Search results

  1. T

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    Pambana na serikali ilete maendeleo kwa wanna hi wako, hali ya barabara za mitaa, maji na madawati na uchakavu wa majengo hali ni mbaya.. Ya Lema ni ya jeshi la polisi hayakuhusu.
  2. T

    Nimefurahishwa na utendaji wa ofisi ya Msajili wa NGO chini ya wizara ya Dorothy Gwajima. Tatizo lipo kwenye ngazi ya mtaa na kata

    Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt Dorothy Gwajima. Nimehudumiwa vizuri pasipo urasimu wowote mpaka kufanikisha usajili wa shirika lisilo...
  3. T

    Lipi lililo sahihi kufanywa na rafikie Lowassa.. Aendelee na ukimya au aongee?

    Msiba umemnyanganya remote control na kumkabidhi mama. Tutalajie kukimbiwa na vijana wake wote. Hana namna tena. Wamasai siyo watu wa kuchezea. Wale wa umri wangu mnakumbuka kifo cha Sokoinne.
  4. T

    Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

    Lissu akili kubwa. Uchuguzi upo na hautafanyika kwa Lissu kwenda mahakamani ataitwa kama shahidi tu. Endelea kuomba Mungu. akupe uhai
  5. T

    Lissu kuhojiwa na kituo cha Star Tv usiku wa leo Februari 12, 2024

    Nipo tayari Star TV, nimeanza kwanza na BBC Swahili Dira ya Dunia. Mko juu Star Tv .
  6. T

    Lissu kuhojiwa na kituo cha Star Tv usiku wa leo Februari 12, 2024

    Nipo tayari Star TV, nimeanza kwanza na BBC Swahili Dira ya Dunia. Mko juu Star Tv .
  7. T

    Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Hata Mimi sijasoma yote....ila tu niseme NDIYO ipo zaidi ya TANESCO wanaongoza kwa upoyoyo ni CCM.
  8. T

    Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Futeni upuuzi huu. Anamchonganisha Askofu Bangoza hajasema hayo. Chuki binafsi kwa kwa Chadema na Shoo pia. Jamii Forum nitawashanga sana mkiachia upuuzi huu uendelee kuwepo hapo.
  9. T

    Tundu Lissu aibukia Ivory Coast kwenye Kambi ya Taifa Stars

    Utaangalia mpira kupita TBC au Azam?. Kama Tindo Mhando anawapuluza na huko. Muda wote ni mvua na mawingu chanel pendwa.
  10. T

    Tundu Lissu aibukia Ivory Coast kwenye Kambi ya Taifa Stars

    Atakosaje kwa mfano, wakati yana baraka zote za Amiri Jeshi Mkuu.
  11. T

    Tundu Lissu aibukia Ivory Coast kwenye Kambi ya Taifa Stars

    Mzigo kaamua kuwapelelkea mwenyewe. Kaogopa wazee wa kuchangisha na kubadili matumizi.
  12. T

    Prof. Mkenda una maamuzi ya kukurupuka kwenye elimu. Unajua hata Form 5 haitekelezeki kusoma mpaka 22 Desemba. Iweje mitaala mipya mwakani?

    Site tunajua watoto wetu wa kidato Cha Tano waliaanza shule mwezi wa 8 badala ya mwezi 7. Hii ilienda sambamba na kubadilisha mihula na kupanga wasome mpaka 22 Desemba. Lakini hili limeshindikana na tayari watoto wetu wa kidato cha 5 wameshafanya mitihani ya kumaliza muhula wa kwanza na wenzao...
  13. T

    Ndugu yangu ukipata fursa tembelea Ethiopia hakika hutajutia nauli yako

    Mama nae nasikia kabadilisha King'amuzi remote ya Msoga haibadili chanel tena.
  14. T

    Rais Samia kununua tiketi 30,000: Stars kuivaa Morocco

    Hakuna pesa yoyote inayolipwa hapo. Kama pesa anayo si awakopeshe wanafunzi. Siasa za ovyo sana.
  15. T

    Happy birthday Benjamin Mkapa. Champion of Economic Reforms and Private Sector

    Nchi ya wajinga wengi hii. Kwani ametimiza miaka mingapi ya uhai wake? Mtu akifa tunabaki na kumbukizi tu kama ilivyo "Nyerere Day".
  16. T

    MwanaCHADEMA aliyepigwa tofali na wanaCCM miaka 7 iliyopita apata matatizo ya kiafya. Aden Rage, Jaffo na Marry Chatanda wakamatwe

    Nawiwa kumtafuta huyu mtu nianzishe naye taasisi itakayo kuwa inajihusisha kuielimisha jamii ya makundi ya vyama kujali, kuheshimu itikadi na uhuru wa mwananchi kuwa mfuasi wa chama anachotaka na kuondoa chuki za kisiasa. Huyu atakuwa balozi wa taasisi hii na mamia kwa maelefu waliopata...
  17. T

    Serikali: Michezo ya kubahatisha imezalisha Ajira 25,000/=

    Moderator juzi walishambuliwa eti wasiwe wana edit . Wanaharibu na kupoteza maana ya havbari za watu.
  18. T

    Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

    Kwani Baba wa Taifa hakuwa na mke?
Back
Top Bottom