Search results

  1. J

    Lundenga: Sina mahusiano na Sitti Mtemvu

    HASHIM lUNDENGA: "sio sahihi, tupo makini na ndio maana tumegundua, fahamu ya kwamba kila mwaka washiriki wengi tu hutudanganya kuhusu umri wao na ndio maana tupo makini.. tuwajibike kwa kosa gani?" Samahani kidogo Wenye fani ya uhandishi wa habari, hivi huyo mtu aliwezaje kusema yupo...
  2. J

    Jaydee huu ni utoto sana tena sana

    Wewe Mshana una akili kama zangu, i like watu wenye uelewa mpana na wenye uwezo wa kuongea kwa hekima na staha. Ulikuwa unakuwa mtu wa ngapi class enzi zako mkuu? Maana mi nakumbuka enzi zangu primary na O level nilikuwa nawachakaza siwaangalii usoni.
  3. J

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Bilionea eeeeeeeeeeeee umemuona huyu anakuita kaka moko?
  4. J

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Badilisha basi hiyo ID mkuu, wewe ni bilionea mkubwa sana Arusha na Tanzania ukijiita laki si pesa unajiangusha bora ujiite Trilioni si pesa.
  5. J

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Kwenye list ya mabilionea wa Arusha upo nafasi ya ngapi mkuu?
  6. J

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Hivi mtihani wenu wa form four mnaanza na somo gani vile?
  7. J

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Kwani wewe hawala yake daimond ee?
  8. J

    Mume wa muimbaji wa nyimbo za injili anaetuhumiwa kumbaka shemeji yake huyu hapa

    Yaani wewe nahisi baada ya kusoma tu komenti za yule mtu ukakurupuka kuandika. Hujaishirikisha vyema medula yako, kitu alichojaribu kukisema yule mtu kinamuelekeo wa ukweli kwa asilimia kubwa sana, huwezi ukagombana na Mumeo ukakimbilia gest ama hotelini (HUNA AKILI NA HUJUI KUSIMAMA KATKA...
  9. J

    Government Ban Job Recruitment Agencies!

    Hayo ya marekni, india, china cjui wapi sisi hayatuhusu wewe. Kwa nini usiwe na akili huru wewe, kwani sisi hatuwezi kuwa na utaratibu wetu uliostaarabika, usiojari ubaguzi wala unyonyaji mpaka tufananishe na marekani? Marekani sasa wanaume wanaoana kwa hiyo na sisi wanaume wa Tanzania tuoane si...
  10. J

    Vuta Picha

    Huyo babu nahisi atakuwa muhehe.
  11. J

    Okoa tanzania 1.

    Ni ukurasa wa kazi na tenda na heading inasomeka OKOA TANZANIA, huu ni mfululizo wa mawazo na mitazamo katika kujadili mambo mbalibali yananayohusu taifa letu (Nyote mwakaribishwa). Naamini hapa ni sehemu sahihi na tunaweza kusaidiana kwa pamoja kimawazo kwa kuwa tupo watu wa taaluma mbalimbali...
  12. J

    Fujo ina maana gani katika sheria ya Tanzania

    Wanasheriaaaaaaa...! Kuna swali la kuhusu fujo huku njooni mujibu!
  13. J

    Msaada wa kisheria!!erolink staffs kwenye vituo vyao vya kazi wananyanyasika

    Watanzania tulio wengi tuna roho za kibinafsi,mtu akiangaika akafanikiwa toka kwenye shida hataki ama hawezi kusemea wengine wenye matatizo.Hii si roho ya kizalendo,taifa halitapiga hatua kamwe kwa kuwa na watu wenye roho na mitazamo ya namna hii.
  14. J

    be ware of erolink

    Kukimbia tatizo si kutatua tatizo.
  15. J

    Hivi ananidanganya au!!

    Kuna jambo moja napenda nikuaminishe mtoa mada ambalo mimi naliona ktk jamii inayonizunguka. Waweza kuta mwanamke A ameolewa na mwanaume B lakini mwanamke A analidhishwa sana kimapenzi na mwanaume C,mwanaume C kwa kuwa anamlizisha mwanamke A tunategemea ingekuwa vivyo hivyo kwa mkewe lakini kwa...
  16. J

    Kwanini mmeweka form yangu ya maombi ya SENSA kwenye RECYCLE BIN?

    kama umeshindwa kuelewa marekebisho niliyokupa ya namna ya kutoa mfano ulioutoa wewe wa kuhitajika mtu wa kuogelea kisha mwenye degree ya computer engineering kuamini anao uwezo wa kushinda basi pia nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.Kwa kuwa tayari nishakuwa na wasiwasi juu ya uwezo wako...
  17. J

    Kwanini mmeweka form yangu ya maombi ya SENSA kwenye RECYCLE BIN?

    yaani wewe unambeza mtu wa elimu ya chuo kwa kulalamika kwake baada ya kukosa kazi za muda za sensa! Nakuomba uhakiki hayo mawazo yako. Huo mfano unaoutoa wa mvuvi haufanani na malalamiko binafsi ya mtoa uzi.Ukitaka huo mfano uwe sawa huyo muogeleaji mvuvi mfananishe na muogeleaji wa kwenye...
  18. J

    Kama mimi mwenye degree nikikosa ajira ya muda ya sensa,je itamaanisha nini?

    hizi ni kazi za muda,over qualification inatokea wapi ndugu?pili aliyeomba karidhika na hiyo kazi ya muda au kakosea kuambatanisha hicho cheti chake.Tatizo watendaje hawa aim high,hawazingatii ubora,si wawajibikaji,rushwa imewatawala,macho yanawatoka,maskio yamewasimama kwa vitu vidogo,hawapo...
  19. J

    Malipo ya sensa

    kujibu maswali usiyoyajua si lazima,sasa hapo ndo umeongea nini? Watu wanataka majibu kutokana na vielelezo walivyonavyo wenzao.Wewe wa wapi?!
  20. J

    Huyu mkaka mbona simuelewi??? nisaidieni mawazo wanajf

    Amina mi nimekuelewa,nahisi sana sasa nisikilize. Mapenzi hayana kanuni ama njia flan sahihi ktk kuyafikia.Mtu aweza onana na mwenza wake mahala popote na katika mazingira yeyote,kinachoangaliwa ni je huyo unayeonana nae anakidhi haja ya moyo wako(ktk mapenzi) na pia ana mtazamo chanya katika...
Back
Top Bottom