Search results

  1. M

    INAUZWA Pump ya kumwagilia inauzwa

    Pump ya kumwagilia inauzwa inch 3 800000 bargain Ipo nicheki 0710881879 Nipo mwenge Dar
  2. M

    INAUZWA Dust sucker mashine inauzwa

    Wadau nauza mashine ya kutolea vumbi Niko Dar Mwenge 0710881879 Bei 80000
  3. M

    Nawakumbusha Yanga SC kuanza maandalizi ya msimu mapema

    Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo. Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious. Sisi tutachukua kombe la digital design
  4. M

    Namtafuta kaka Genta aseme neno kuhusu usajili

    Habari wa bodi wa JF hususani wana michezo. Moja kwa moja kwenye mada. Kaka GENTA uko wapi sioni maoni yako katika kipindi hiki Cha usajili klabu yetu(Simba) inasajili wachezaji wanaotoka vilabu vinavyoshuka daraja uko kimya Wala haukemei swala hili wewe ndiyo mtetezi na msema kweli pale mambo...
  5. M

    Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Hbr kwenu wadau. Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo. Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane kwenye kilimo cha vitunguu. Nitakuwa tayari kwa mashart yeyote utakayotaka. Asanteni
  6. M

    Asanteni makampuni ya usafirishaji wa abiria kutusogezea huduma Mbagala

    Hi wanaJF Napenda kuchukua nafasi kuwashuru wamiliki wa MAKAMPUNI ya Mabasi yaendayo mikoni kutuletea huduma yenu Mbagala. Kwa huku Mbagala tulizoea kuyaona mabasi yaendayo mikoa ya Kusini tu ndiyo inatoa huduma za usafiri na watu wengine wanaotaka kusafiri mikoa mingine lazima udamke saa 9...
  7. M

    Microfinance ya EFC wanapatikana wapi Dar?

    Habari wanafamilia ya JF. Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu hii microfinance Bank(EFC) wanapatikana wapi kwa Sasa hapa Dar
Back
Top Bottom