Afghanistan: Viongozi wa Taliban wazozana Ikulu, vyanzo vimeeleza
Saa 3 zilizopita
CHANZO CHA PICHA,AFP
Mzozo mkubwa ulizuka kati ya viongozi wa Taliban kuhusu muundo wa serikali mpya ya kundi hilo nchini Afghanistan, maafisa wakuu wa Taliban wameiambia BBC.
Mabishano kati ya mwanzilishi...
Hamid Mir: Simulizi ya mwandishi wa Pakistan aliyemhoji Osama bin Laden mara tatu
12 Septemba 2021
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Hamid Mir katika moj ay amahojiano na Osama bin Laden,mjini Kabul mwaka 2001.
Wiki saba baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001, Hamid Mir...
Jambo hili lilianza mwaka 1920 baada ya kunukuliwa kwa kiongozi mashuhuri wa Jamaica Marcus Garvey, ambaye alikuwa nyuma ya harakati ya Kurudi Afrika:
"Angalia Afrika, wakati mfalme mweusi atakapotawazwa taji, kwani siku ya ukombozi imekaribia."
Muongo mmoja baadaye, Ras Tafari (au Chifu...
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Taifa la Ethiopia limekaribisha mwaka mpya hivi karibuni, licha ya kuwepo kwa baadhi ya madhila ya vita na njaa hasa upande wa mashariki wa taifa hili. Fahamu zaidi kuhusu kalenda ya mwaka wa kipekee wa Ethiopia kama urithi wa nchi hiyo.
1) Mwaka ambao una miezi 13...
Limeandikwa na BBC
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu
21 Agosti 2021
Imeboreshwa 10 Septemba 2021
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya...
Aiseee mimi nampenda saana ronaldo CR7. Na nilijiapiza kama Ronaldo atarejeaa tena Man Utd nitakula vizuri saana hiyo siku.
Nikaona sio kesi nakasubiri game yake ya kwanza England, kakipiga na Newcastle na kafanikiwa kutulia goli 2.. Man u imeshinda kwa gori 4-1
Wachaaaaa nijipongeze na ugali...
Klabu ya Yanga imewachapa watani wao wa jadi Simba SC na kuizuia klabu hiyo kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa 2020/2021.
Mabingwa watetezi Simba walihitaji kupata alama tatu ili kutawazwa mabingwa kwa msimu wa nne mfululizo.
Hata hivyo goli la dakika ya 13 lililofungwa na...
Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA
(1) JIKUBALI...
Imesimuliwa na Zubeda Abdalla Omar
Alitokea Chanjagaa akajenga nyumba akakaa, mwanangu Mwanasiti kijino kama chikichi, cha kujengea vikuta na vilango vya kupita. Hapo zamani za kale alikuwepo bwana mmoja, aliekuwa na wake watatu mmoja alikuwa mwizi. Yule bwana alikuwa anafuga mbuzi, siku moja...
hili suala kisheria likoje kwa mama mjane na watoto zake kugawna mirathi ambayo mume wake amefariki. kisheria hili suala likoje na lina fanywaje katika masuala mazima ya mgawo,mfano mume alikua na wake wawili na kila mke ana watoto wa 2.
Mke wakwanza aliachika nataratibu za kugawana naye...
Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani.
Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.