Search results

  1. K

    JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Inawezekana kabisa kuwa rais kikwete ni bora kuliko wote kwa sababu zifuatazo uhuru mkubwa wa vyombo vya habari pia ni rais ambaye hajavibana vyama vingine vya siasa
  2. K

    Muulizeni Dr slaa aliambiwa vipi na Maalim Seif kuhusu Hamadi R ?

    Viongozi cuf hili jambo la hamad rashid lazima mlichukulie kwa upeo mkubwa nina uhakika mnamjua hamad rashid kuliko nimjuavyo mimi naona hamad rashid ni mtu makini sana kama kama kweli anatumika viongozi wa cuf msipokuwa makini mtakivuruga chama japo hamad ni makini lakini maalim seif jussa...
  3. K

    CHADEMA yajidhirisha kuwa ni imara sana Sumbawanga mjini

    Alichosema Shayo sababu za kujitoa CHADEMA ni Uchaga na udini achana na uchaga kwani SHAYO mweyewe ni mchaga alichozungumzia shayo udini hapo bwana mdogo hajakose kwani kwa mji wa SUMBAWANGA ilidhihirisha wakati wa uchaguzi mwaka 2010 wafuasi wengi walijiunga na chadema kutokana na udini kwani...
Back
Top Bottom