Search results

  1. E

    Kuna kitu sijakipenda kwenye Mazishi ya Mwinyi

    Rais Samia amejitahidi sana kuliunganisha Taifa maana tulifikia hatua mbaya ya kutozikana kwa misingi ya vyama, kafa wa Chama Fulani, siendi. Hii Hali Rais Samia amemudu kuiondoa apewe sifa yake. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  2. E

    Paul Makonda Mmoja alifanya mkutano mkubwa na mzito mkoani Mbeya kuliko CHADEMA waliosombelea watu mikoa yote ya nyanda za juu kusini

    Mikutano ambayo kwanza anakusanya watu kwa maroli na shule zinafumgwa eti Mwenezi anapita! Tutatoka lini kwenye huu upuuzi? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  3. E

    CHADEMA imejishusha toka chama cha siasa hadi kikundi cha kinaharakati ilikoanzia

    Makonda MAGARI 100 kwenye maandamano. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  4. E

    Rais mrejeshe Kalemani wizara ya nishati Uchumi ukue

    Makonda Tena? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. E

    Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

    Mtoa mada kumbuka maandamano yamebadili Hali ya hewa ya kisiasa mahala pengo sana ikiwemo Marekani mpaka kukatwa na usawa. AFRIKA Kusini maandamano yaliwafanya Makaburu wanyooshe mikono, Makaburu wa Tanzania ni CCM,mifumo yote ya checks & balance imeuawa kabisa, mahakama na bunge zimekuwa...
  6. E

    Uchambuzi wa Kitaalam: Maandamano yanaibomoa CHADEMA kuliko kuijenga

    Uzi mrefu usio na maana yoyote. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  7. E

    Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amesema kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgawo wa umeme utakwisha

    Simu hukuweka. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  8. E

    Godbless Lema bado hajakomaa na kupevuka kiakili katika masuala ya siasa

    Kwa hiyo mwenye akili ni Makonda? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  9. E

    Ni nchi gani Duniani ambayo spika wa bunge na Jaji Mkuu huambatana na Rais kila mahali?

    Haya yana mwisho, Wacha wajidanganye. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  10. E

    Kongole Spika Dkt. Tulia kwenye Sheria umeiva

    Angekuwa ameiva angewatoa wale COVID 19 kama sheria inavyotaka, lakini Kwa kuwa hajaiva anaendelea kuwa nao. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  11. E

    Makonda aivua nguo CCM na Serikali?

    Na wewe acha mikwara, hata TFF Kuna Rais. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  12. E

    Makonda aivua nguo CCM na Serikali?

    Hata TFF Kuna Rais. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  13. E

    BAWACHA wamtaka Spika wa Bunge kuwaondoa akina Halima Mdee na wenzake Bungeni

    Wanampangia vipi? Katiba iko wazi, hawana uanachama wasiwe wabunge. CCM wenyewe walifurajia bunge kulifanya la Chama kimoja wakasahau sheria za Mabunge kuwa kwenye mfumo wa vyama vingi wapinzani lazima wawemo, wamekumbuka tayari walishaharibu, Sasa kuionyesha Jumuia ya Mabunge kuwa wanaheshimu...
  14. E

    Shirika la ndege la taifa la Israel kusitisha safari za ndege kuelekea Afrika kusini

    SA sijui wametumia kiumgo gani kufikiri. Israel imezungukwa na nchi za Kiarabu za Algeria, Tunisia, Morocco, Misri, Libya, Lebanon, Uturuki, Syria, Iran,Saudi Arabia, Qatar, Yemen, Iraq...hizi zote malengo yao ni kulifuta Israel. October 7 Hamas waliwavamia Waisraeli na kuua watu 1,200 huku...
  15. E

    Mbowe ajitokeze haraka hadharani kueleza fedha za join the chain zipo wapi na zilipatikana shilingi ngapi, ili kuondoa malalamiko ya wanachama

    Kila mada unayoandika ni ugoro mtupu. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  16. E

    Mbowe ajitokeze haraka hadharani kueleza fedha za join the chain zipo wapi na zilipatikana shilingi ngapi, ili kuondoa malalamiko ya wanachama

    Kabla ya kuhoji pesa za Chadema ueleze kwanza pesa zilizowekwa China na CCM kwa Sasa ziko wapi. Kila siku mada zako ni ugoro mtupu. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  17. E

    Idadi ya Mataifa yaliyoamua kusimamisha misaada kwa Palestina yazidi kuongezeka

    Utabiri huu ulitimia mwaka 70 AD Waisraeli walipoendelea kupinga kutawaliwa na Warumi, wakazingirwa ( siege), Waisraeli walitulia baada ya kipondo hicho Cha Warumi Kutoka 70 AD hadi 132 AD wakalianzisha Tena, safari hii waliwashinda Warumi, wakajitawala kwa miaka 2 tu, Warumi walirudi na hasira...
  18. E

    Baada ya South Africa kushinda Kesi Huko ICJ nchi za Kiarabu zaanza kujipendekeza kwa Palestine, zakutana UN kujadili Hukumu!

    Yanayotokea Palestina ni kutimia kwa unabii wa Mwenyezi Mungu kupitia kinywa Cha Nabii Zakaria miaka ya 580 BC kuwa "Nitaigeuza Yerusalemu jiwe zito litakalowaelemea Mataifa, kila atakayejaribu kunyanyua jiwe Hilo atapata jeraha nyingi. Ni miaka mingi toka utabiri huu utolewe, lakini miaka 1,000...
  19. E

    Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

    Wewe tayari umekiuka maonyo yaliyomo kwenye 1 Petro 3:15-16 kuwa tuwe tayari kuwajibu watu kwa upole na hofu. Neno "CHOKO"ulilotumia halikuweki tofauti kati yako na wapagani. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  20. E

    Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

    Na wewe umefanya kusudi kuandika mikono ya Papa imeshiba DAMU wakati ushahidi huna. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom