Search results

  1. ZebraPlus

    Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030

    Kinachomuumiza kichwa Nape ni kuwa haelewi hivi yeye anakosea wapi hata asizipate fursa anazozipata chawa mwezake, Mwigulu Nchemba?
  2. ZebraPlus

    Taarifa kwa Umma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ashiriki Ibada Takatifu ya Pasaka Dodoma

    Mpango ni copy ya Meko. Hatutaki kuskia habari zake. Enough is enough!
  3. ZebraPlus

    Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

    Huyu marehemu wako si ndo alitamani kushuka malaika aizime mitandao? Sasa hichi kilochotokea ni matokeo ya kile ambacho alikwisha kipanga sometimes ago. Na kwa bahati mbaya kimekuja juu wakati Mola ameshamuwajibisha.
  4. ZebraPlus

    Tusirudie Makosa; si kila mmoja anafaa kuwa Namba Moja

    Umeandika vyema sana. Naunga mkono hoja kuwa sio kila mmoja kati yetu anafaa kuwa namba moja.
  5. ZebraPlus

    Muuguzi aliyempiga Mjamzito vibao akutwa na hatia na kuondolewa kwenye baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

    Hivi aliyechapwa vibao angelikuwa mkeo au mama yako Au mwanao ungeliandika ujinga huu?
  6. ZebraPlus

    Rais Magufuli atunikiwa tuzo ya Uongozi uliotukuka na Kanisa la Philadelphia Gospel Assembly

    Kiufupi tu hii nchi changamoto inazopitia sio za kawaida. Yaani kuanzia ubadilishaji wa fedha za kigeni, wanafunzi kukosa nafasi shule mpk viongozi wa kidini ni changamoto tupu. Tunahitaji miujiza kutoka mbinguni tutoke tulipo!
  7. ZebraPlus

    Uchaguzi 2020 Hapa Kazi tu ni CCM, Kazi na Bata ni ACT-Wazalendo na Kazi na Uhuru ni CHADEMA

    KAZI NA BATA - Maalim Seif +Mwakilishi+Mbunge KAZI NA UHURU- Tundu Lissu
  8. ZebraPlus

    Nabadili gia angani: Nitapiga kura

    T. Lissu amenifanya niwe na imani kuwa uchaguzi huu utaheshimiwa na usipoheshimiwa basi Watanzania watauheshimisha. nitapiga kura na nitamchagua Lissu Insha Allah.
  9. ZebraPlus

    Uchaguzi 2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

    Kwa hiyo watu wateuliwe kulingana na uwezo/utajiri wao wa fedha badala ya uwezo wao kuongoza na kukubalika myoyoni mwa wanachama na wananchi?
  10. ZebraPlus

    Uchaguzi 2020 Membe achanja mbuga kuliko Tundu Lissu, arejesha fomu mapema sasa anasubiri maamuzi ya chama

    Suala muhimu Kwa sasa ni kupata mgombea mmoja wa upinzani Probably T. Lissu au yeyote yule lakini sio Membe (kachero wa CCM).
  11. ZebraPlus

    Ubeberu wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni wa kiwango kisichostahamilika

    Kichwa chako kimetawaliwa na Ujinga na upofu wa ubaguzi wa kidini. Huna uwezo wa kufikiria ubinadamu kwa binadam mwengine asiyekuwa dini moja na wewe.
  12. ZebraPlus

    Ubeberu wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni wa kiwango kisichostahamilika

    Wakati Tanganyika inafanya figisufigisu ya kile ambacho kwa sasa tunakiita muungano, Nchi ya Tanganyika na Zanzibar zote zilikuwa huru na kila moja na mamlaka yake kamili ndani ya mipaka yake. Muda mfupi tu baada ya Muungano taratibu tanganyika ikajiona sasa ni Baba mwenye nyumba kuanza kuweka...
  13. ZebraPlus

    Zanzibar 2020 Tathmini fupi mara Baada ya uteuzi wa Dkt Hussein Mwinyi huko NEC ya CCM

    Muungano ujilinde wenyewe kwa mema uyafanyayo sio ulindwe na watawala kwa Vitisho na mabunduki.
  14. ZebraPlus

    Uchaguzi 2020 Upinzani kumsimamisha Membe: Kosa kubwa, usaliti na dhambi isiyosameheka

    Mume wako aliyesimamishwa hajakutosha? Mbona unawashwa washwa ww kuingilia mambo yasiyokuhusu? Unaona bora ”tumsimamishe Membe kuliko yule msaliti...” hivi tokea lini wewe Umeutakia mema upinzani? Sasa basi,unachotakiwa ww kufanya ni kujitahidi kujitoa akili kwa Polepole and the like ili...
  15. ZebraPlus

    Uchaguzi 2020 Wana CHADEMA tuwe tayari kwa lolote; Lissu, Mbowe, Nyalandu, Membe na gia za angani ikilazimika zisiwayumbishe tusimame pamoja

    Wewe ni km nani mpk umuhurumie Lisu? Mbona mlipommiminia risasi hukumuonea huruma? Wacha unafiki bwamdogo. Wewe kazi yako ni kuramba viatu vya mabwana zako wa CCM Ili upate shibe ya tumbo lako sio kuwaonea huruma viongozi wa upinzani.
Back
Top Bottom