Search results

  1. Tsh

    Hali ni Tete

    Sawa sawa mkuu. Nisiendekeze uzee.
  2. Tsh

    Hali ni Tete

    Mazoezi nafanya ila si hizo pushup mia. Mafuriko yakija nikawa juu ya lori kama wenzangu hapo lolote linaweza kutokea.
  3. Tsh

    Hali ni Tete

    Life style mkuu. Bia, nyama choma, halafu mafuriko kama hayo mpaka yaje yakukute ukiwa juu ya lori ili utembee na kamba ni mara ngapi inatokea? Ila bia na nyama zipo kila siku.
  4. Tsh

    Hali ni Tete

    Upo sawa, mazoezi ni muhimu ila usihitimishe, Hayo mazingira unaweza jifia tu na pushup zako 100 kila asubuhi, mchana na jioni.
  5. Tsh

    Hali ni Tete

    Ukiwa mnene ni tatizo zaidi. Ni mara chache mno uwe mnene na uwe na mazoezi. Mara nyingi watu wanene hawana mazoezi.
  6. Tsh

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Hii inawezekana, pametokea ajali, raia wanautazama mwili, polisi wanafika wanauchukua kuufikisha hospitali, hospitali motuary zimejaa, wanapeleka kwenye sehemu yao, ndugu wanapata habari, wanaenda polisi, wanamkuta ndugu yao. Sehemu pekee unaweza kuhisi polisi ni waongo ni iwapo: 1. Hapakuwa...
  7. Tsh

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Inawezekana Malisa na mwenzie wameingia kwenye 18. Huenda palikuwa na ajali kweli. Kama hawana ushahidi wa kukamatwa kwa marehemu na kupelekwa kituoni ambapo wanadai alipigwa basi wana kashughuli.
  8. Tsh

    Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Maandamano huleta tija idadi inapokuwa kubwa. Mfano, kila mkoa watu waandamane kumkataa kiongozi kila siku kiongozi anatoka. Mpira ni burudani. Binadamu yoyote huburudika na kuhuzunika. Hata wewe lazima una kakitu kako ambako unakahusudu kanakupa burudani ila ni ka kipumbavu kwenye masikio ya...
  9. Tsh

    Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Baba yako akipunguziwa mshahara usifurahi. Unadhani shughuli za Serikali zitasimama? Utatakiwa kukaza mkanda kwa Tozo, Kodi kufidia gap.
  10. Tsh

    Hali ni Tete

    Hasara za kunenepa ndo huonekana kwenye mazingira kama haya.
  11. Tsh

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Mama ntilie hafi njaa, anakula hicho hicho cha wateja.
  12. Tsh

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Kwa sababu bado ni kijana mdogo Jitahidi uwe nice guy kwa mama na dada zako, kwa mabinti kuwa kijana flani hivi ambaye binti atajisikia hayupo na baba yake au kaka yake ili umri ukifika wa kuamua kutulia still atulie na wewe mtupunguzie wanawake wenye watoto bila uwepo wa baba.
  13. Tsh

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Mama kufika nayo haitoshi? Anyway mambo yenu wasanii mnayajua zaidi ila kwa kawaida mtu akiwakilishwa na mama mzazi naona ina uzito kwa wafiwa kuliko meneja wake.
  14. Tsh

    MPYA Ni kweli hawa chura tunaokutana nao majumbani wana sumu inayoweza kukuua?

    Hata kama si kweli ila ukiumwa na chura nenda hosp.
  15. Tsh

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Ooh. Kumbe ana maraisi 2 tu kabla ya umri wa kustaafu.
  16. Tsh

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Sample ulizotumia sio. Ila swali lako bado lipo ila linahitaji utafiti. Ni kweli usipokuwa na mke unaishi maisha mafupi? Binafsi sioni uhusiano wa moja kwa moja ila nachojua above 55, kataa ndoa wengi uzalendo huwa unawashinda wanaoa.
  17. Tsh

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Umri wenu huenda tofauti. Labda Okw yupo kwenye 27 au below.
  18. Tsh

    Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

    Kwa tabu mnoo.
  19. Tsh

    Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

    Next time shushia na bakuli la uji mwepesi mno uliolala, usiwe wa moto. Inaimarisha utumbo na kuiandaa njia ya kutolewa hewa chafu isichubuke.
Back
Top Bottom