Search results

  1. M

    Vidonda vya tumbo mpaka kooni

    Wife wangu alikuwa navyo vimemtesa sana sana ,kuna dawa ameitumia vimepotea mpaka amebeba na ujauzito,Kama uko Dar nitakuelekeza uende uchukue dawa unywe
  2. M

    Rais wa zamani wa Chama cha walimu, Gratian Mukoba achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera

    Pale bukoba Mjini kuna Chief Karumuna lazima ashinde 2025,
  3. M

    Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? May mosi ibakaribia.

    Wahusika wako humu nafikiri watalitolea ufafanuzi
  4. M

    Upasuaji wa bawasiri

    ila bawasiri mtu akifanyiwa upasuaji mara nyingi inarudi,kuna jamaa mmoja amefanyiwa operation mara tatu lakin bado hajapona,sasa hivi anapata choo kwa shida kama kalamu iliyovujia wino sometime inabid asile maana akila akapata choo maumivu yake ni hatari,kuna dawa moja imewasaidia wengi na...
  5. M

    Makonda: Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina

    hivi kabla hajawa mbunge alikuwa anafanya kazi gani?
  6. M

    Kigogo wa Polisi Arusha adaiwa kukodi majambazi wamuue mumewe, wamkatakata kwa mapanga

    hivi kupima DNA huwa ni bei gan?pia unaweza ukatumia bima kupima DNA?
  7. M

    Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

    Ila sasa haijulikan utekelezaj wake utaanza lini yawezekana ikawa mwez May au June 2024 na sidhan Kama kuna waraka wa hilo jambo
  8. M

    Wanawake kunyeweni mtindi badala ya soda ni tiba

    Kwaiyo mtindi unatibu u.t.i?
  9. M

    Mwanangu ana Sickle Cell, tiba yake nini?

    Kuna jamaa mmoja nilimsikia anasema habar ya mtoto wake anasema alikuwa na changamoto hiyo na amesumbuka sana na huyo mtoto wake mpaka kwa sasa ametengamaa na yuko darasa la saba nafikir umpigie atakwambia tiba aliyotumia ,anasema mtoto wake alikuwa analala analia na kusikia maumivu makali sana...
  10. M

    Shinyanga Mjini ni Lissu vs Katambi. Nani ataibuka mbabe?

    Huyu Patrobas Katambi unamuita Dr aliupata lini?
Back
Top Bottom