Search results

  1. J

    Kusherehekea kupo palepale ilimuradi ujue kwa hakika bila kubahatisha sababu za wewe kufanya hivyo

    Kumekiwa na hili wimbi la watu fulani kufurahia wale mahasimu wao wanapopatikana na matatizo na kuzionyesha hisia zao mitandaoni ; jambo hili sio geni kabisa , nna hakika wote tuna maadui zetu ama hata wale ambao hatukudhani kuwa ni maadui kwa nyakati tofauti walishatuonesha kutudhihaki...
  2. J

    Uzao wa Nephillim na utawala wa Illuminati

    Watu hawa wanatokea karne nyingi sana nyuma katika maisha ya ulimwengu huu; wanajielewa , wapo very organized dunia nzima na hawabahatishi katika mikakati yao dhidi ya ubinadamu na Mwenyezi Mungu. Wale wanaoshawishiwa kwa ama tamaa ya mali na umaarufu ama kwa sababu ya dhiki tu kujiunga kwenye...
  3. J

    Unadhani Marekani ya leo ndiyo ile tuliyoijua?

    Nyakati zimebadirika sana , kwa wale wanaojua siri za ndani ni uongo kuwa Marekani kwa sasa ina chochote kwa ajili ya Afrika, kama ilikuwa inachukua kwa kunyonya namna ile miaka yote wakati bado ipo vizuri kiuchumi je sasa hivi itachukua kwa namna gani, haina lolote ndio maana viongozi wote...
  4. J

    Je, Mtazamo wa 50:50 si chanzo cha LGBTQ?

    Ulimwengu wote umekumbwa na taharuki kuu, Baada ya Joe Biden kusign bill ya kuhalalisha ndoa za jinsia moja marekani nzima (awali ilikuwa ruhusa kwenye majimbo baadhi), mnamo Desemba ,2022; ghafula mke wake amepanda ndege mwezi February ,2023 kuzungukia Afrika nchi kadhaa akiwa na ajenda kadhaa...
  5. J

    Hayati Magufuli alikosea sana kulitetea taifa. Bado, proverbs. 19:29

    Kuna watu wanadharau sana kwenye taifa hili, wanadharau sana mambo ya MUNGU, hofu ya Mungu imetoweka kabisa, badala yake wanafanyia mzaha tu mambo matukufu, imefikia hatua hadi comedians, wasanii n.k wanatumia jina la YESU katika jokes zao kutafuta pesa. Si viongozi , si wakuu wa dini si raia...
  6. J

    TATIZO HAWAWAAMBII UKWELI MNGEKUWA MMESHAOKOKA SASA HIVI.....[emoji1]

    Unawakumbuka wale jamaa waliokufa katikati ya matukio, mfano yule mzee mmiliki wa bar moja pale arusha aliyegongwa na toyo usiku wa mwaka mpya akiwa na mchepuko wake, ama wale wanaofariki nyumba za wageni na kukimbiwa na michepuko yao , ama wale waliojiua sababu ya kuumizwa katika mapenzi ama...
  7. J

    Kama wewe ni binadamu...

    Kama wewe ni binaadamu mtumie link hizi binaadamu mmoja tu Tanzania hata kama ni nje ya Tanzania , huwezi kujua ukimfungua macho utamuokoa na nn , na yeye mwambie amtumie mtu mmoja tu, and boom, the truth goes viral all over , https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2056706/...
  8. J

    Siwezi kunyamaza tena, unganisha dots mwenyewe...

    Muda umekwisha kabisa , alarm zote za mwisho.zimelia tayari ; mfano tu : mwaka jana mwishoni rais wa marekani , Joe Biden, amesain sheria ya ndoa za jinsia moja marekani , kwa sasa ruksa nchi nzima, ya marekani na sio baadhi ya majimbo tu kama ilivyokuwa hapo awali. Maandiko yanasema kuwa...
  9. J

    Uzao wa Wanephili unavyowadanganya, mmeliwa kama hajui hili

    Hawa jamaa mfumo wao bado ni uleiule wa kutengeneza problem ambazo hazina solution popote halafu wanaleta solution baadae wao wenyewe mfano magonjwa makubwa makubwa yasiyotibika kiurahisi duniani n.k. Vivyo hivyo ndio wanavyofanya katika uchumi wa dunia ulimwe guni kote, wanatubania kiuchumi...
  10. J

    Hatukumuelewa Mzee wetu, huo ndiyo ukweli!

    Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama. Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa...
  11. J

    Siyo kweli kwamba Mungu atatustukiza tu kiyama ili tupotee

    Watu wengi wanatafsiri maandiko vibaya na kupotea kwa kuelewa vibaya ; ni kweli imeandikwa kuwa ile siku na ile saa hakuna anaeijua ila MUNGU Mwenyewe lakini hiyo haimaanishi wiki , wala mwezi , wala mwaka wala muongo wala karne. Tunaweza tukajua kabisa kwamba kiama kimekaribia ila hatutaijua tu...
  12. J

    Wananchi washikilia bango ubadhirifu wa milioni 327 Bukoba, Mkuu wa Wilaya atolea ufafanuzi

    Huku ndiko taifa tunaelekea, uwezo wa kuhoji maswala muhimu unaongezeka na watu wanazidi kuelimika kuhusu maswala ya sayansi ya uraia, na hizi ndizo athari chanya za matumizi ya mitandao kijamii. ========= Wananchi wamekuwa wakifatilia ubadhirifu huu kwa kupiga simu na kupitia mitandao ya...
  13. J

    Anaejionesha ili asifiwe ndani yake anakuwa na kinyongo fulani

    Kwamba unavaa milioni kumi toka juu kichwani mpaka kiatu chini, ili waliokosa riziki siku ya leo wasemaje ? Wamuone MUNGU anaupendeleo ama ? PROVERBS 1: 32 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    Kumbe ndio maana viongozi wanashindwa kujiuzulu!

    Kwanini mnafanya jambo la nchi kama personal ama family issues? Unapofail katika jukumu la kitaifa, ukionekana hutoshi mahala kama unajua hilo ni jambo la kitaifa na sio personal basi ni rahisi ukajiuzulu na kuwapa wenzio nafasi wafanye na wao. Hii mentality ya kujibinafaiahia nchi mpaka...
  15. J

    Aliyetengeneza hii simjui.....

    Aliyedesign haka kapicha aache kabisa kutuletea mambo yake, Sent using Jamii Forums mobile app
  16. J

    Ajali ya ndege, somo la utu na ubinadamu

    Kila siku huwa nasisitiza jambo hili, mtu asimdharau binadamu mwenzie kwenye dunia ya leo (isipokuwa tu kuchukua tahadhali ya kiusalama). Ukiwa na pesa, una gari nzuri, mijengo ya maana n.k jitahidi kutokuonuesha dharau ya makusudi kwa wale watu ambao wanaonekana wa hali dhariri sana kwako. Ni...
  17. J

    Huyu mtazamo wake ni sahihi, Wote kwa pamoja tujitafakari. Mabadiliko huanza na wewe

    https://www.jamiiforums.com/threads/2037765/#post-44241942 ""Yanahitajika mabadiliko ya fikra tu;Wananchi wakiwa na fikra chanya, matokeo yake vyombo vya dola, wanasiasa na viongozi watabadilika kwa kuwa wote hutokana na wananchi.;Kwa sasa asilimia ya wananchi wana fikra za kitumwa za kusifu na...
  18. J

    Tuamke kuwaunga mkono wabunge na bunge letu

    Wakati wawakilishi wetu wanapambana kule bungeni wakikemea na kuwaweka kati mafisadi ,sisi kama raia tunapaswa kuwaunga mkono katika jambo hili. Jambo hili ni letu sote, pesa ni za wavuja jasho wa kawaida kabisa nchi hii wanaolipa kodi halali usiku na mchana. Hii ni vita ya kulikomboa taifa...
  19. J

    TUCTA na watumishi wa umma wa taifa hili onyesheni kuwa mnajitambua hata kidogo basi

    Hivi watumishi wa umma wa taifa hili mnajitambua kweli, nyinyi na vyama vyenu vya wafanyakazi? Nyinyi ndio mnaokuwa wa kwanza kudai mboreshewe maslahi na Serikali kila mwaka, mnadhani hizo pesa za kuwaongezea zinatoka wapi kama sio kwenye hizi kodi za wavuja jasho wa Tz zinazoibiwa na kutafunwa...
Back
Top Bottom