masilahi ya watumishi badala ya kuwakandamiza. Ukifikiri vizuri utaelewa.
  6. M

    Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Afisa Mtendaji kata ya Lulembela, wilaya ya Mbogwe, mkoa wa Geita amekuwa Mungu mtu kwa kutisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango wa maendeleo bila staha na kuzingatia utu wa mtu. Anamtumia balozi wa nyumba kumi anayeitwa Benard Gwanguru ambaye amekuwa akiambatana na mgambo...
Back
Top Bottom