Search results

  1. Candela

    Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  2. Candela

    Nikikumbuka huwa nacheka sana

    Niliwahi kuwa na mpenzi mmoja, kwa maelezo yake akawa anasema ana shida ya uzazi hawezi kushika mimba, basi nikawa natoka nae cha ajabu kuna siku anakwambia yuko siku za hatari so tusifanye. Basi akawa anasema anatamani sana mtoto na akawa ananiambia kama sijali kuhusu shida yake nimuoe...
  3. Candela

    Riba za Microcredit zipoje wadau?

    Hizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing. Kibaya wahusika hawaruhusu awalisilishe maulizo yake katika ofisi zao, yaani wale vijana wanajiita afisa mikopo...
  4. Candela

    Napendekeza kwa mazingira mengine Polisi wafanye kazi kwa kuzingatia muktadha tukio kuliko kufuata protokali

    Linapotokea tukio mtu kauwawa mara nyingi tunaita polisi wachukue mwili, lakini pia inapotokea mtu kajiua tunawaita polisi. Kuna ile mtu kajiua kwa sumu au kujinyonga ndani kwake, nitolee mfano tukio lililotokea mtaani. Polisi walijulishwa kuwa kuna mtu kanywa sumu, wakafika eneo la tukio na...
  5. Candela

    Jinsi ulimwengu umehadaika na ufo

    Kwa miaka nenda rudi, nchi kama marekani imekuwa na matukio kadhaa ya UFO(Unknown Flying Object). Madai abayo yamekuwa yakihusisha vifaa hivyo na uwepo wa viumbe wengine wneye akili na teknolojia kubwa kuliko binaadam wa sayari ya 3. Ukiliangalia hili jambo katika mtazamo tofauti utagundua...
  6. Candela

    Wenza wa watumishi wa Serikali nao walipwe Mafao

    Kama mwenza wa Rais anapata kiinua mgongo hata watumishi wengine wana haki kwa sababu mwenza wa Rais sio mtumishi wa serikali iweje apewe malipo na serikali? Kama hoja ni kumtuliza Rais hata engineer anatulizwa na mkewe au mumewe arudipo nyumbani.
  7. Candela

    Alianza kusoma BSc In Mechanical Engineering aka-drop out baada ya kuumwa. Je, kuna ofisi private zinazoweza kumpa kazi?

    Kuna kijana hapa alisoma BSc In mechanical Engineering, mwaka wa 3 semister ya 2 akaugua sana akashindwa kuendelea akaomba kuahirisha, mwaka uliofuata akaahirisha tena akae sawa kabisa. Alipotaka kurudi aendelee na masomo chuo walimpokea lakini bodi ya mikopo wakasema hana sifa kuendelea kupata...
  8. Candela

    Mpenzi wangu analalamika simtafuti

    Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe. Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba...
  9. Candela

    Msaada niko njiapanda muda wa mawasiliano na mpenzi wangu

    "Kuna huyu binti tulipendana sana, kutokana na mambo ya kazi muda mwingi yeye ndio huanza kunicheki iwe kwa kupiga au sms, sasa ghafla kaanza kulalamika kwamba kwanini kuwasiliana mpaka anitafute yeye, kulingana na kazi yake simu anaweka mbali so napopiga muda yuko bize hapokei hivyo nikamwambia...
  10. Candela

    Phone4Sale Google Pixel 5 370,000

    Nimenunua pixel 5 kwa ajili wife kasema kadogo anataka simu ya kujaa mkononi, naiuza bei hiyo ina wiki tu. RAM 8GB, 128GB STORAGE. HAINA SHIDA YOYOTE CHAJI INAKAA ASUBUHI MPAKA JION DATA IKIWA ON.Ukizima data unatoboa siku 2. Imenyooka sana CAMERA KALI.
  11. Candela

    Kaniambia akiipata kazi mume wake atapiga deki ndani!

    Nimekaa na mke wa mtu nikampa dili kuna sehemu wanahitajika watu kazi ya kutwa data collection 25,000 kwa siku, project ya miezi 2, alichonijibu akasema yupo tayari tena akiipata hiyo kazi huyo mume wake mbona atapiga deki ndani. Akasema ana rafiki yake kama wanahitajika watu wengi nikamwabia...
  12. Candela

    Elon Musk anakaa tu na wanawake haoi wewe kapuku unapambana

    Kuna watu wanahangaika na wanawake pasua kichwa kuwatuliza ili wawaoe wawe wake zao. Huko duniani kuna Musk hajaoa na ana watoto zaidi ya 10. Wanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu masingo maza wa kutosha. Kwa mwaka piga mimba hata 3 sio unakaa unasubiri mtoto kila baada ya miaka mi3.
  13. Candela

    Huyu mwanamke kero kabisa

    Mtu hajielewi anataka mwanaume anaeeleweka, sister ndege wafananao huruka pamoja. Nilikuwa na huyu manzi alikuwa na jamaa yake, so nikawa napiga kama mwizi japo hajaolewa na haishi nae. Katika mazungumzo yake bidada akawa anasema akinifumania tunaachana maana hawezi kushea, nikawa namchora tu...
  14. Candela

    Mshaurini na nyie mie nimekosa busara

    Iko hivi, kuna mdau amenifata akanieleza juu ya mahusuano yake na mwanamke wake. Aligombana na huyo dada ikafikia akaachwa, tena akaambiwa ana mtu mpya anaempenda sana. Jamaa akakausha ila baada ya siku mbili yule dada akamtafuta jamaa wakarudiana lakini jamaa akawa hajali tena kuhusu yule dada...
  15. Candela

    Naomba ufafanuzi kuhusu NIT Second round

    Wadau mwaka jana nilimsaidia mtu kuomba chuo diploma. Alikuwa amechelewa hivyo katika kutafuta nikapata NIT wako na second round application, nikamuombea hapo sasa mpaka leo akaunti yake inasema "application submitted keep visiting for updates". Anahisi sijamuombea mpaka akaniomba 10,000 yake...
  16. Candela

    Kuhusu Mbudya niende na wife au kitaalam natakiwa niwe peke yangu

    Kama sio mtaalam wa burudani sio lazima uchangie. Nasikia sikia Mbudya, Mbudya kila kona, nataka nitoke na shemeji/ wifi yenu this weekend. Niende nae au ntajibania mema ya nchi akiwa pembeni?
  17. Candela

    Faida na hasara za Teknolojia

    Nimekaa nikawaza nikaona kuna mambo mengi hayako sawa. 1. Zamani antenna ya analogy ile masikio ilikuwa inajizungusha yenyewe signal zikipotea unabonyeza tu kitufe. Hizi za sasa mpaka uipandilie huko juu uzungushe mwenyewe. 2. Smartphone ukitumiwa meseji saa 4 asubuhi hauko hewani, ukawasha...
  18. Candela

    Hili jiji ni balaa

    Jamani Dar es salaam ni noma, nimeona clip kuna club za usiku watu wanacheza uchi wa mnyama na wengine wanaenda mbali zaidi wanavunja mri ya sita hadharani. Mungu atunusuru na kuzimu.
  19. Candela

    Customer support ya Azam TV ni ovyo sana

    Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected. Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. Zile simu zao nimepiga...
  20. Candela

    Uhamiaji bado tatizo la milenia, tusubiri miaka 1000 watakuwa na ufanisi

    Iko hivi, nilikuwa namsaidia mtu kuomba passport nisafiri nae, zamani ilikuwa unaambatanisha makolokolo kibao lakini baada ya NIDA nikajua process zimepingua hasa ukizingatia huyu mtu wazazi wake wote wana NIDA nikajua ile sehemu ya kiapo cha mzazi NIDA zao zinatosha maana waliapa mahakamani...
Back
Top Bottom