Search results

  1. Taribo

    Offer offer offer jiokotee iPhone six plus kwa 700000 tuu

    Nimekwama naiuza imetumika week moja...
  2. Taribo

    Hivi Waziri akitenguliwa kwenye uwaziri ni lazima awaage aliokuwa akiwaongoza?

    Una Macho au vidonda? Na usiseme hamkuweza kuiona bastora sema ww na upofu wako haukuiona...Nani amekutuma?! Umekula maharage ya wapi Wewe...watch it usijione unauhuru wakuandika pumbaaa kama hii..!!
  3. Taribo

    Nyie wadada Mungu anawaona!

    Tanzania ya viwanda
  4. Taribo

    Nyumba inapangishwa 150,000

    Anza na elfu 50 hiyo nyumba isiyo na umeme ukiweka umeme utaongeza maana huko kila kitu ni tabu
  5. Taribo

    Kati ya boxer na chupi akivaa mwanamke kipi huvutia?

    Tanzania ya Viwanda siioni hapa
  6. Taribo

    Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona!

    Huo ni uroho na ulafi wako usisingizie Mwanaume##
  7. Taribo

    Je, wajua kuwa hakuna kifo?

    Uncle Magu Machizi wanaongezeka Mtaani... Wakati wa JK mada Kama hizi hazikuwepo.. TANZANIA YA VIWANDA
  8. Taribo

    Mastaa 7 Bongo wasio na skendo

    Wanaume wa Dar nani kawaloga?
  9. Taribo

    Chezea muosha magari wewe

    Kwani Magari aliyoyapenda hayaji tena?!!,
  10. Taribo

    Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

    Haki ya Mungu siioni Tanzania ya viwanda kwa kizazi kinacholalamikia style za Ngono.. Chepuka tuu hakuna namna
  11. Taribo

    True story: Ampa mkewe ujane akiwa na miaka 27 sababu ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Huyo shemela anakusimulia mikito ya marehemu mume wake.. Mmmmhhh haya uridhi huo lakini shemela anaonekana anapenda mishemishe kwa bed ujipange bro.
  12. Taribo

    Trafiki Msata rushwa tupu

    Kwa hiyo ww ulitoa rushwa?! Sasa ataiweza vipi Kama ww umetoa rushwa ... Wanaume wa dar jamn nani kawaroga!!!???
  13. Taribo

    Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Vinabaki Kama ukikakunja kamoja halafu ukajifuta Kama unapaka ...jifute kizungu halibaki... Mie natumia maji then najikausha na toilet paper.. Kujitawaza na toilet paper tuu lazima ubaki na kinyesi aisee. Water all the ways!!!!
  14. Taribo

    Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Kwani ukitawaza kwa maji ukajikausha na hizo karatasi vepee?!!
  15. Taribo

    Mahitaji ya viwanja,mashamba wilaya ya Mkuranga,nipo hapa kukusaidia!

    Ungeweka na contact zako ingekuwa poa zaidi...Asante sana
  16. Taribo

    Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

    Huyo mtoto ni wako au umemuazima???!!!, unaendaje na mtoto bar?! Wanaume wa Dar mtauwa lini?!!!!
  17. Taribo

    Utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa?

    Nenda Kona bar utamkuta
  18. Taribo

    Nimegundua kumwazimisha mtu gari ni hatari, nimekoma

    Kaka sasa sie tukusidiaje... Waswahili wanasema tenda wema nenda zako... Hao unaowaazima ni watu wako wa karibu, yawezekana na ww kuna vitu huwa unaazima kwao,...wabongo sie bana daaah!!,
  19. Taribo

    Harusi ya Masanja kiingilio laki moja

    Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayari watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajili ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.
Back
Top Bottom