Search results

  1. Loreen

    mapenzi ya mbali

    da! mtoa mada kama ulikuwa akilini mwangu ,jamani hii long distance love inatesa mfano hakuna, tena pale ambapo uko fall in love alafu mtu anakubabaisha ,mara umpigie asipokee simu, acheni ndugu zangu ni Ngumu kuishi in love distance!
  2. Loreen

    Naomba ushauri wa hekima kwa hili.

    usikubali kuendeshwa na akili za watu, ww ni mtu mzima una maamuzi yako binafsi ,na kuhusu swala la kuoa kama unamchumba msubirie amalize muoane kwani ukiforce kumuoa mtu mwingine kisa kukidhi haja za ndugu zako utaumia sana. na ukumbuke . mali na uridhi mtu uridthi kwa babaye ila mke mwema...
  3. Loreen

    Mapenzi yananitesa, naombeni ushauri

    kwa ushauri kama aliotoa smile ni sahihi dada za mtoto wako na uachane nae hakupendi huyo anataka akutumie tu!
  4. Loreen

    Hivi, jirani kwanini hununui gari?

    mmm ! mshikaji huyo jirani kakuchoka punguza kumwomba lift tena pateza mawasiliano kabisa anakusumanga huyoo!
  5. Loreen

    Pingu za maisha

    umesha anza uchakachuaji yaani mchango hata hatuwajui majina?
  6. Loreen

    Mambo ya X

    shida iko wapi na pokea hiyo check kama hatakua analake jambo atajiju,tenda ndo vizuri atakuwa ametupunguzia gharama za kuchanga!
  7. Loreen

    WIVU: Maana, faida na hasara zake

    ni kweli mtoa mada!
  8. Loreen

    SIFA/Kigezo cha kuowa

    kuoa ni swala nyeti sana ni kweli kama unavyosema ukikosea kuoa uta suffer maisha yako yote, ni swala la magotini zaidi na sio kuiga wala kufanya kama fashion.
  9. Loreen

    Mimba miezi nane bado unataka tuu??

    mwachie sasa unataka aende nje?
  10. Loreen

    ingekuwa ni wewe ungefanyaje? hii ni kwa wasichana tu!

    lizzy vp ww sema kama kuna mapenzi hapo au la ! cjaona jibu lako hasa ninini!
  11. Loreen

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    nani kwa kwambia ni mdogo?
  12. Loreen

    ingekuwa ni wewe ungefanyaje? hii ni kwa wasichana tu!

    habarini wanajf, let asume wewe ni msichana ulianza uhusiano na kijana miaka 10 iliyopita means kwanzia secondary, wakati mnaanza urafiki alikulazimisha sana mnaniii ......lakini ukakataa ukiogopa ni dhambi,mlivyokuwa wakubwa zaidi namaanisha miaka 22 na kuendelea akakukumbusha tena kunanii...
  13. Loreen

    Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

    Asanteni kwa ushauri ,ninaamini akipitia comment zote hizo atajua cha kufanya!
  14. Loreen

    Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

    ni tatizo sio anatania!
  15. Loreen

    Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

    kama vipi? Da womenizer
  16. Loreen

    Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

    jamani sio mimi! umbo la ukweli,namba sita sio nane miguu ya bia ni wa ukweli ila shida ndo hiyooo!
  17. Loreen

    Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

    ngoja niulize mkuu: amesema hawapi
  18. Loreen

    Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

    habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale ninapomkubali baada ya siku mbili anataka mzigo, sio siri ninatamani ningezaliwa shepless nahisi...
  19. Loreen

    Nifanyaje! ili huyu mwanaume anielewe?

    tatizo ni kwamba nikisema nizae kwa kujilazimisha atamind,
  20. Loreen

    sina mapenzi

    una matatizo kaone wataalamu wa mapenzi!
Back
Top Bottom