Development is a personal struggle. Mara chache kuna kurithi utajiri. Lakini zaidi personal ambition ndiyo chanzo cha utajiri.
Elimu ya kwenye makaratasi haijawahi kuwa chanzo pekee cha kupata mafanikio na utajiri. Elimu ni ufunguo tu... kazi ipo ndani ukishaingia, kufanya maamuzi sahihi...
Kwa Tanzania, mafanikio ni prrsonal struggle. It is never and never shall it be a community struggle.
Ukiisubiri nchi iendelee utakufa maskini utaiacha ilivyo hivi hivi.
Sioni mafanikio kwenye haya maamuzi. Wizi, na vurugu vitaongezeka kwa haraka sana.
Wangeanza kutenga machinga streets ndani ya Kariakoo huko huko na Posta ili maeneo mengine yaachwe bila vurugu.
Una uhakika na ulichoandika? Kumbuka hawa watu wamekuwa madarakani miaka 60, wanakudanya kodi yako.
Hata kama ni ukada, miaka 60 ni mingi aisee. Sitoi pongezi.
Mimi naweza kukupa vigezo. Waliopo wengi ni matokeo ya mfumo wa udikteta wa jiwe. Mfumo wa mama nao umelenga kuwazuia wanasiasa walio wengi kuonyesha uwezo wao kwa kuzuia, kuhujumu mawazo huru.
Wenye uwezo hawana pa kujionyesha kwa kuwa mfumo na utawala haujalenga kuwapa fursa sawa wale wenye...
Hii nchi sijui ililogwa na nani. Wizara iliyopswa kyvunjwa ni Ardhi na Makazi. Wizara hii imefeli sana kwenye Urbanisation... huwezi kuchanganya mambo ya Urbanisation na mashamba huko vijijini... this is absurd
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.