Search results

  1. K

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    Mwenzenu najuta kusoma MBA(Banking &Finance)Tumaini, courses zote za banking & finance nimepewa B+, ilhali ukiniuliza risk management in banking sector sijui hata pa kuanzia.Nimefundishwa na assistance lecturer wa marketing courses karibia zote za banking. Sasa hivi nimeanza kusoma upya...
  2. K

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    MBA hivi ni nzuri kwa wanasiasa na siyo watendaji wa companies
  3. K

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    Kwa mujibu wa TCaU ni chuo, wapo waliotoka Burundi na diploma zao then wanahamia Tumaini iringa na kujoin third year BBA na wanapewa degree zao. Matokeo ya diploma first year and second year yanageuzwa kuwa matokeo ya BBA degree first and second year. Unapewa cheti chako cha BBA tumaini univast...
  4. K

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    kama unataka cheti tu cha MBA wahi fasta Tumaini iringa bora udeposit fee yao. Mmmmmmmmmmmmmmm kama ni elimu ya MBA tafuta kwenye elimu.
  5. K

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    Ufundishaji wa Masters of Business Administration(MBA),Tumaini University unatia aibu sana. Utakuta mwanafunzi hana uwezo wa mathematics, alikotoka kote masomo ya mathematics kapata "F" a.k.a mswaki, lakini akijiunga MBA Tumaini University-Iringa ana graduate akiwa na "A" kwenye masomo yote...
  6. K

    Kwa kweli mzumbe najuta kuifahamu...!!

    Kaza ****** soma kwa bidii ukishindwa nenda Tumaini iringa utapewa cheti chako hata bila kusoma bora uwe umelipa fee yao tu.
  7. K

    Wahitimu wa Ualimu Tumaini University, Makumira kutokupangiwa vituo vya Kazi na Ajira. Kulikoni???

    tatizo la tumaini university zote ni ubovu wa elimu. Mfano ni tumaini iringa wanafunzi wengine hata class hawaingii,akijaziwa incomplete na lecturer siku results zinatoka utakuta kapata "a". Walimu wanabaki kushangaa. Vyuo vya tumaini vinatoa vyeti tu havina lolote ndo mana waliodisco...
  8. K

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Nchi imemshinda,ametia aibu. Anajaribu kuzima moto wa Slaa.
  9. K

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Ha ha ha ha ha we Dr Silaaa usile kitu huko ikulu watakumwakyembe then upelekwe india urudi bile nywele wala kope. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Dr Slaa kupelekwa India sooon:A S embarassed::A S embarassed:
  10. K

    NCCR yakosa watu; yaahirisha maandamano

    Watanzania wana akili timamu, NCCR ni CCM- C baada ya CUF kuwa CCM-B.
  11. K

    NCCR yakosa watu; yaahirisha maandamano

    :A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
Back
Top Bottom