Search results

  1. P

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mbona Mimi form six kijana nimechukuliwa bila connection
  2. P

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Lakin wewe hukuwa muumini wa connection 🤔 nakumbuka Kuna mdau humu akisema swala la connection ulimbishia sana
  3. P

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Daaaah sema sio mbaya nikukomaa tu blaaaad...nakujiongeza muhimu
  4. P

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Na Twyn tupeni mrejesho ndugu zetu
  5. P

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sema hawajafafanua kwenye tangazo lao
  6. P

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tulio bahatika kupata nafasi za kujiunga na jeshi la polisi tujuane...ndugu zangu Hili tutengeneze undugu mapema hata KABLA ya kufika CCP🙏🙏
  7. P

    Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Humu hakuna mtu wa kumuajiri mtu mwingine kiongozi..... BITTER TRUTH, BUT IT IS BETTER TO ACCEPT IT. Ma'boss wako busy na kazi hawashindi humu MY ADVICE 1.Jichanganye na vijana wenzako iwe mtaani au hata uliomaliza nao shule angalau watakusaidia lkn sio humu 2. Jaribu kuzunguka maofisi bila...
  8. P

    Mwanamke wa aina hii ukiwa naye basi maisha yako yatakuwa magumu sana

    😀😀😀😀😀Nimependa point ya ASIYEJIELEWA
  9. P

    Ni wanandoa, lakini siku hizi hawapendani kama zamani

    Upendo umeisha kwa wote wawili, Alf wanashindwa kuvumiliana. Hapo Jambo la msingi ni UVUMILIVU TU
  10. P

    Naomba kwa anayeifahamu Baraki Credit CO LTD

    Kama wameweka namba za simu jaribu kuwapigia
  11. P

    Naomba kwa anayeifahamu Baraki Credit CO LTD

    Lengo lako la uchunguzi lilikuwa na dhamira gani?
  12. P

    Ni dalili ya utapeli au ndo mwelekeo wa kupata ajira mpya?

    Mkuu weka na email yao open kabisa watu waione
Back
Top Bottom