Search results

  1. Lord Lofa

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Uwanja ushainama huu, mambo magumu
  2. Lord Lofa

    Hivi huwa mnaoana kweli humu mbona hatupeani mialiko ya harusi?

    Ukihitajika utaitwa Mkuu 😅😅😅
  3. Lord Lofa

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    Sasa wangekuwa na njama ya kuwazuia si wangefanya tu kama walivyozoea miaka yote?
  4. Lord Lofa

    Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Hapana inabidi mkubali kusikilizia msivyopenda kusikia, ndio ukomavu
  5. Lord Lofa

    Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Sio kweli, Maandamano ya Dar barabara hazikufungwa kwa sababu ya maandamano.
  6. Lord Lofa

    Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Taarifa za Polisi za kukubali haya maandamano hazikuonyesha barabara zilizopangwa zitakuwa za maandamano pekee kwa siku na muda husika, taarifa zinaonyesha barabara itatumiwa upande mmoja na mwengine utatumiwa na watu wengine
  7. Lord Lofa

    Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Swali zuri sana, Yaani sababu wao wanaandamana wanatamani shughuli zote zisimame, kuna muda unaweza kuwaunga mkono watawala kuweka zuio za mambo kama haya
  8. Lord Lofa

    Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Tutakua taifa la Aina gani? Leo CCM, ACT, Wakristo, Waislamu watake kuandamana kuwasilisha ujumbe wao Barabara zifungwe kwaajili yao? Sio kweli
  9. Lord Lofa

    Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Watu ndo tunaokuza mambo, Chadema waandamane kwa amani huku wakiheshimu haki za wengine za kutumia Barabara, na Polisi wanaongoza kuhakikisha kila kundi linatekeleza haki yake na wajibu wake
  10. Lord Lofa

    Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Kila mmoja anawajibika kutimiza haki yake bila ya kuingilia haki za wenzake, Chadema na wafuasi wake wanayo haki ya kuandamana inalindwa kikatibu na wamepewa haki hiyo kwa utaratibu ambao hautaathiri haki za wengine za kutumia barabara na kuendelea na shughuli zao nyengine.
  11. Lord Lofa

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Waoga afu wazito sijui wana kipi cha kupoteza
  12. Lord Lofa

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    tunamiliki mpira hatuna hata shot moja golini, Wachezaji hawana ujasiri kabisa wa kupush mashambulizi mbele wanacheza nyuma tu pasi nyingi sana, Kocha ka relax haoni kwamba dakika ya 70 hamna hata shot afanye sub amekaa tu, wenzetu washabadili wachezaji kama wa 4
  13. Lord Lofa

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Kama unapenda mpira inaumiza sana
  14. Lord Lofa

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Ambalo tulimfunga Zambia na akarudisha tena wakiwa 10 tu, mbona tunasahau sana
  15. Lord Lofa

    Ukitaka kununua kiwanja hakikisha survivey plan iko approved wizarani

    Ametoka Katika Madaraka karibia miaka 40 sasa je waliomfuata walifanya yapi kusahihisha makosa yake? Tena yeye alijitahidi sana walau kipindi chake miji ilipangwa vizuri na kueleweka
  16. Lord Lofa

    DED Temeke: Tangazo lako lina malengo gani?

    Kipindi anapewa vibali vya kufanya majukumu mengine uliona tangazo lake?
  17. Lord Lofa

    DED Temeke: Tangazo lako lina malengo gani?

    Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa. Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais. Hapa busara haijatumika...
  18. Lord Lofa

    FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

    Unaambiwa ukitaka ujue mbongo asivyolizima ananza sentensi yako na maneno haya Ila serikali yetu……. Muachie atamalizia
Back
Top Bottom