Search results

  1. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    sikuelewi? bongo kuna wanawake wangapi wanawatoto na hawajaolewa bado wako single?au wasichana chini ya miaka kumi na minane wana watoto na hawajui nani aliyempa ujauzito? au hauelewi maana ya single parenting?Labda pia ukae ukijua kuna kipimo inaitwa DNA testing kama unashaka! Nilibeba mimba...
  2. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    Ya Mungu leave it to God, future ya mtoto wangu is taken care of until he is 18, after that atakuwa independent so he can choose what he wants with his life, Nina ndugu baba yao aliwakataa but they are living much better lives than hata wangeishi na baba, my friend your future is yours wazazi ni...
  3. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    Asante ndugu yangu, ninao all school receipts and all money grams pia,
  4. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    Apart from yeye kuwa kwenye cheti cha kuzaliwa,Niliamua muda mrefu kutotaka anything to do with him and I have full support from my family ambao wamehangaika na mimi kumlea mwanangu.So infact I dont want anything to do with him.Sasa naitaji to full custody legally- though kila mtu anajua mimi...
  5. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    Sina doubt kuhusu nani ndo mzazi mwenzangu, but kila mtu anajinsi ya kureact to situations, na my way was kama amekimbia mimba,it means hana time na sisi, alikuwa na time for 12 years now, but its too late.Aliyenibebesha mimba ni yeye na ndugu zake wamepata ripoti kama walikuwa interested na...
  6. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    Na kumbuka nilimpenda jinsi alivyokuwa, kwa hiyo issue ya kuwa na hela sio sababu ya kukataa ujauzito. Alikuwa na nafasi ya kuwa karibu na mwanae kwa kumtembelea muda wowote but he choose to run away, so sioni kosa nililofanya zaidi ya kubeba mimba na mwanaume kama yeye- Naamini mwanamke yeyote...
  7. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    You are right, affidavit , will help during the interview as well, thanks for the insight
  8. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    kama yeye mwenyewe alikimbia responsiblitiy, did u expect me to take my child kumnadi kwa familia yake? Nimejaliwa kwenda shule kidogo and so I choose to keep my baby and work hard to maintain him and to prove to fathers that women can also survive without you.Kama hakuweza kusimama kama...
  9. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    wanataka docs to prove kuwa mimi ndo sole parent, mimi ndo biological mother and my name is on the child's birth cert, tatizo hapa ni kwa sababu niliandika jina la baba kwenye cheti cha kuzaliwa,ndo maana I need to prove that he was never there though he is the biological father
  10. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    Nimekupata, naitaji kupata affidavit kutoka mahakamani au lawyer, nina docs kama school receipts,hosp, etc
  11. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    Kwa taarifa yako, yeye ndo aliyetukimbia, nilipomwambia nina ujauzito alipotea na sijawahi kumwona huu mwaka wa kumi na mbili, he is the looser not us pole
  12. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    Mimi ndo custodial, unaelewa bongo hatuitaji ushaidi mwingi kuthibithisha, but ubalozini wanaitaji documents to prove that .Ndo maana nikaomba kujua kama kuna sheria yoyote that can advise me more?, or what docs should I supply to prove I am the only one who has full custody
  13. B

    Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

    Mimi ni single mother na nina mtoto mwenye umri wa miaka 13 na ninataka kumchukua mwanangu niishi nae Uingereza ambapo nimepata ajira. Mzazi mwenzangu alikataa ujauzito nilipomwambia,Na tangu mwaka 98 hatujawi kumwona.Hatukuwahi kufunga nae ndoa wala kuishi nae. Naomba kujua kama kuna sheria...
Back
Top Bottom