Search results

  1. Mfalme Daudi

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Kaka hii story ya sasa siyo yangu! nimeandika kwa niaba ya mtu! soma vizuri mwanzo wa habari nimeweka wazi!
  2. Mfalme Daudi

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Mkuu,Soma vizuri! nimeandika kwa niaba ya mtu!
  3. Mfalme Daudi

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    NAANDIKA KWA NIABA YA DADA YANGU MMOJA MUHANGA ANAYEPITIA HILI,NIMEONA NISHEE ILI KUPATA USHAURI WA PAMOJA JINSI YA KUMSAIDIA. Tulikutana Facebook na ni Mwaka wa nne sasa tangu tufahamiane,alikua akisoma chuo Songea ila kwao ni Dar. Tukaanza urafiki na kuwa wapenzi, akamaliza chuo wakati huo...
  4. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Hahaha !!! imeisha io!
  5. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Nashukuru Mkuu! Nimeupokea ushauri wako vyema!
  6. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Hio Ya Kubomoa hawezi i'm sure with it!!
  7. Mfalme Daudi

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Nimeshatoa Mrejesho tayari kaka! check thread mpya!
  8. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Na Nianze Kumtafuta mwenyewe juu ya kutekeleza hilo?
  9. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Should I Be the 1st kumtafuta juu ya hilo,au nimwache mpaka anicheki mwenyewe??
  10. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Shida Sio Kupiga simu! nawaza hapa hata kama nimeamua nimrudishie vitu vyake maisha yaendelee should i be 1st kumcheki juu ya hili???
  11. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Ndio Ni mimi nilielipia!!
  12. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Nimeona Niwape Mwendelezo Wa Kile kilichoendelea na maamuzi niliyofikia mpaka sasa Tangu last time nimepost kueleza kile kinachoendelea kwenye mahusiano yangu and so far na maamuzi niliyochukua mpaka sasa! Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje? Baada ya kupost uzi ule siku...
  13. Mfalme Daudi

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Ndio Niko Hapa Mkuu! Nimeingia Mapema alfajiri Tokea Arusha! Nimewakuta Hapa Nimewatimua Ye Na Mshkaji Na nimemwambia Asijaribu Kufuata Chochote Alichoacha! Nitatumia Kufidia Gharama Zangu!
  14. Mfalme Daudi

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Thank You Bro! At Least Kuna Wanaume Wanaonielewa Kwanini Napitia Yote Haya Na Nimekua Nikipambana Still!!
  15. Mfalme Daudi

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Mtoto tayari niko nae,aliniachia kwa hasira kwenye mkesha wa Christmas nikiwa Dar Nikaamua kumchukua next morning nikaja nae Arusha! Namfanyia utaratibu aingie Shule huku huku wiki hii!
  16. Mfalme Daudi

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Nimekuwa Kwenye Mahusiano na Huyu Binti Kwa Miaka 6 sasa! tumebahatika kupata Mtoto mmoja! ila hatujaoana. Kwa Sasa Yeye anaishi Dar Mimi niko kikazi Mikoa ya kaskazini! Mwanzo Nilianza Kufuata Taratibu za kumuoa nikatoa mpaka posa kwao tatizo likaja kwenye kikwazo cha dini! ikabidi tuweke pozi...
Back
Top Bottom