Search results

  1. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Jamaa niliokwambia jana kashusha kidude kingine kinakula utaalamu ntakileta kikishakuwa mkao
  2. Junnie27

    Car4Sale Subaru for sale

    Hadi kizazi hiki bado wananunua gari kwa mailage mpe bei ya 0km usikie sasa wenge lake
  3. Junnie27

    Subaru wrx sti for sale

    Kuelewa sport car lazma uwe mdau ila kama waendesha gari km usafiri hapo lazma ueleweshwe kdgo
  4. Junnie27

    Subaru wrx sti for sale

    Subaru impreza (Wrx-STI..🔸) Year-2006 Colour-black Mileage-74000km Engine size-1990cc Exchange allowed🔸 Price📲48m 0626409908
  5. Junnie27

    Subaru legacy B4 for sale

    Subaru legacy Sport rims Proper spoiler 9m 0626409908
  6. Junnie27

    Car4Sale Subaru for sale

    Hujui kitu tulia wahsi izo km nmeshndwa zirudisha nyuma niuze gari?
  7. Junnie27

    Car4Sale Subaru for sale

    100k
  8. Junnie27

    Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

    Kuwa na rafiki n stage huwez pata rafiki wa toka nitoke au shida na raha ktk aina ya thread umepata siwez judge umri wako ila rafiki n mahusiano bnafsi sikatai njia uliotumia waweza kupata ila wengi tulio mitandaoni n ndgu ktk mwamvuli wa Tanzania Swala la msingi n set ur standard nn wahitaji...
  9. Junnie27

    Car4Sale Subaru for sale

    Subaru forester Cross Sport Year 2004 Cc1980 Ej20 Turbo Price: 10m Loc; Airport DSM 0626409908
  10. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Wala huyu n jamaa wa mikocheni mzee
  11. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Ukipata mtu alieitunza bongo mbna fresh tu sema huwez kosa kitu kwa dunia ya sasa mchawi pesa tu waweza hata agiza special order 🤣🤣🤣
  12. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Bongo ziko chache na shida wengi hawazijui vzur cost mostly bongo wanunuzi wa magari n kwa usafiri na show off wachache sanaa anaagiza au kununua gari na kujua undani ktk ubora na faults za gari husika but tuko buzy sanaa na maisha pia eboo🤣🤣🤣
  13. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Itakucost sanaa na gari inaweza isibehave unavyotaka sema labda kufanya delimit tu na kufanya modification ya throttle press 2gr inakula majesta Cc 3000 V8 very smooth yaani
  14. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Yuko dar mshkaji bro
  15. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Waweza kuwa umekurupuka pia hata ktk uandishi wako sa jini ktk gari wap na wap no hard fellings here bro hasira zako weka ktk kutafta pesa zitakusaidia mno
  16. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Kuna jamaa ananunua na kurekebisha ukiwa willing waweza nichek nkudirect kwke wana group lao na oldxcl rides
  17. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Chuma imekula body kits za kutosha mixer sport rims huku dual pipes colour ya kibabe sanaa hapo hata kwa bunduki viete sichukui hahahahahah. Though msikate tamaa hata bongo ukiwa na hela ako muon3kano uo unapata ziko chuma n zaidi ya io kwa looks
  18. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Kwa io kwenye gari wahsi Cc ndo mbio? Njoo na Cc zako 3000+ kwenye turbo Cc 2500 utaelewa somo vzur hapo kwenye. Gari umetaja only crown athletics yenye 2gr engne Cc 3500 ndo kdgo tishio izo zingne n ist zilizochangamka tu
  19. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Kaka hii chuma bei ake mchaka mchaka kdgo hahahaha ila jxt chase ur dream
  20. Junnie27

    Subaru Fans Special Thread

    Usikatishwe tamaa ktk ndio zako kila mtu ana njia yake ya mahitaji na mafanyikio go madamee na iweke kikike kike na kula colour moja amazing ukipenda nenda sport rims wanaokukatisha tamaa watakuja kuomba picha wenywe na lift na kupata experience kwako chuma iko huwani sina shida na kima wala...
Back
Top Bottom