Search results

  1. Jesusie

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Nimekuelewa vema Sasa, Ila tuende mbele turudi nyuma Kafulila ni mtu anautulivu mkubwa wa kiuongozi.
  2. Jesusie

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Sijui kama mmenielewa hata hivyo. Mimi nimesema Kafulila mwamba kwa maana ya kupambana na Rushwa na Ufisadi wakati wote awapo na madaraka,
  3. Jesusie

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Mkuu hoja zako ni nzuri Ila nikama unachuki na hawa wawili
  4. Jesusie

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    mabasi 177 yatakayonunuliwa na kampuni hiyo ya ENG. ****** Huyu aje maramoja
  5. Jesusie

    Anayetakiwa kumrithi Uenezi Paul Makonda kwa hali na Siasa za sasa ni huyu

    Kafulila anasifa zote ila........
  6. Jesusie

    Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

    Aiseeee, Kumbe uchumi wa Tanzania unakua sana Akaunti 20M miaka mitatu Wakati akaunti 32m tangu uhuru Tumpigie makofi.
  7. Jesusie

    Dar es Salaam: Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa akutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna

    Naiona NMB kama Benki kubwa sana duniani miaka 15 ijayo kama watakwenda kwa kasi hii.
  8. Jesusie

    Kahama: Paul Makonda ataka Caroline apewe eneo la Serikali, Mkurugenzi asema kumiliki Ardhi ni jambo la kisheria sio siasa

    Kupitia kwa huyu Mkurugenzi nimejifunza kitendo Cha kuwahamisha Viongozi hasa wa kuteuliwa Kila siku kumechelewesha sana maendeleo ya Taifa hili, Unakuta Mkurugenzi tayari ana work plan yake mara paap analazimishwa kuhama au kuondolewa, Unaweza ukaona kitendo Cha huyu Mkurugenzi wa Kahama...
  9. Jesusie

    Change Makers2023: Wanawake wang'ara. Dkt Samia Suluhu, Dkt Mwinyi na Ruth Zaipuna wa NMB vinara. Melo wa JF, Mbowe na Zitto wajitokeza

    Hii Benki ya NMB kwa kiasi kikubwa inaendeshwa vizuri na HR, Ukiona taasisi inakwenda vizuri angalia human resources yao ikoje, Kampuni itakayoweza kuwalinda na kuwathamini wafanyakazi wake hiyo lazima itapiga hatua sana, Pale NMB kunammasai mmoja ndio chief pale jina limenitoka huyo ndio...
  10. Jesusie

    Zambia inaangamia kwa Kimeta. Waziri Ulega hakikisheni mnachukua tahadhari zote huko Rukwa, Songwe na Mbeya

    Momba tahadhari ya kutosha imechukuliwa na Kila mfugo anayo chanjo tayari sijui huko Songwe na Chunya hadi Mbarali
  11. Jesusie

    Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

    Kodi bila utaratibu hatutaki, Jerry simama hivyohivyo janjajanja hapana
  12. Jesusie

    Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

    Huenda mjinga ukawa ni wewe unayeteseka na magonjwa, Umasikini na shida mbalimbali na unajifanya mwamba,
Back
Top Bottom